SAMATTA ATUA RASMI ALGERIA

SAMATTA ATUA RASMI ALGERIA

Like
1399
0
Tuesday, 20 March 2018
Sports

Samatta

Mshambuliaji Mtanzania , Mbwana alli Samatta,Amewasili leo katika uwanja wa ndege wa Algiers, Algeria , na  kupokelewa na Balozi wa Tanzania nchini humo , Omar Yusuph Mzee.

Samatta amewasili Algeria kwa ajili ya mchezo wa kirafiki, Ambapo Taifa Stars itacheza thidi ya Algeria, Machi 22-2018.

Mchezaji huyo ataungana na wenzake wa Taifa Stars, Walioondoka leo nchini kuelekea Algeria kushiriki mechi hiyo ya kirafiki.

Comments are closed.