TAMEKA FOSTER AMTAKIA KILA LA KHERI USHER KWENYE NDOA YAKE

TAMEKA FOSTER AMTAKIA KILA LA KHERI USHER KWENYE NDOA YAKE

Like
586
0
Friday, 16 January 2015
Entertanment

Aliewahi kuwa mke wa Usher Raymond Tameka Foster amempongeza Usher lakini pia ametoa ruhusa kwa watoto wake kuhudhuria kwenye harusi atakayoifunga na meneja wake Grace Miguel na kuwatakia kila la kheri kwenye mwanzo mpya wa maisha yao.

usherkids

Usher na Tamika kwa muda mrefu wamekuwa na migogoro ya hapa na pale kuhusu watoto wao lakini huenda Tameka ameamua kumliza tofauti zao huku akishuhudia mwanamke alikuwa akimtuhumu kutoka kimapenzi na mumewe wakati watoto wakiwa na miezi mitatu tu.

Comments are closed.