Your message has been sent, you will be contacted soon

Call Me Now!

Close

ANALIPWA KUBIKIRI WATOTO ILI KUONDOA MIKOSI MALAWI

Katika tamaduni nyingi kote duniani mwanamke anapoolewa huwa ni fahari kubwa sana akiwa ni bikira. Mathalan ni dhihirisho la mwanamke kuwa amelelewa na kutunzwa vyema. Ni dhihirisho la…

POGBA AOMBA KUHAMIA MAN UNITED

Mshambulizi wa Ufaransa na Juventus Paul Pogba ameomba kuihama klabu hiyo ya Italia.Magazeti ya michezo nchini Italia yamechapisha habari hiyo kama kichwa kuwa Mfaransa huyo mwenye umri wa…

WABUNIFU WA NDEGE WATAKIWA KUOMBA VIBALI

Licha ya kuwapo kwa wabunifu kadhaa za ndege na magari, huku wananchi wakitaka Serikali iwaunge mkono kwa kuwawezesha, huenda wengi wao wasifikie ndoto zao. Tayari mkazi wa Tunduma…

WANAFUNZI 382 NDIO WANA SIFA YA KUSOMA STASHAHADA YA UALIMU WA SHULE ZA SEKONDARI KATI WANAFUNZI 7,805-WAZIRI NDALICHAKO

BAADA ya Serikali kufanya uchambuzi wa sifa za Wanafunzi wanaostahili kusoma program maalum ya Ualimu wa sekondari kwa masomo ya sayansi katika Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM),ni wanafunzi…

DEREVA WA MASHINDANO YA MAGARI WA AFRIKA KUSINI AFIA TANZANIA NA SIO KENYA

Bodi ya utalii nchini inakanusha madai ya mwandishi Cara Anna kufuatia taarifa yake aliyoitoa kwenye chombo cha habari cha Miami Herald chenye makao yake nchini Marekani akiripoti kifo…

TOM OLABA AAGANA NA RUVU SHOOTING BAADA YA KUIRUDISHA LIGI KUU

Kocha mkuu wa Ruvu Shooting, Mkenya Tom Alex Olaba aagana na uongozi wa klabu hiyo, akizungumza kupitia Sports headquarters Msemaji wa Ruvu Shooting, Masau Bwile amesema uongozi wa…

AZAM YAKANUSHA KUMTEMA JOHN BOCCO ‘ADEBAYOR’

Mtendaji mkuu wa Azam Fc, SADI KAWEMBA kupitia Sports Headquarters amekanusha taarifa zilizosambaa kwenye mitandao ya kijamii zikidai kwamba mshambuliaji John Bocco ‘Adebayor’ ametemwa kikosini na kocha Mkuu…

NYUKI WALAZIMU MECHI YA KANDANDA KUAHIRISHWA

Mechi moja ya ligi kuu ya kandanda nchini Ecuador iliaahirishwa kwa dharura baada ya nyuki kuvamia uwanja. Amini usiamini mechi kati ya River Ecuador na Aucas katika jiji…

DEMBA BA AVUNJIKA MGUU UWANJANI

Mshambulizi wa zamani wa klabu ya Chelsea ya Uingereza Demba Ba amevunjika mguu akiwa uwanjani katika mechi ya ligi kuu ya Uchina. Raia huyo wa Senegal mwenye umri…

MWEUSI AWAUA POLISI WATATU MAREKANI

Rais Barrack Obama wa Marekani amewasihi wamerakani wajizue dhidi ya hisia kali baada ya Mmarekani Mweusi kuwapiga risasi na kuwaua maafisa watatu wa polisi katika shambulizi la pili…