Local News

TANESCO IMETAKIWA KULITUMIA BWAWA LA NYUMBA YA MUNGU KUZALISHA UMEME WA KUTOSHA
Local News

SHIRIKA la Umeme Nchini (Tanesco) limetakiwa kuandaa mpango madhubuti wa utitirishaji maji kutoka kwenye bwawa la Nyumba ya Mungu ili kuwepo na maji ya kutosha kuzalisha umeme kwenye vituo vya Hale na New Pangani.   Waziri wa Nishati na Madini, Profesa Sospeter Muhongo alitoa agizo hilo wakati  wa ziara yake katika mabwawa ya kuzalishia umeme ya Hale na Pangani yaliyoko mkoani  Tanga na bwawa la Nyumba ya Mungu la mkoani Kilimanjaro.   Agizo hilo alilitoa baada ya kujionea namna ambavyo...

Like
415
0
Monday, 14 December 2015
TAMASHA LA KRISMASI KUHUDHURIWA NA MAKAMU WA RAIS DIAMOND JUBILEE
Local News

MAKAMU wa Rais  Mheshimiwa mama Samia Suluhu Hassan anatarajiwa kuwa mgeni rasmi katika Tamasha la Krismasi linalotarajia kufanyika Desemba 25 kwenye ukumbi wa Diamond Jubilee jijini Dar es Salaam.   Tamasha hilo linakwenda sambamba na Shukrani kwa Mungu baada ya uchaguzi Mkuu uliofanyika Oktoba 25 kwa amani na utulivu, uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam.   Askofu wa Kanisa la KKKT, Dokta Alex Malasusa amesema ni jambo jema kumshukuru Mungu baada ya uchaguzi Mkuu uliofanyika kwa amani na utulivu...

Like
195
0
Monday, 14 December 2015
MWANZA: TAHADHARI YATOLEWA KUFUATIA MLIPUKO WA HOMA YA NGURUWE
Local News

KUFUATIA kutokea kwa mlipuko wa ugonjwa wa Homa ya Nguruwe MKoani Mwanza, wafugaji wametakiwa kuepuka kununua Nguruwe kutoka kwenye Maeneo au Mashamba yenye ugonjwa Nguruwe na kutakiwa wafugwe kwenye Mabanda imara ili waepuke kutembea ovyo , Nguruwe wasilishwe mizoga au masalio ya chakula kutoka vyanzo visivyojulikana . Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa leo na Katibu Tawala Mkoa wa Mwanza, Dokta Yohana Sagenge , Mlipuko huo umedhibitishwa kutokana na uchunguzi uliofanyawa na Maabara ya Chuo kikuu cha Kilimo cha Sokoine (SUA) nakubainishwa...

Like
241
0
Friday, 11 December 2015
WASOMI NA WAFANYABIASHARA NCHINI WAUNGA MKONO UTEUZI WA MAGUFULI
Local News

IKIWA imepita siku moja tokea Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dokta John Pombe Magufuli atangaze   Baraza jipya la Mawaziri lenye Wizara 19, Mawaziri 18 huku Wizara nne zikiwa bado hazina Mawaziri baadhi ya Wananchi wakiwemo wasomi na Wafanyabiashara wamekuwa na maoni mbalimbali huku wengi wakilipongeza.   Akizungumza na Efm jijini Dar es salaam Mhadhiri wa Chuo Kikuu cha Dar es salaam Dokta Benson Bana amesema kuwa uteuzi uliofanywa ni uteuzi ambao haujangalia uso na majina ya Viongozi bali...

Like
235
0
Friday, 11 December 2015
MADIWANI WAAPISHWA TEMEKE
Local News

UONGOZI  wa Manispaa ya Temeke jijini Dar es salaam umekamilisha zoezi la kuapishwa kwa Madiwani wa Wilaya hiyo,  zoezi ambalo limefatiwa na upigaji kura za kupata Meya pamoja na Naibu Meya wa Manispaa hiyo.   Katika zoezi hilo ambalo limefanyika siku ya jana Addallah Chaulembo wa CCM amefanikiwa kushinda nafasi ya kuwa Meya wa Manispaa ya Temeke wakati Hassan Feisal wa CCM amechaguliwa kuwa Naibu Meya.   Mara baada ya kuchaguliwa Meya wa Manispaa ya Temeke Abdallah Chaulembo amesema wananchi...

