Your message has been sent, you will be contacted soon

Call Me Now!

Close

Je Mugabe atamrithisha mkewe mamlaka?

            Hivi karibuni kumekuwa na swali ambalo linawatatiza watu wengi hususani raia wa Zimbabwe kufuatia mtukio ya rais wa nchi hiyo kumkabidhi mkewe…

CHINA YAONYA MATAIFA YA KIGENI KUTOINGILIA HONG KONG

Uchina imeonya kuwa  kuwa haitawavumilia wahaini kutoka nje ya nchi wanaounga mkono maandamano yasiyo halali nchini humo. Kundi lijulikanalo kama Occupy Central ndilo linalolengwa kwa sababu limekuwa likiunga mkono…

MEEK MILL KUTOKA JELA HIVI KARIBUNI

  Rapa kutoka kundi la MMG Meek Mill ambae jina lake halisi ni Robert Williams alihukumiwa kutumikia kifungo kisichopungua miezi mitatu hadi sita jela baada ya rufaa yake…

DIAMOND PLUTNUM AMZAWADIA GARI WEMA SEPETU

Kupitia mtandao wa instagram jana msanii wa muziki wa kizazi kipya Nasib Abdul yani Diamond amepost picha ya gari alilomnunulia mpenzi wake muigizaji Wema Sepetu gari aina ya…

Jason Derulo amethibitisha rasmi kuachana na Jordin Sparks

mkali wa r&b kutoka marekani Jason Derulo ambae alikuwa na mahusiano na mwimbaji mwenzake Jordin Sparks.Jason Derulo  amethibitisha kuachana kwao kupitia ABC News kwa kusema hakuna ubaya baina yao wala usaliti…

Wananchi Wasema Sauti Zao Hazisikiki

Asilimia 70 ya wananchi sehemu mbalimbali nchini wameripoti kuwa sauti zao hazisikiki katika maamuzi ya serikali huku asilimia 71 wakiamini njia pekee ya kuleta ushawishi kwa serikali ni…

Kamati Yapendekeza Mipaka Uhuru Wa Habari

Bunge maalumu la Katiba linaloendelea mjini Dodoma limependekeza kuwe na mipaka ya Uhuru wa Vyombo vya Habari badala ya kuwa na Uhuru usiokuwa na Mipaka. Hayo yamesemwa na…

Tumieni Vizuri Tabiri Za Hali Ya Hewa

Jamii imetakiwa kufuata na kutumia vema utabiri wa Hali ya Hewa unaotolewa kwa muda muafaka na mamlaka ya hali ya hewaTanzania -TMA ili kukabiliana na mabadiliko ya tabia…

Ponda Aiomba Mahakama Morogoro Isimamishe Kesi Yake

  Wakili Nassoro Juma anayemtetea Katibu wa Jumuiya na Taasisi za Kiislamu Tanzania, Sheikh Issa Ponda ameiomba Mahakama Kuu itumie busara kusimamisha kesi ya jinai inayomkabili mteja wake…

Ndege Yaanguka Serengeti Na Kuua Abiria Wake Watatu

  Ndege ndogo ya abiria ya Kampuni ya Safari Express Limited imeanguka katika Hifadhi ya Taifa ya Serengeti na kuwauwa watu watatu waliokuwamo ndani. Ndege hiyo yenye namba…