Your message has been sent, you will be contacted soon

Call Me Now!

Close

MCHUNGAJI AKATISHA HOTUBA YA TRUMP

Mchungaji wa kanisa moja la watu weusi katika jimbo la Michigan, Marekani amemkatisha Donald Trump akihutubu alipoanza kumshutumu mpinzani wake Hillary Clinton. Mchungaji Faith Green Timmons alimkatisha BwTrump…

MSN NI MVUA YA MAGOLI, YAISAMBARATISHA CELTIC 7-0

Celtic walipokezwa kichapo kibaya zaidi katika mashindano ya Ulaya Jumanne usiku baada ya kuchapwa mabao 7-0 na Barcelona uwanjani Camp Nou. Mshambuliaji Lionel Messi, raia wa Argentina, alifunga…

HILLARY CLINTON KUENDELEA NA KAMPENI

Mgombea urais wa chama cha Democratic nchini Marekani Hillary Clinton atarejelea kampeni zake mnamo Alhamisi, msemaji wake amesema. Mwanasiasa huyo alikuwa amepumzika kwa siku kadha ili kupata nafuu…

MAHAKIMU 11 KIBARUA CHAOTA NYASI

Dar es Salaam. Wakati mahakimu 11 na watumishi 23 wa mahakama wakifukuzwa kutokana na kukiuka maadili ya utumishi, wengine 62 watajadiliwa na vyombo vya kimahakama kuangalia hatima yao….

CHINA KUFUNGA DARAJA LA VIOO BAADA YA WIKI MBILI

Daraja la vioo lililojengwa juu nchini Uchina ililosifiwa kwa kuvunja rekodi lilipozinduliwa siku 13 tu zilizopita limefungwa. maafisa wanasema serikali inapanga kufanya ukarabati wa dharura wa eneo hilo…

GABON: VURUGU ZATANDA BAADA YA ALI BONGO KUTANGAZWA MSHINDI

Fujo zimezuka katika mji mkuu wa Gabon, Libreville baada ya Rais Ali Bongo kutangazwa mshindi wa uchaguzi wa urais uliofanyika Jumamosi. Mgombea wa upinzani Jean Ping amesema watu…

ARSENAL KUMTOA JACK WILSHERE KWA MKOPO

Arsenal iko tayari kumtoa kwa mkopo kiungo wa kati wa Uingereza Jack Wilshere ili kupata fursa ya kujumuika katika kikosi cha kwanza cha timu. Mchezaji huyo mwenye umri…

WHATSAPP KUSHEA DATA NA FACEBOOK

Kamishna wa mawasiliano nchini Uingereza anachunguza uamuzi wa programu ya WhatsApp wa kugawana data na kampuni ya facebook. Data hiyo ya watumiaji wa WhatsApp itatumiwa kuvutia matangazo yanayoonekana…

MATUNDA NA MBOGA HUPUNGUZA HATARI YA UGONJWA WA MOYO

Utafiti mpya uliofanywa nchini Italy unasema kuwa chakula kinachotumiwa katika eneo la Mediterranean kinapunguza hatari ya vifo vya mapema miongoni mwa watu walio na ugonjwa wa moyo. Utafiti…

MAHAKAMA YA UFARANSA YAAHIRISHA MARUFUKU YA UVAAJI WA BURKINI

Mahakama ya juu ya utawala nchini Ufaransa imeahirisha marufuku iliyowekwa na miji ya mwambao juu ya uvaaji wa vazi la kuogelea linalofunika mwili mzima ama burkini linalovaliwa na…