Local News

RAIS KIKWETWE ATUMA SALAMU ZA RAMBIRAMBI KUOMBOLEZA KIFO CHA KATIBU UVCCM ARUMERU
Local News

RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi –CCM, Taifa, Pofesa JAKAYA MRISHO KIKWETE amemtumia Salamu za Rambirambi Katibu Mkuu wa Umoja wa Vijana wa CCM -UVCCM Taifa, SIXTUS MAPUNDA kuomboleza kifo cha Katibu wa UVCCM Wilaya ya Arumeru, LUCY BONGELE kilichotokea tarehe 2 Novemba, mwaka huu kwa ajali ya gari. Ajali hiyo imetokea Wilaya ya Ngorongoro baada ya gari walilokuwa wakisafiria aina ya Land Cruiser Prado Namba T380 ADP kuacha njia na kupinduka wakati...

Like
413
0
Tuesday, 04 November 2014
KITUO CHA WANAWAKE RUVUMA KIMEIOMBA SERIKALI KUWAPATIA MSAADA WA MASHINE ZA KUSHONEA
Local News

  KITUO cha Wanawake Mkoa wa Ruvuma Wilaya ya Namtumbo –MKOMANILE, kimeiomba serikali kuwapatia msaada wa mashine za kisasa za kushonea nguo pamoja na umeme.   Akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es salaam Mkurugenzi wa Kituo hiko JANETH LOPENZA amesema kuwa lengo la kikundi ni kuinua uchumi wa wanawake vijijini kupitia uzalishaji wa ujasiriamali.   LOPENZA amethibitisha kuwa kupitia msaada wa taasisi mbalimbali imewasaidia kujenga maabara ya vifaa vya samani, malighafi na mashine za...

Like
442
0
Tuesday, 04 November 2014
VIKAO VYA BUNGE VYAANZA RASMI LEO
Local News

  VIKAO vya Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania vimeanza leo mjini Dodoma ambapo pamoja na mambo mengine bunge litakaa kama kamati ya Mipango kwa mujibu wa masharti ya kanuni ya 94 kifungu cha kwanza na kupokea, kujadili na kutoa maoni na ushauri kuhusu bajeti ya Serikali, vyanzo vya mapato pamoja na mapendekezo ya utekelezaji wake. Baadhi ya Miswada itakayosomwa ni pamoja na muswada wa Sheria ya kodi ya ongezeko la thamani ya mwaka 2014, muswada wa sheria ya...

Like
345
0
Tuesday, 04 November 2014
BAVICHA YALAANI KUZALILISHWA KWA JAJI WARIOBA
Local News

BARAZA la vijana la chama cha Demokrasia na Maendeleo, CHADEMA, – Bavicha, limelaani vikali kitendo cha kudhalilishwa kwa Jaji mstahafu Josefu Sinde Warioba na kusema kuwa kitendo hicho ni ukiukwaji wa haki na fedhea kwa Taifa. WAKATI HUO HUO, kufuatia tukio la vurugu zilizotokea katika mdahalo wa Katiba ulioandaliwa na Taasisi ya Mwalimu Nyerere zikihusishwa na aliyekuwa mjumbe wa Bunge Maalum la Katiba PAUL MAKONDA, Mjumbe huyo amekanusha tuhuma hizo…. MAKONDA Jana, mara baada ya vurugu hizo lilijitokeza kundi la...

Like
1694
0
Tuesday, 04 November 2014
BEI ZA MAUZO KATIKA SOKO LA FEDHA LEO
Local News

Bei za mauzo ya fedha sokoni leo. Dola ya imenunuliwa kwa shilingi 16 na sent 80 na kuuzwa kwa shilingi 17 na senti 15 Pound imenunuliwa kwa shiling 26 na senti70 na kuuzwa kwa shilingi 2,800 Euro imenunuliwa kwa shilingi 2,na senti 80 na kuuzwa kwa shilingi 2,190 Fedha ya Kenya imenunuliwa 18.na senti 4 kwa shilingi na kuuzwa kwa shilingi 19na senti 8 Na fedha ya Uganda imenunuliwa kwa shilingi 0.50 na kuuzwa kwa shilingi 0.80  ...

Like
523
0
Monday, 03 November 2014
EABC YATOA MAFUNZO KWA WAHANDISI WASANIFU TANZANIA
Local News

BARAZA la wafanyabiashara Afrika mashariki –EABC- limetoa mafunzo kwa wahandisi wasanifu kuihamasisha Serikali ya Tanzania iweze kusaini mkataba wa makubaliano ya kutambulika katika nchi tano ili kuwawezesha kupata fursa za biashara na kazi. Hatua hiyo imefikiwa baada ya Tanzania kuwa nchi pekee iliyobakia kusaini makubaliano hayo kutokana na kutokukubaliana na baadhi ya mambo ambayo wana uhakika yanaweza kurekebishwa na kuruhusu mkataba huo kusainiwa. Akizungumza na EFM mjumbe wa EABC ADRIAN NJAU amesema mpaka sasa wameshasaini makubaliano...