Like
333
0
Friday, 11 December 2015
VURUGU ZAPELEKEA KUVUNJIKA KWA MKUTANO WA MADIWANI KINONDONI
Local News

MKUTANO wa baraza la Madiwani wilaya ya Kinondoni jijini Dar es salaam umelazimika kuvunjika kufatia vurugu zilizojitokeza kutokana na baadhi ya wabunge na Mdiwani wa Zanzibar wa viti maalumu kupitia chama cha mapinduzi-CCM- kuingia katika kikao hicho jambo ambalo vyama vya UKAWA vimepinga.   Mkurugenzi wa Manispaa ya hiyo Mussa Natti amesema ameahirisha kikao hicho hadi hapo ufafanuzi wa kisheria juu ya Wabunge hao utakapopatikana.   Kwa upande wake Mbunge wa Jimbo la Kibamba John Mnyika amesema kitendo hicho cha...

Like
322
0
Friday, 11 December 2015
TANZANIA YAINGIZA BAADHI YA MIKATABA YA KIMATAIFA YA HAKI ZA BINADAMU KATIKA SHERIA
Local News

SERIKALI ya Jamuhuri ya muungano wa Tanzania ime amua kuingiza baadhi ya mikataba ya kimataifa ya haki za binadamu  katika sheria za Tanzania ili kuimarisha ulinzi wa haki za binadanu . Hayo yamebainishwa leo jijini Dar es alaamu na makamu wa rais Mheshimiwa  SAMIA SULUHU  HASSAN  wakati wa maadhimisho ya nane ya kitaifa na siku ya haki za binadamu duniani. Mheshimiwa SAMIA  pia amewataka watanzania kuanzisha kampeni maalumu  za kukuza maadili katika ngazi mbalimbali zikiwemo zile za utumishi  wa umma...

Like
225
0
Thursday, 10 December 2015
RAIS MAGUFULI  ATANGAZA BARAZA LA MAWAZIRI
Local News

RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania dokta John Pombe Magufuli leo ametangaza rasmi Baraza la Mawaziri lenye Wizara 18 ambazo zitakuwa na Jumla ya Mawaziri 19. Baraza hilo limeonekana kuwa na mabadiliko makubwa ya Wizara na sura Mpya nyingi za Mawaziri ambao wataanza kulitumikia Taifa kwa miaka mitano. Akitangaza Baraza hilo mheshimiwa Magufuli amesema kwamba lengo kubwa la kuteua baraza dogo la Mawaziri ni kuhakikisha kuna kuwa na nidhamu ya matumizi ya...

Like
198
0
Thursday, 10 December 2015
WAKAZI WA KIRUMBA, MWANZA KUNUFAIKA NA MRADI WA UWEKAJI ALAMA
Local News

WAKAZI wa mtaa wa Ibanda kata ya kirumba  Jijini Mwanza wanatarajiwa kupokea  mradi wa  uwekaji Alama katika maeneo yao ili kupunguza migogoro ya Ardhi iliyokithiri katika kata yao. Hayo yamekuja mara baada ya  mtaa huo kuwa na migogoro ya ardhi ya mara kwa mara  na kuwaathiri wananchi waishio katika maeneo hayo. Mwenyekiti wa mtaa huo Ephrahim Nkingwa amesema tayari amewasilisha barua kwa mkurugenzi wa Jiji ya kuomba upimaji shirikishi ili kuhakikisha maeneo yote ya mtaa huo yanapimwa na kuepusha migogoro hiyo....

Like
385
0
Thursday, 10 December 2015
SERIAKALI YAOMBWA KUCHUKUA HATUA KALI KWA WAZAZI MARA DHIDI YA UKEKETAJI WA WATOTO
Local News

SERIKALI Mkoani Mara imeombwa Kuingilia kati nakuwachukulia  hatua kali baadhi ya wazazi wanaopeleka watoto wa kike kukeketwa hususani katika kipindi hiki cha Tohara ambapo baadhi ya koo za kikurya tayari zimeanza Tohara suala ambalo linapelekea wanafunzi kuacha masomo. Hayo yamebainishwa na Mwalimu Mkuu wa shule ya Msingi Kubitelele Robert Werema baada ya EFM RADIO, kutembelea shule hiyo ambayo inajumla ya wanafunzi 461, huku baadhi wakidawa kuwa wamepelekwa kwenye Tohara na sherehe za...

Like
274
0
Thursday, 10 December 2015
RAIS MAGUFULI APONGEZWA KWA KUHAMASISHA USAFI
Local News

BAADA ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kuwaongoza  Watanzania katika maadhimisho ya Siku ya Uhuru wa Tanganyika kwakufanya usafi jana, wanasiasa, wachambuzi na wananchi mbalimbali wamepongeza hatua hiyo na kuwataka watanzania kuitumia  kama mfano wa wao kuendeleza utamaduni huo wa kufanya usafi. Wakizungumza na Efm kwa nyakati Tofauti leo, wamesema kitendo cha usafi kilichofanyika jana kimewakumbusha uongozi wa enzi za Hayati baba wa Taifa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere ambaye aliwashirikisha wananchi wote kwa kila hatua za...

Like
217
0
Thursday, 10 December 2015