Your message has been sent, you will be contacted soon

Call Me Now!

Close

P Square Kuachia Nyimbo Tatu Leo Ndani Ya Saa 48, Moja Ni Kolabo Na TI

Kundi la muziki la Mapacha wawili wa Ki Nigeria P Square kuanzia Alhamisi ya leo na ndani ya masaa 48 wanategemewa kuachia nyimbo tatu mfululizo moja kati ya…

Man UTD Yachapwa 4-0. Van Gaal Alaumu Wachezaji Wake

Baada ya kipigo cha magoli 4-0 dhidi ya timu yake,  Meneja wa klabu ya Man Utd Van Gaal amelia na kikosi chake ambacho jana usiku kiliendelea kupata matokeo…

Mapigano Baina Ya Israel Na Wapalestina Yasimama Gaza

Israel na wapiganaji wa Ki Palestina wamekubaliana kusitisha mapigano kwa muda mrefu katika ukanda wa Gaza. Kusitishwa kwa mapigano hayo, kumehitimisha wiki saba za vita vilivyosababisha vifo vya…

Rais Kikwete Kukutana Na Ukawa Hivi Karibuni

Rais Jakaya Kikwete anatarajia kukutana na viongozi wa Vyama vya Siasa vinavyounda Kituo cha Demokrasia Tanzania (TCD) ili kuzungumzia mchakato wa Katiba wakati wowote wiki hii. Katika mkutano…

Bunge Latuhumiwa Kufanya Kazi Ya Kukusanya Maoni Upya

Kitendo cha Bunge Maalumu la Katiba kukusanya maoni ya makundi na wananchi mbalimbali, kimepokewa kwa hisia tofauti, baadhi ya wasomi wakisema ni kinyume cha sheria na kuonyesha kutapatapa…

Rais Kikwete Aipa Halmashauri Ya Kilosa Wiki Moja Kuwapatia Wahanga Wa Mafuriko Viwanja

Rais JAKAYA KIKWETE ametoa wiki moja kwa uongozi wa Halmashauri ya Wilaya ya Kilosa, Mkoani Morogoro, kuwapatia viwanja vya kujenga nyumba wahanga wa mafuriko ya kiasi cha miaka…

Tanzania Waomba Kuandaa AFCON 2017

Shirikisho la Soka Tanzania TFF leo lilikuwa linatarajiwa kutuma rasmi maombi ya kuandaa michuano hiyo inayotakiwa kufanyika mwaka 2017, baada ya Libya kujitoa. Akizungumza leo mbele ya waandishi…

Mtangazaji Wa Michezo Omari Katanga Naye Ajiunga EFM

Aliyekuwa mtangazaji wa Redio One katika kipindi cha “Spot Leo” Omary Katanga amefuata nyayo za pacha wake Maulid wa Kitenge aliyejiunga na kituo cha redio 93.7 E FM…

Maulid Kitenge Na Omari Katanga Waanza Rasmi Kazi EFM

Watangazaji mahiri wa michezo nchini, Maulid Kitenge na Omari Katanga jana usiku wameanza kazi rasmi katika kituo chako cha Radio EFM. Watangazaji hao mahiri ambao wote wamejiunga  wiki…

Azam Fc Yatolewa Cecafa Kagame Cup Kwa Penati

Timu ya soka ya Azam Fc ambayo ilikuwa inashiriki mashindano ya cecafa kwa timu za ukanda wa Africa Mashariki nchini Rwanda imeyaaga rasmi mashindano hayo jioni hii baada…