SERIKALI YAAHIDI KUENDELEZA SHUGHULI ZA UBORESHAJI MIUNDOMBINU

SERIKALI YAAHIDI KUENDELEZA SHUGHULI ZA UBORESHAJI MIUNDOMBINU

Like
216
0
Friday, 03 July 2015
Local News

SERIKALI imeahidi kuendelea na shughuli za uboreshaji wa miundombinu katika maeneo mbalimbali nchini kwa lengo la kuwaletea manufaa zaidi wananchi.

Hayo yamesemwa leo Bungeni mjini Dodoma na Waziri wa Ujenzi dokta JOHN MAGUFULI wakati akijibu swali la mbunge wa ubungo mheshimiwa John Mnyika aliyetaka kufahamu mikakati ya serikali juu ya suala hilo.

Mheshimiwa Magufuli amesema kuwa kwa kiasi kikubwa serikali imekamilisha uboreshaji wa miundombinu katika maeneo mbalimbali na kwamba ipo tayari kuendelea na utekelezaji wa mikakati hiyo zaidi.

Comments are closed.