TANZANIA YAIPONGEZA CHINA KWA KUTOA MISAADA YA KIMAENDELEO

TANZANIA YAIPONGEZA CHINA KWA KUTOA MISAADA YA KIMAENDELEO

Like
296
0
Monday, 16 February 2015
Local News

WAZIRI wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimatafa BERNARD MEMBE, ameipongeza Serikali Jamhuri ya China kwa msaada wake wa kuhakikisha Tanzania imefungua Idara ya Maalum ya Upasuaji wa moyo katika hospitali ya Taifa ya Muhimbili -MNH.

Hayo yamesemwa na Waziri MEMBE katika viwanja vya Mnazi Mmoja jijini Dar es salaam kwa niaba ya Rais JAKAYA KIKWETE ambaye alikuwa Mgeni Rasmi katika sherehe ya mwaka mpya wa Kichina.

Katika sherehe hizo,Jumuiya ya Wachina waishio nchini Tanzania wameungana pamoja na wageni wengine kusherehekea siku kuu hiyo, ambayo itaanza rasmi February 18, mwaka huu.

MEMBE NEWS MEMBE 22

Comments are closed.