Professor Jay ndani ya Nyumba
Professor Jay: Naamini basata ni wazazi na walezi wa muziki
Professor Jay: Niliposikia nyimbo zinafungiwa nilishtuka, nafikili basata wanatakiwa kukaa na vijana kuweza kuwaelekeza
Professor Jay: Kwa dunia ilivyo sasa sidhani hizi contents za kawaida sana sioni kama shida
Professor Jay: Kweli tunaitji kujitune kufuata utamaduni wetu lakini tuliangalie hili
Professor Jay: Unapoongelea serikali ni chombo kikubwa sana, na hata baraza la sanaa ni kama mzazi.
Professor Jay: Kulidharau baraza la Sanaa si vizuri, kinachotakiwa ni kukaa na baraza na kuongea nayo
Professor Jay:Yaha ni kweli vijana wanakosea, na sisi ni kama kolodoza, tumechonga barabara haawa madogo wanapita kwenye njia imenyooshwa
Professor Jay: Pagamisa ni neno la kizuru maana yake pukutisha, au usikate tamaa
Professor Jay: Lengo la huu wimo ni kuwapa funzo vijana, wasikate tamaa, wapambane mpaka kieleweke
Professor Jay: Unajua mimi sasa ni mwanasiasa so siku hizi nikishasema wadau watasema mimi nasema kwa ajili ya upande wa chama
Professor Jay: wimbo huu target yangu ni kuwini market ya umri wote, wale kitambo, na wasasa
Professor Jay: Video ya Pagamisa imeshatoka inapatika kwenye chanel yangu ya Youtube