WANANCHI WATAHADHIRISHWA KUTOFANYA FUJO WAKATI WA MKESHA WA MWAKA MPYA

WANANCHI WATAHADHIRISHWA KUTOFANYA FUJO WAKATI WA MKESHA WA MWAKA MPYA

Like
324
0
Thursday, 31 December 2015
Local News

JESHI la Polisi Kanda maalum ya Dar es salaam limewatahadharisha wananchi kutokufanya fujo wakati wa  mkesha wa mwaka mpya kwa kuweka mikakati mikali kwa watakaokaidi amri hiyo.

 

Kamishna wa Polisi Kanda Maalum ya Dar es salaam Suleiman Kova amepiga marufuku uchomaji wa matairi ya gari,  upigaji baruti, risasi za moto na fataki ambazo zinaweza kusababisha madhara wakati wa mkesha wa mwaka mpya.

 

Comments are closed.