Local News

TAASISI ZA ELIMU YA JUU ZIIMARISHE MADAWATI YA MIKOPO
Local News

  Akifunga kikao kazi cha siku mbili kati ya Menejimenti ya HESLB na maafisa wanaosimamia madawati mikopo kutoka taasisi za elimu ya juu zaidi ya 70 mwishoni mwa wiki mjini Morogoro, Katibu Mkuu wa Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia Dkt. Leonard Akwilapo amewataka viongozi wa taasisi hizo kuhakikisha maafisa wao wana vitendea kazi vya uhakika na wanapata ushirikiano wa kutosha. Madawati hayo ya mikopo yalianzishwa mwaka 2011 katika taasisi zote za elimu ya juu kufuatia maelekezo ya Serikali ili...

Like
467
0
Monday, 12 March 2018
NEC YATAKA TUME HURU
Local News

Dar es Salaam. Baada ya kukamilisha Uchaguzi Mkuu wa Oktoba mwaka jana kwa mafanikio, Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) imetoa mapendekezo saba kwa Serikali ili iyashughulikie kwa lengo la kuboresha uchaguzi ujao. Mapema mwezi huu, Mwenyekiti wa NEC, Jaji mstaafu, Damian Lubuva akiwa sambamba na wajumbe wengine wa taasisi hiyo na Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC), walikabidhi ripoti ya uchaguzi huo kwa Rais John Magufuli. Licha ya kueleza mafanikio yaliyopatikana katika kipindi chote cha mchakato huo, kuanzia...

Like
299
0
Tuesday, 26 July 2016
SUMTRA KUISHTAKI UDART KWA KUTOZA NAULI ZAIDI
Local News

Dar es Salaam. Mamlaka ya Udhibiti wa Usafiri wa Majini na Nchi Kavu (Sumatra), imesema wakati wowote kuanzia sasa itaufikisha mahakamani uongozi wa Mabasi ya Kwenda Haraka (Udart) kwa tuhuma za kuwatoza abiria nauli zaidi kinyume na matangazo yao. Mkurugenzi Mkuu wa Sumatra, Gilliard Ngewe alisema jana jijini Dar es Salaam kuwa, mashtaka dhidi ya uongozi huo yameshaandaliwa na kilichobaki ni kuyafikisha mahakamani. Ngewe alisema Udart inatoza nauli ya Sh650 badala ya 400 kwa ruti ya kutoka Mbezi hadi Kimara...

Like
451
0
Tuesday, 26 July 2016
WABUNIFU WA NDEGE WATAKIWA KUOMBA VIBALI
Local News

Licha ya kuwapo kwa wabunifu kadhaa za ndege na magari, huku wananchi wakitaka Serikali iwaunge mkono kwa kuwawezesha, huenda wengi wao wasifikie ndoto zao. Tayari mkazi wa Tunduma mkoani Songwe, Adam Kimikile (34) aliyetengeneza helikopta ni kama amepigwa ‘stop’ na Mamlaka ya Usafiri wa Anga Tanzania (TCAA) kujihusisha na utengenezaji au ubunifu wa ndege bila kufuata taratibu. TCAA imesema anayetaka kutengeneza ndege ama vifaa vyake, azingatie kanuni za usafiri wa anga na kupata kibali cha mkurugenzi wake mkuu na hatua...

Like
563
0
Wednesday, 20 July 2016
WANAFUNZI 382 NDIO WANA SIFA YA KUSOMA STASHAHADA YA UALIMU WA SHULE ZA SEKONDARI KATI WANAFUNZI 7,805-WAZIRI NDALICHAKO
Local News

BAADA ya Serikali kufanya uchambuzi wa sifa za Wanafunzi wanaostahili kusoma program maalum ya Ualimu wa sekondari kwa masomo ya sayansi katika Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM),ni wanafunzi 382 ndio wamekidhi kusoma program hiyo kati ya wanafunzi 7,805 waliondolewa katika mgomo wa walimu wa chuo hicho. Akizungumza na waandishi habari Ofisini kwake, Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Profesa Joyce Ndalichako amesema kuwa wamefanya uchambuzi huo ili kutoa haki kwa watu wenye sifa ya kusoma program maalum kwa walimu wa...

