Your message has been sent, you will be contacted soon

Call Me Now!

Close

CRISTIANO RONALDO ATWAA TUZO YA BALLON d’Or

Mshambuliaji wa Real Madrid Cristiano Ronaldo amemshinda mpinzani wake Lionel Messi na kupata tuzo ya mchezaji bora wa dunia Ballon d’Or hii ikiwa ni kwa mara ya nne….

MPANGO WA UUZWAJI WA AC MILAN WASOGEZWA MBELE

Mpango wa uuzwaji wa klabu ya Ac Milan wasogezawa mbele hadi mwakani mwezi wa tatu. Klabu hiyo ya nchini Italy inayomilikiwa na aliyewahi kuwa waziri mkuu wa nchi…

MARTIN SAANYA NA SAMWELI MPENZU WAPIGWA CHINI

Waamuzi waliochezesha mchezo namba 49 kati ya Yanga na Simba, Martin Saanya na Samweli Mpenzu wametolewa kwenye ratiba ya Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara, huku suala lao…

BASHIR: NI RAHISI KUFANYA KAZI NA TRUMP

Kiongozi wa Sudan Omar el Bashir amempongeza rais mteule wa Marekani Donald Trump akisema kuwa itakuwa rahisi kushirikiana naye, kulingana na gazeti la Emirati al Khaljee. ”Bw Trump…

POLISI YAZUNGUMZIA ASKARI ALIYEJIUA BAHATI MBAYA

Kibaha. Jeshi la Polisi mkoani Pwani limezungumzia kifo cha askari wake PC Armand Furaha (33) aliyejipiga risasi kifuani bila kukusudia na kufariki dunia. Askari huyo alijipiga risasi hiyo…

TRUM KUTANGAZA BARAZA LA WAMAZIRI

Rais mteule wa Marekani Donald Trump anajiandaa kutangaza mawaziri zaidi watakaohudumia utawala wake. Ripoti zinasema kwamba Trump atamteua mshirika wake wa kibiashara wa zamani Steven Mnuchin kama waziri…

SIMBA YAKATAA KUKIPIGA NA YANGA LIGI KUU

Uongozi wa klabu ya Simba umesema kwamba kwa sasa hawatacheza mechi yeyote ile dhidi ya Yanga endapo TFF itaendelea kupanga waamuzi wa hapa nyumbani. Mkuu wa mawasiliano wa…

MCHUNGAJI APULIZIA WAUMINI DOOM AFRIKA KUSINI AKIDAI NI TIBA

Mchungani wa Afrika kusini ambaye aliwapulizia dawa ya kuua wadudu inayoitwa Doom waumini amelaaniwa vikali. Katika taarifa aliyoituma kwenye ukurasa wa Facebook, pmchungaji aliyejitangaza kama nabii Lethebo Rabalago…

KANYE WEST ALAZWA HOSPITALI LOSS ANGELES

Mwanamuziki mashuhuri nchini Marekani Kanye West amelazwa hospitalini mjini Los Angeles, vyombo vya habari nchini Marekani vimeripoti. Msemaji wa polisi ameambia BBC kwamba walipokea simu ya kutokea kwa…

RAIA WA NIGERIA ALIYEKUTWA NA BANGI KUNYONGWA SINGAPORE

Singapore imekataa ombi la msamaha kutoka kwa raia mmoja wa Nigeria ambaye amepangiwa kunyongwa Ijumaa kwa kupatikana na bangi, shirika la haki za kibinadamu la Amnesty International limesema….