Your message has been sent, you will be contacted soon

Call Me Now!

Close

WAFUNGWA 2 WA GUANTANAMO WAHAMISHIWA GHANA

WAFUNGWA wawili waliokuwa wakizuiliwa katika gereza la Guantanamo Bay, Cuba, wamehamishiwa Ghana.   Wizara ya Ulinzi ya Marekani imesema idhini ilitolewa kwa Khalid al-Dhuby kuachiliwa huru 2006 na…

MZOZO WA KIDIPLOMASIA KATI YA SAUDI ARABIA NA IRAN WAPAMBA MOTO

MZOZO wa kidiplomasia kati ya Saudi Arabia na Iran unazidi kufukuta, huku Iran ikiitaka Saudi Arabia kuachana na msimamo wake wa makabiliano.   Waziri wa mambo ya nje…

IVORY COAST: OUATTARA AKUBALI KUJIUZULU KWA WAZIRI MKUU

RAIS Alassane Ouattara wa Ivory Coast amekubali kujiuzulu kwa Waziri Mkuu na Serikali yake.   Akituma ujumbe kupitia mtandao wa Twitter, Outtarra amesema waziri mkuu aliwasilisha hati ya…

UN YAANZA MIKAKATI KUIWEKEA VIKWAZO KOREA KASKAZINI

SIKU moja baada ya Korea Kaskazini kufanya jaribio la bomu la haidrojeni, Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa limekubaliana kuanza mikakati ya kuiwekea vikwazo. Hata hivyo baadhi…

NIGERIA: MHUBIRI WA KIISLAM AHUKUMIWA KIFO

MAHAKAMA moja ya Kiislamu nchini Nigeria imemhukumu kifo mhubiri anayetuhumiwa kukufuru kwa kumtukana Mtume  Muhammad.   Abdul Inyass amehukumiwa katika kikao cha faragha cha mahakama katika mji wa…

KOREA KASKAZINI YATHIBITISHA KUFANYA JARIBIO LA BOMU LA HAIDROJENI

KOREA KASKAZINI imesema kwa mara ya kwanza imefanikiwa kufanya majaribio ya bomu la nguvu ya maji, maarufu kama bomu la haidrojeni.   Tangazo hili limetolewa na runinga ya…

MAREKANI YAWEKA MIKAKATI YA KUDHIBITI SILAHA

RAIS wa Marekani Barack Obama ametangaza hatua kadhaa zinazonuwiwa kukabiliana na matumizi mabaya ya silaha nchini humo, zikiwemo upatikanaji wa lazima wa leseni kwa wauzaji silaha na kufanya…

MZOZO WA RIYADH NA TEHRAN WATAJWA KUTOATHIRI MAZUNGUMZO YA AMANI SYRIA

WAZIRI wa Mambo ya nje wa Saudi Arabia amesema kuwa mzozo unaozidi kufukuta kati ya Riyadh na Tehran hautaathiri mazungumzo ya amani ya Syria.   Taarifa yake ilikuja…

KUWAIT YAMUONDOA BALOZI WAKE IRAN

Kuwait imetangaza kwamba inamuondoa balozi wake kutoka Iran huku mvutano kuhusu kuuawa kwa mhubiri wa Saudi Arabia nchini Saudi Arabia ukizidi.   Ubalozi wa Saudi Arabia nchini Tehran…

WASHUKIWA WA UGAIDI WASAKWA MOMBASA

MAAFISA wa usalama nchini Kenya wanawasaka washukiwa wanne wa ugaidi ambao wanadaiwa kukwepa msako wa polisi katika nyumba moja Mombasa.   Polisi walipata bunduki mbili na vilipuzi baada…