Local News

ASILIMIA 80 YA WAGONJWA WA SARATANI NCHINI HUFIKA HOSPITALI WAKIWA NA HALI MBAYA
Local News

IMEELEZWA kuwa Tanzania inapokea idadi ya wagonjwa wapya takribani elfu 44,000 kila mwaka lakini wengi wao kwasababu mbalimbali hawafiki Hospitalini, na ni asilimia 10 tu ya wagonjwa ndio wanaofika katika Taasisi ya Saratani Ocean road. Hata hivyo kati ya hao takribani asilimia 80 hufika wakiwa katika hatua za juu za ugonjwa, hali ambayo hupunguza uwezekano wa kutoa matibabu ya kuponyesha ugonjwa wao. Akizungumza na Wanahabari jijini Dar es salaam Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Saratani ya Ocean Road Dokta...

Like
200
0
Thursday, 08 October 2015
WAKAZI DAR WAOMBA KUTAZAMWA UPYA VIWANGO VYA NAULI
Local News

WAKAZI  wa jiji la Dar es salaam wamewaomba wamiliki wa vyombo vya usafiri kuangalia upya viwango vya bei ya nauli  mara baada ya Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji EWURA kushusha bei ya mafuta . Wakizungumza na E fm baadhi ya wakazi hao  wamewaomba  wamiliki kuwapunguzia bei za  nauli  kwani bei za mafuta zimeshuka kutoka bei za awali ambapo zilikuwa shilingi 2300 kwa lita moja ya petroli  tofauti na ilivyo sasa ambapo bei ya petrol kwa lita moja...

Like
273
0
Thursday, 08 October 2015
BALOZI OMBENI SEFUE KUFUNGUA MKUTANO WA WADAU WA TAKWIMU
Local News

KATIBU mkuu kiongozi balozi ombeni sefue leo anatarajia kuwa mgeni rasmi katika mkutano wa wadau wa takwimu ulioandaliwa na ofisi ya taifa ya takwimu (nbs) kwa ajili ya kukubaliana jinsi ya kushirikiana katika kuhakikisha takwimu za viashiria vya mpango wa maendeleo endelevu zinapatikana kwa wakati. akizungumza na wandishi wa habari jijini dar es salaam jana  afisa habari wa ofisi hiyo, veronica kazimoto amesema mkutano huo utakuwa na lengo la kuelimishana juu ya kukamilika kwa utekelezaji wa malengo ya milenia (mdgs)...

Like
279
0
Thursday, 08 October 2015
UNESCO YAKUTANISHA WADAU KUJADILI NA KUHAMASISHA AMANI KUELEKEA UCHAGUZI MKUU
Local News

SHIRIKA la Umoja wa Mataifa la Sayansi, Elimu na Utamaduni (UNESCO) limewakutanisha wadau mbalimbali katika kongamano la kujadili na kuhamasisha Amani katika kipindi hiki cha kampeni za uchaguzi mkuu wa mwaka huu. Kongamano hilo lililofanyika wilayani Simanjiro mkoani Manyara limewakutanisha viongozi wa dini, mila na wawakili wa muungano wa Redio za Jamii nchini ambao kwa pamoja walisisitiza umuhimu wa Amani. Ofisa Miradi wa Mawasiliano, Habari na Tehama wa Shirika la Kimataifa la Sayansi, Elimu na Utamaduni (UNESCO) nchini, Al Amin...

Like
349
0
Tuesday, 06 October 2015
MAMLAKA YA MANUNUZI YA UMMA PPRA YAZIFUNGIA KAMPUNI 7 KUSHIRIKI ZABUNI
Local News

MAMLAKA ya Manunuzi ya Umma Tanzania-PPRA-imezifungia kushiriki zabuni kampuni 7 pamoja na wakurugenzi wake kutokana na sababu mbalimbali ikiwemo kampuni hizo kufanya vitendo vya udanganyifu katika manunuzi. Akizungumza Jijini Dar es Salaam leo Mwenyekiti wa Bodi wa PPRA Martin Lumbanga amesema kuwa miongoni mwa kampuni hizo kampuni 6 zimefungiwa kwa kipindi cha miaka miwili kwa kukiuka masharti ya mkataba na kampuni moja imefungiwa kwa kosa la kuwasilisha dhamana za zabuni za kughushi. Miongoni mwa kampuni zilizofungiwa kushiriki kununua...