Like
301
0
Monday, 03 November 2014
SERIKALI YATAKIWA KUBORESHA MIUNDOMBINU YA SOKO LA BUGURUNI
Local News

WAFANYABIASHARA wa soko la Buguruni wameiomba Serikali kuwasaidia kuwajengea miundombinu ya soko hilo ili kuwasaidia kupunguza hasara ya uharibifu wa biashara zao. Wakizungumza na Efm leo, wafanyabiashara hao wamesema wamekuwa wakipata hasara kubwa hususani upande wa biashara ya Matunda kwakuwa huoza kutokana na kutokuwepo kwa mifereji ya kupitishia maji kipindi cha msimu wa Mvua.  ...

Like
332
0
Monday, 03 November 2014
ONGEZEKO LA DAWA ZA KULEVYA LAWAWEKA HATARINI VIJANA WASIOKUWA NA AJIRA
Local News

IMEELEZWA kuwa idadi kubwa ya vijana wasiokuwa na ajira nchini wako hatarini kuingia kwenye matumizi ya dawa za kulevya kufuatia ongezeko kubwa la uingizaji wa dawa hizo nchini Akizungumza na E fm Mkurugenzi wa Maa media FURAHA LEVILAL amefafanua namna mradi huo utakavyoweza kukomboa fikra za vijana ili kuongeza uchumi wa taifa… FURAHA LEVILAL Naye kaimu mkuu wa masoko na uhusiano wa NBC RUKIA MKINGWA ameeleza kuwa vijana ni nguvu kazi ya taifa hivyo wajitokeze kwa wingi kushiriki fursa hiyo.………RUKIA...

Like
624
0
Friday, 31 October 2014
WAZIRI WA MALIASILI NA UTALII AZINDUA RASMI MKAKATI WA KUPAMBANA NA MAJANGILI
Local News

WAZIRI wa Maliasili na Utalii Mheshimiwa LAZARO NYALANDU amezindua rasmi Mkakati wa Taifa wa Kupambana na Ujangili dhidi ya Wanyama pori na bihashara haramu ya meno ya Tembo nchini. Akizungamza na wadau mbalimbali Jijini Dar es Salaam NYALANDU amesema kuwa Mamlaka ya Wanyama Pori imepewa jukumu la kusimamia shughuli zote za uhifadhi wanyama kwa asilimia 90 sawa na kilomita za mraba laki moja na elfu sabini. NYALANDU  ...

Like
470
0
Friday, 31 October 2014
BARABARA YA GARDEN-GARDEN AVENUE KUBADILISHWA JINA LEO
Local News

  BARABARA ya Garden-Gardern Avenue iliyopo katikati ya Jiji la Dar es salaam inatarajia kuitwa Barabara ya Humburg kuanzia leo. Taarifa iliyotolewa kwa vyombo vya Habari imeeleza kuwa Meya wa Jiji la Dar es salaa Dokta DIDAS MASABURI anatarajiwa kuwa miongoni mwa wageni watakaoshiriki tukio hilo la Kihistoria la kubadilisha jina. Mbali na Dokta MASSABURI wengine watakaohudhuria hafla hiyo ni pamoja na Diwani Mkuu wa Jimbo la Humburg nchini Ujerumani WOLFGANG SCHMIT na Balozi wa Heshimia anaeiwakalisha Tanzania jijini humo...

Like
436
0
Thursday, 30 October 2014
MBUNGE WA JIMBO LA UKONGA EUGEN MWAIPOSA AWEKWA KIKAANGONI NA WANANCHI
Local News

WAKAZI wa kata ya kivule manispaa ya ilala jimbo la ukonga wamemlalamikia Mbunge wa jimbo hilo EUGEN MWAIPOSA kutotatua kero zinazokwamisha shughuli za kimaendeleo katika kata yao. Wakazi hao wamezitaja kero hizo kuwa ni pamoja na kutogawanywa kwa kata hiyo yenye zaidi ya watu elfu 72 hali inayochangia kuwepo kwa migogoro ya Ardhi, Akitoa ufafanuzi juu ya malalamiko ya kutogawanywa kwa kata hiyo katika mitaa Mh.MWAIPOSA amesema swala hilo limeshafikishwa katika ofisi husika na zipo katika hatua za utekelezwaji hivyo...

Like
458
0
Thursday, 30 October 2014