Your message has been sent, you will be contacted soon

Call Me Now!

Close

WAPINZANI WA TRUMP WAUNGANISHA NGUVU KUMZUIA

WAPINZANI wawili wakuu wa Donald Trump katika kinyang’anyiro cha kumteua mgombea urais wa chama cha Republican nchini Marekani wametangaza mipango ya kuungana kukabiliana na mgombea huyo. Ted Cruz na…

WANANCHI KUNUFAIKA NA UVUVI KWENYE BWAWA LA MTERA

WANANCHI wanaoishi kando ya bwawa la mtera mkoani Iringa wataendelea kunufaika na shughuli za uvuvi kutokana na bwawa hilo kujaa maji. Wakizungumzia kujaa huko kwa maji baadhi ya Wavuvi…

SUDAN KUSINI: MATAIFA YENYE NGUVU YATAKA MACHAR AREJEE JUBA

MATAIFA makuu duniani yamewapa muda viongozi wa pande zinazohasimiana nchini Sudan Kusini kuhakikisha wanakubaliana na kuhakikisha kiongozi wa zamani wa waasi Riek Machar anarejea Juba ifikapo kesho. Mataifa…

MAREKANI: IDADI YA WATU WANAOJIUA YAONGEZEKA

TAKWIMU rasmi za serikali zinaonesha idadi ya watu wanaojiua nchini Marekani imeongezeka kwa kiasi kikubwa. Takwimu hizo kutoka Kituo cha Taifa cha Takwimu za Afya zinaonyesha kuwa viwango…

23% YA WATOTO NCHINI WANASUMBULIWA NA UGONJWA WA MATUNDU YA MOYO

IMEELEZWA kuwa asilimia 23 ya watoto nchini wanasumbuliwa na ugonjwa wa matundu ya moyo ambao umekuwa ni moja kati ya magonjwa yanayoongoza kwa kusababisha vifo vingi vya watoto….

TCRA: SIMU BANDIA CHANZO CHA KUUNGUZA NYUMBA

MAMLAKA ya Mawasiliano Nchini-TCRA-imesema kuwa asilimia 79 ya simu za mkononi zilizofanyiwa utafiti kwa kipindi cha mwezi disemba mwaka jana hadi Februari mwaka huu sio bandia wakati asilimia…

VOLKSWAGEN YATANGAZA KUNUNUA MAGARI YAKE

KAMPUNI ya magari ya Volkswagen imetangaza kuyanunua magari ya kampuni yake kutoka kwa wateja nchini Marekani yapatayo laki tano kama sehemu ya kutimiza makubaliano yaliyoafikiwa na idara ya…

OBAMA AISIHI UINGEREZA ISIJITOE EU

RAIS wa Marekani Barack Obama amesema anaunga mkono Uingereza kubaki katika jumuiya ya Umoja wa Ulaya ili kuweza kuchangia katika vita dhidi ya ugaidi na masuala ya wahamiaji…

KATIBU MKUU WIZARA YA HABARI, UTALII, UTAMADUNI NA MICHEZO WA SERIKALI YA MAPINDUZI AAHIDI KUTOA HUDUMA BORA

KATIBU Mkuu wa Wizara ya Habari, Utalii, Utamaduni na Michezo wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar Omar Hassan Omar amesema atahakikisha anasimamia na kutekeleza adhima ya Serikali hiyo ya…

WATENDAJI WA MAMLAKA ZA SERIKALI ZA MITAA WATAKIWA KUTEMBELEA MAENEO YAO YA KAZI

NAIBU waziri wa Nchi Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mheshimiwa Selemani Jafo amewataka watendaji wa mamlaka za serikali za mitaa kuwa na utaratibu…