Like
400
0
Tuesday, 06 October 2015
MFUMO WA MTANDAO KURAHISISHA UTOAJI WA LESENI
Local News

IMEELEZWA kuwa uwepo wa mfumo mpya wa utoaji leseni kupitia mtandao itawezesha kupunguza adha kubwa iliyokuwa ikikwamisha utoaji wa leseni kwa kipindi kirefu. Akizungumzia mfumo wa zamani Kamishna wa Madini nchini Mhandisi Paul Masanja amesema kuwa mfumo huo ulikuwa na changamoto nyingi kwa kuwa ulitegemea umahiri na uadilifu wa Afisa anayeshughulikia leseni hali iliyosababisha baadhi ya Waombaji kukosa leseni bila sababu za msingi. Kamishna Masanja ameongeza kwamba licha ya changamoto walizozipata waombaji wa leseni, Wizara pia ilikuwa na...

Like
206
0
Tuesday, 06 October 2015
WATAFITI NCHINI WAMETAKIWA KUTUNGA SERA ZENYE MAFANIKIO
Local News

WATAFITI nchini kwa kushirikiana na wadau wa maendeleo kutoka sekta mbalimbali wameshauriwa kutunga sera zenye manufaa kwa lengo la kutambua umuhimu wa kutoa takwimu  katika maamuzi. Akizungumza jijini Dar es salam Mkurugenzi wa Repoa Profesa Samwel Wangwe amesema kuwa kinachosababisha kuwepo kwa changamoto katika huduma za kijamii ni kukosekana kwa takwimu yakinifu. Profesa Wangwe amesema ili kukabiliana na tatizo hilo Repoa imeamua kukutana na wadau wa maendeleo wakiwemo watunga sera na mipango ili kuwajengea uwezo juu ya umuhimu wa kutumia...

Like
208
0
Tuesday, 06 October 2015
MADEREVA WAGOMA MOROGORO
Local News

WAKAZI wa Manispaa ya Morogoro leo wamelazimika kutembea kwa miguu   na wengine kutumia magari ya mizigo pamoja na pikipiki kwenda kazini huku wanafunzi wakibaki katika vituo vya daladala baada ya madereva kugoma  wakishinikiza jeshi la polisi kuwaachia huru baadhi ya madereva wanaoshikiliwa  kwa siku sita  mfululizo kutokana na makosa ya usalama barabarani.   Wakizungumza na Efm, katika vituo mbalimbali vya daladala mkoani humo,  wakiwemo wanafunzi na wanachi waliokwama kufika sehemu mbalimbali wamelalamikia serikali kushindwa...

Like
308
0
Monday, 05 October 2015
DK BILAL AFUNGUA MKUTANO WA KUJENGA UELEWA JUU YA UANZISHAJI BIASHARA
Local News

MAKAMU wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dokta Mohamed Gharib Bilal amesema Shughuli za kibiashara zinahitaji utaalam, uwelewa na uwekezaji mkubwa wa kutambua nafasi za biashara zilipo, namna ya kutumia utaalam wenye ushindani katika soko pamoja na ushirikiano wa pamoja wa kuhusisha Watu hususani katika Makazi ambayo yanazidi kutanuka kutokana na shughuli za kiuchumi.   Ameyasema hayo leo katika ufunguzi wa mkutano wa kujengeana uwelewa juu wa uanzishaji wa biashara na ubunifu wa uendeshaji biashara ulio ratibiwa na...

Like
231
0
Monday, 05 October 2015
MUZIKI MNENE BAGAMOYO
Entertanment

SHANGWE za  muzikimnene  wa 93.7 EFM ,kwa mara nyingine tena ziliendelea ndani ya bagamoyo . Burudani ya aina yake ikiongozw anatimunzimaya EFM ilishushwandaniyamagetimiaAdon lodge. Wakazi  wa bagamoyo walipata nafasi ya kukutana na watangazaji, na RDJ’s huku wakifurahia burudani ya pamoja. Muzikimnene bar kwa bar ulipambwana kabumbu kati ya EFM na Bagamoyoveterani ambapo Bagamoyo veteran waliibuka na ushindi wa bao moja huku EFM wakiambulia sifuri. Tangu kuanza kwa mechi hizi hii ni mara ya pili kwa 93.7 EFM kufungwa,mara ya kwanza...

Like
427
0
Monday, 05 October 2015
WANAWAKE MARA WAASWA KUSHIRIKIANA
Local News

WANAWAKE Mkoani Mara wameaswa kushirikiana kwa pamoja katika shughuli za maendeleo bila kujali tofauti zao za vyama ili kujiletea maendeleo.   Rai hiyo imetolewa na Mke wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mama Salma Kikwete wakati akiongea na wanawake wa mkoa huo juu ya umuhimu wa ushirikiano katika shughuli mbalimbali.   Mama Salma ambaye ni Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC) ya CCM kupitia wilaya ya Lindi mjini amesema kuwa masuala yanayowahusu  wanawake hayana itikadi za vyama...

Like
265
0
Monday, 05 October 2015