Entertanment

ANNIE IDIBIA: NATAMANI NINGEKUWA MAMA WA WATOTO WOTE 7 WA 2FACE
Entertanment

Kutoka kwenye jarida la Style Magazine ambalo chapisho lake jipya nimejikita kwenye kuyajua maisha ya uzazi kwa star wa kike Jarida hilo limetoka na stori ya muigizaji Annie Idibia kutokea Nollywood ambae pia ni mke wa mwimbaji 2face Idibia wote kutkea Nigeria Annie Idibia ambae ni mzazi wa mabinti wawili Isabella na Olivia, ameelezea jinsi gani wazazi wake walivyoachana waliathiri mfumo wa maisha yake utotoni, ndoa yake na 2face, watoto wa kambo, ujauzito n.k Kuhusu kutarakiana kwa wazazi wake Annie...

Like
438
0
Tuesday, 27 January 2015
KEJERI ZA SHABIKI ZAMTIBUA KANYE WEST
Entertanment

Kanye West rapa kutoka nchini Marekani alikuwa na wakati mgumu mwishoni mwa wiki pindi yeye na mkewe Kim Kardashian waliwasili jijini Washington DC   Hali ilikuwa tete pale mmoja wa mashabiki alipomtaka Kanye west asain picha iliyotumika katika harusi ya Kim na Kris Humphries. Katika hali tu yakawaida unaweza ukajiuliza huenda shabiki huyo alikosa picha yakuweka sahihi na Kanye au alilenga kumkera msanii huyu ambae alikataa kusaini picha...

Like
433
0
Monday, 26 January 2015
VIDEO: ALICHOKISEMA MABESTE KUHUSU KUTEGEWA AJALI NA KUSAMEHE YOTE YALIYOPITA KUPITIA GENGE LA 93.7 EFM
Entertanment

Kupitia interview aliyoifanya leo kwenye kipindi cha Genge kinachoruka kila siku ya jumatatu hadi ijumaa kuanzia saa tatu asubuhi hadi saa sita mchana, mkali Mabeste alihusika kwenye Fresh beat leo ambapo alitambulisha wimbo wake mpya Usiwe bubu lakini pia alipata nafasi ya kuzungumzia mawili matatu yanayomuhu yeye na familia yake unaweza kuitazama interview hiyo hapa lakini pia kusikiliza na kudownload wimbo huo   NEW AUDIO: Mabeste – usiwe...

Like
1029
0
Thursday, 22 January 2015
LIL WAYNE AMEACHIA MIXTAPE YAKUIDISS CASH MONEY
Entertanment

Lil wayne ameachia mixtape kufuatia kuchelewa kwa albam yake ya Carter V ambayo imesababisha ugomvi mkubwa kati yake na Birdman mmiliki wa cash money label. Mixtape hiyo inatajwa kuwa ni mixtape iliyolenga zaidi kuomba radhi mashabiki wake ambao wamekuwa wakiisubiri albam ya Carter V pia kuthibitisha hali kutokuwa shwari kati yake na uongozi wake Katika mixtape hiyo wimbo wa kwanza ni remix ya wimbo O.T. Genasis’ “CoCo,” ambapo Lil Wayne ametupia mzigo wa lawama kwa cash money kwa kuichelewesha albam...

Like
359
0
Thursday, 22 January 2015
MPINZANI WA MAYWEATHER ATANGAZA KUACHA MUZIKI
Entertanment

Hii ndio kauli ya bingwa wa masumbwi duniani kutokea nchini Ufilipino Manny Pacquiao kwenye vyombo vya habari Pacquiao ametangaza rasmi kuachana kabisa na shughuri za kimuziki na kusema kwamba anaupenda muziki ila hadhani kama muziki unampenda “I love music, but I don’t think music loves me.” Pacquiao amesema hatotoa albam mpya tena . Pacquiao kwa sasa anapromote documentary lakini hadi hivi sasa amesema anajivunia mafanikio aliyoyapata kupitia muziki, aidha Pacquiao ameongeza ya kuwa albam yake ya kwanza ilifikia mauzo ya...

Like
328
0
Thursday, 22 January 2015
PICHA: SEHEMU YA UANDAAJI WA VIDEO YA YAMOTO BAND NITAKUPWELEPWETA
Entertanment

  video hiyo inaandaliwa chini ya kampuni ya Next level na inatarajiwa kutoka hivi...

Like
1435
0
Tuesday, 20 January 2015
NEW VIDEO: AVRIL FT OMMY DIMPOZ
Entertanment

...

Like
1063
0
Tuesday, 20 January 2015
BMW LAMTOKEA PUANI JORDIN SPARKS
Entertanment

Kama uliwahi kufiria kupewa zawadi ya gari na mpenzi wako kikubwa kwa sasa ni kujiuliza mara mbili kwamba iwapo mkiachana hali itakuwaje?. Baada ya kuachana kwa njia salama na amani Jason Derulo na Jordin Sparks miezi kadhaa nyuma huku kila mmoja wao akiyazungumzia mahusiano yao kama ni mambo binafsi hivyo hawakuwa na sababu ya kuweka wazi. Sasa Jordin Sparks alipokuwa akihijiwa kwenye moja ya vipindi vya redio kuhusu mahusiano yao ndipo alipogusia gari aina ya BMW alilopewa na aliekuwa mpenzi...

Like
311
0
Saturday, 17 January 2015
TAMEKA FOSTER AMTAKIA KILA LA KHERI USHER KWENYE NDOA YAKE
Entertanment

Aliewahi kuwa mke wa Usher Raymond Tameka Foster amempongeza Usher lakini pia ametoa ruhusa kwa watoto wake kuhudhuria kwenye harusi atakayoifunga na meneja wake Grace Miguel na kuwatakia kila la kheri kwenye mwanzo mpya wa maisha yao. Usher na Tamika kwa muda mrefu wamekuwa na migogoro ya hapa na pale kuhusu watoto wao lakini huenda Tameka ameamua kumliza tofauti zao huku akishuhudia mwanamke alikuwa akimtuhumu kutoka kimapenzi na mumewe wakati watoto wakiwa na miezi mitatu...

Like
578
0
Friday, 16 January 2015
NEW VIDEO: MWANA FA FT ALI KIBA – KIBOKO YANGU
Entertanment

...

3
4848
0
Thursday, 15 January 2015
TOP 3 YA MASTAR WA BONGO WENYE FOLLOWERS WENGI INSTAGRAM
Entertanment

instagram ni miongoni mwa mitandao ya kijamii inayokuwa kwa kasi kote duniani kwa sasa, kwa hapa kwetu Tanzania wasanii na watu maarufu ni miongozni mwa watu wenye ushawishi mkubwa katika jamii, sasa kama unafuatilia mitandao hiyo kiundani hii ni top 3 ya wasanii wenye followers wengi hapa Bongo namba moja 1.. inakamatwa na Diamond wakati namba mbili inashikiliwa na wema Sepetu huku namba tatu ikiwakilishwa na...

Like
1240
0
Thursday, 15 January 2015