Like
473
0
Tuesday, 19 July 2016
DEREVA WA MASHINDANO YA MAGARI WA AFRIKA KUSINI AFIA TANZANIA NA SIO KENYA
Local News

Bodi ya utalii nchini inakanusha madai ya mwandishi Cara Anna kufuatia taarifa yake aliyoitoa kwenye chombo cha habari cha Miami Herald chenye makao yake nchini Marekani akiripoti kifo cha Gugu Zulu Raia wa Afrika kusini aliyefariki dunia wakati akijaribu kupanda mlima Kilimanjaro, hapa Tanzania. Kwenye ripoti ya mwandishi huyo amedai kuwa raia huyo wa afrika Kusini amepoteza maisha wakati akijaribu kupanda mlima Kilimanjaro nchini Kenya Zulu mwenye umri wa miaka 38 ni dereva wa mbio za magari alikuwa katika ziara...

Like
445
0
Tuesday, 19 July 2016
MSAKO KUFANYIKA NYUMBA KWA NYUMBA DAR KUTAMBUA SHUGHULI ZA KILA MKAZI
Local News

Msako huo uliotangazwa na Mkuu wa Mkoa wa Daresalaam Mh. Paul Makonda utafanyika nyumba moja hadi nyingine kwa lengo la kutambua shughuli za wakazi wa Daresalaam na kutoa onyo kwa atakayekwamisha zoezi hilo kukiona cha...

Like
338
0
Friday, 15 July 2016
RAIS MAGUFULI NA MITANDAO YA KIJAMII
Local News

Rais John Magufuli ametumia dakika 40 kuelezea jinsi alivyokuwa akilala usiku wa manane kuchambua majina 185 ya wakurugenzi wa wilaya, amesema matokeo yake hakuna “vilaza” waliopenya, akijibu habari zilizozagaa kwenye mitandao ya kijamii. Katika hotuba yake Rais alisema katika kazi hiyo iliyomchukua takribani miezi minne, alipitia jina la kila mkurugenzi aliyemteua na hakuna aliyepenyeza jina lake kutaka kuteuliwa likapita. “Aliyejaribu, jina lake liliondolewa. Sikujua hata sura zenu ila kwa jinsi ninavyoziona nyuso zenu hapa, hakika...

Like
384
0
Wednesday, 13 July 2016
WABUNGE WAWILI WA CHADEMA WASIMAMISHWA KUHUDHURIA VIKAO VYA BUNGE KUANZIA LEO
Local News

Mbunge wa Jimbo la Mbeya Mjini, Joseph Mbilinyi amesimamishwa kuhudhuria vikao kumi vya bunge kuanzia leo June 30 mwaka huu baada ya kubainika kunyosha kidole cha kati kwa wabunge baada ya kukiri mbele ya Kamati ya Haki, Maadili na Madaraka kwamba alifanya kitendo hicho. Hata baada ya kuhojiwa Mbunge Mbilinyi alishindwa kumtaja Mbunge wa CCM aliyedaiwa kumtukana ili nae achukuliwe hatua na kamati hiyo. Bunge limeridhia adhabu hiyo iliyotolewa na kamati. Nae Mbunge wa Ubungo Chadema Saed Kubenea amesimamishwa kuhudhuria...

Like
448
0
Thursday, 30 June 2016
HIFADHI KUBWA ZAIDI YA GESI ILIYOTOWEKA DUNIANI YAGUNDULIWA TANZANIA
Local News

Tanzania ni miongoni mwa mataifa chache duniani yaliyojaliwa kuwa na rasilimali na madini mengi. Na baada ya kugunduliwa kwa gesi asili huko Mtwara na dhahabu sasa watafiti kutoka Uingereza wamegundua hifadhi kubwa zaidi duniani ya gesi adimu zaidi ya Helium nchini Tanzania. Watafiti kutoka chuo kikuu cha Oxford na kile cha Durham kwa ushirikiano na wataalumu wa madini kutoka Norway wamegundua uwepo wa takriban futi bilioni 54 za gesi hiyo ya barafu kama inavyofahamika. Ugunduzi huo umefanyika katika eneo la...

Like
465
0
Tuesday, 28 June 2016
TANZANIA KUTENGENEZA HELIKOPTA
Local News

Gazeti la Daily News limeripoti kwamba ndege hiyo aina ya helikopta inakaribia kukamilika na kwamba habari hiyo imekuwa ikisambaa barani Afrika kwa kasi. Gazeti la Zambia, Observer linasema kuwa lengo la ndege hiyo itayokuwa ikibeba watu kwa bei rahisi itakabiliana na matatizo ya uchukuzi nchini humo. Huku gazeti la Cameron, Concord likisema kuwa mradi huo ni wa kihistoria linaongezea kuwa lengo lake ni kutengeza ndege 20 kwa mwaka. Ndege hiyo yenye uwezo wa kubeba watu wawili inakaribia kukamilika katika chuo...

Like
598
0
Wednesday, 22 June 2016