Your message has been sent, you will be contacted soon

Call Me Now!

Close

URUSI NA MAREKANI ZATAKIWA KUIMARISHA USITISHAJI TETE WA MAPIGANO SYRIA

MJUMBE  wa  Umoja wa  Mataifa  nchini  Syria  Staffan de Mistura  amezitaka  Urusi  na  Marekani  kuimarisha usitishaji tete wa  mapigano  nchini  Syria  kabla  ya mazungumzo  ya  amani  yenye lengo  la …

KINSHASA: MAMIA YA WATU WAKUSANYIKA KUUPOKEA MWILI WA PAPA WEMBA

MAMIA ya watu wamekusanyika nje ya uwanja wa ndege wa Kinshasa kuupokea mwili wa mwanamuziki Papa Wemba uliowasili nchini humo kutoka Abidjan. Mwanamuziki huyo ambaye ametajwa kuwa mmoja ya…

MKUU WA WILAYA YA KINONDONI ATEMBELEA WANANCHI BUNJU

MKUU wa Wilaya ya Kinondoni jijini Dar es salaam Mh. Ally Hapi leo amewatembelea wananchi maeneo ya Bunju na Mbweni waliokuwa na kero mbalimbali. Katika eneo la Bunju Kilungule,…

RAIS MAGUFULI ATENGUA UTEUZI WA MKURUGENZI MTENDAJI WA TIC

RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dokta John Pombe Magufuli, ametengua uteuzi wa Mkurugenzi Mtendaji wa Kituo cha Uwekezaji Tanzania-TIC, Bi Juliet Kairuki. Kwa mujibu wa Taarifa kwa…

MGOMO WA WAFANYAKAZI WAKWAMISHA SHUGHULI ZA KAWAIDA UJERUMANI

MGOMO wa  wafanyakazi  wa  sekta  ya  umma umevuruga shughuli  za  kawaida nchini  Ujerumani  hii leo. Wanachama  wa  chama  cha  wafanyakazi  wa  sekta  ya umma Verdi wamegoma  kufanya kazi  kutokana na…

UBELGIJI YAMPELEKA UFARANSA MSHUKIWA WA PARIS

SALAH ABDESLAM , anayetuhumiwa  kuchukua  nafasi  ya juu  katika mashambulizi  ya  mjini  Paris ambayo yamesababisha  watu  130  kuuwawa, anafikishwa mahakamani  nchini  Ufaransa  leo, kwa mtazamo  wa kuwekwa  chini  ya …

VODACOM YACHANGIA ASILIMIA 2% YA PATO LA TAIFA 2012/2015

IMEBAINISHWA kuwa kwa mwaka 2012/2015 kampuni ya  simu za mkononi ya Vodacom imechangia zaidi ya  shilingi bilioni 3  katika  pato la taifa ambayo ni sawa na asilimia 2 ya…

RAIS MAGUFULI AWAAPISHA MAAFISA TAWALA WAPYA 10 LEO

RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dokta John Pombe Magufuli,  amewaapisha Maafisa Tawala wapya kumi aliowateua April 25, mwaka huu na kuwapangia vituo vyao vya kazi. Makatibu Tawala…

ALFRED LUCAS ATEULIWA KUWA AFISA HABARI MPYA TFF

Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) limemteua Alfred Lucas kuwa Afisa Habari na Mawasiliano mpya wa shirikisho kuanzaia leo Aprili 27, 2016. Alfred anachukua nafasi ya Baraka…

TAIFA STARS KUIVAA HARAMBEE STARS

Timu ya Taifa ya Tanzania inatarajiwa kucheza mchezo wa kirafiki wa kimataifa na timu ya Taifa Kenya Mei 29, jijini Nairobi. Mchezo huo utachezwa jijini Nairobi Mei, 29…