watangazaji na maDJS wa 93.7 EFM wakifanya maandalizi ya tamasha la muziki mnene liliofanyika Dar alive mbagala . watangazaji na maDJS wa 93.7 EFM wakifanya maandalizi ya tamasha la muziki mnene liliofanyika Dar alive mbagala. RDJS wa 93.7 EFM wakianza kutoa burudani katika tamasha la muziki mnene lililofanyika Dar alive mbagala. Baadhi ya mashabiki waliowahi kufika katika tamasha la muziki mnene la 93.7EFM lililofanyika Dar alive mbagala. Godwin Mawanja pamoja na Sada Nassoro wakianza amsha amsha ya...
Mwimbaji mwenye umri wa miaka 26 kutoka Marekani Rihanna kwa sasa yupo huko Herzogenaurach, nchini Ujerumani kumalizia dili alilopewa na kampuni ya Puma kuwa balozi mpya wa kimataifa wa bidhaa za michezo za Puma Rihanna atakuwa mkurugenzi kwenye idara ya ubunifu kwa upande wa wanawake atakaeanza kutoa mafunzo kwa jamii mapema mwakani, mkataba huo utadumu kwa miaka kadhaa Kupitia mtandao wa Instagram Rihanna alishea picha akiwa amevaa baadhi ya bidhaa za Puma kama sehemu ya kutangaza bidhaa...
Cannon ambae ni actor, rapper na record producer kutoka nchini Marekani kwa sasa yupo nchini Jamaica kwa ajili ya project yake na Kreesha Turner msanii mwenye asili ya Jamaica alikuwa chini ya label yake ya Ncredible Records mschana huyo akiwa ni mjamaica wa kwanza kuwa chini ya label hiyo Kreesha Turner yupo Jamaica na meneja wake kwa dhumuni la kuutangaza muziki wake wa dancehall uweze kupenya ndani ya Jamaica ambapo kwenye interview ambayo nick cannon aliifanya na Jamaica Observer aliulizwa...
Zari the boss lady kwa sasa amerejea nchini Uganda tayari kujiaandaa na show yake ya all white party ikiwa ni siku wiki chache toka kuvuja kwa mkanda wake wa ngono kwenye mitandao ya kijamii kupelekea kuandamwa na matusi kutoka kwa mashabiki na skendo kadhaa za kuwa na mahusiano na Diamond. Zari amerejea Kampala na mkoko mpya ambao ni convertible Mercedes Benzi yenye uwezo wa kujibadili Inasemekana pia huenda gari hilo limetoka kwa aliekuwa mumewe Ivan Lakini diva wa Kenya...
Birdman amekataa kumuacha Lil Wayne atoke kwenye recording label yake ya Cash Money music richa ya maneno yote yanayosemwa na Lil Wayne kutokuwa mazuri kwa bosi huyo. Birdman amekasirishwa saana na maneno ya Lil Wayne ambae amedai anapoteza kipaji chake kwa kuchelewa kutoa albam mpya sokoni hali iliyompelekea weezy kuanza kutupa vijembe mitandao kwa kutweet maneno haya “I want off this label and nothing to do with these people.” Birdman ameapa kumfikisha Lil Wayne mahakamani iwapo atakwenda kinyume na...
Kaka wa aliekuwa boyfriend wa desire luzinda Franklin ambae ni raia wa Nigeria amehukumiwa kifo nchini Malaysia baada ya kukutwa na hatia ya kuingiza dawa za kulevya nchini humo Jamaa huyo mwenye umri wa mika 35 alietambulika kwa jina la Abuchi Ngwoke alihukumiwa kifo siku ya jumanne november 25 na mahakama kuu ya Malaysia baada ya kukamatwa mapema mwaka 2012 katika uwanja wa ndege nchini humo akiwa na kilo 251.66 za methamphetamine, ingawa hukumu hiyo imepita lakini bado siku ya...
Floyd Mayweather amedai kuwa hakumkosea aliekuwa mpenzi wake Shantel Jackson hakumkosea kufuatia kitendo cha yeye kulizungumzia swala la Shantel Jackson kutoa mimba kupitia mitandao ya kijamii kwavile hata mahusiano yao yalikuwa ni kutafuta umaarufu kwenye jamii Mapema mwaka huu iliripotiwa kwamba Shantel Jackson amefungua kesi kwa sababu tofautitofauti ikiwa ni pamoja na kushambuliwa, kashfa, uvamizi wa faragha na zaidi. Floyd Mayweather alifunguka zaidi na kutoa siri kuwa Shantel ndie aliemtafuta yeye na kumuomba amfanye kuwa...
Paul, Peter and Jude Okoye walimpoteza mama yao miaka miwili nyuma inasikitisha saana kusema kwamba jana pia wamempoteza baba yao mzazi Kwa mujibu wa chanzo cha habari kimedai kuwa Mr. Okoye hivi karibuni alifanyiwa upasuaji wa goti na kuwa salama kiafya lakini hapo jana alipata ajali ya ndani baada ya kuteleza na kichwa chake kugonga sakafu ya marumaru Ingawa hakuna taarifa rasmi kutoka kwa Peter, Paul na Jude Okoye ila Lola Omotayo-Okoye kupitia akaunti yake ya Instagram ameshea ujumbe wa...
...
Baada ya Desire Luzinda kumake headlines kufuatia picha zake za utupu kusambaa kwenye mitandao ya kijamii Wiki iliyopita alijipeleka mwenyewe katika katika kituo kikuu cha polisi huko Naguru nnchini Uganda kwa mujibu wa chanzo cha habari kimedai polisi walikuwa na shauku kubwa saana kukutana nae ikiwa na pamoja kumfanyia mahojiano kama sehemu ya kesi ambapo askari hao walitakiwa kuzipitia kanda hizo za ngono za wawili hao ili kuwafamu vizuri watuhumiwa kupitia ushahidi walionao mbali nay a Desire ambae amedai amepata...
Mapema hii leo Diamond alikuwa kwenye kipindi cha Genge kutambulisha wimbo huu...