Global News

VIFO VINAVYOTOKANA NA KUGONGWA NA NYOKA HUENDA VIKAONGEZEKA DUNIANI
Global News

SHIRIKA la kimataifa linaloshughulikia misaada la Medecins Sans Frontieres, limeonya kwamba vifo vitokanavyo na binadamu kung’atwa na nyoka huenda vikaongezeka duniani. Hali hii inasababishwa na kuisha kwa akiba ya dawa zinazotibu sumu ya nyoka kuenea katika mwili wa binadamu aliyeng’atwa na nyoka wa aina mbalimbali. Aidha taarifa zinaeleza kwamba jumla ya watu laki moja duniani hupoteza maisha kila mwaka kutokana na tatizo hilo ambalo limeanza kukithiri katika maeneo...

Like
327
0
Tuesday, 08 September 2015
NDEGE YA KWANZA ISIYO NA RUBANI YA PAKISTAN YAFANYA SHAMBULIO
Global News

NDEGE ya kwanza isiyo na rubani iliyotengenezwa nchini Pakistan imewashambulia na kuwauwa watu watatu wanaoshukiwa kuwa waasi kaskazini magharibi mwa nchi hiyo hii leo. Kawaida, ndege za aina hiyo za Kimarekani ndizo hufanya mashambulizi kwenye mkoa wa Waziristan karibu na mpaka wa Afghanistan, lakini sasa jeshi la Pakistan limeanza kutumia ndege zake kwenye eneo la Bonde la Shawal. Ndege hiyo ilijaribiwa mara ya kwanza mapema mwaka huu, lakini operesheni zake zikasitishwa baada ya wasiwasi kuzuka juu ya uhakika...

Like
253
0
Monday, 07 September 2015
KESI YA HABRE YAANZA LEO
Global News

KESI inayomkabili aliyekuwa rais wa Chad, Hissène Habré dhidi ya uhalifu wa binadamu, kivita na mateso, imeanza kusikilizwa leo. Siku 45 baadaye mawakili watatu walioteuliwa wamepata muda wa kutosha kuiangalia kesi hiyo lakini mteja wao hawatambui na amekataa kuwasiliana nao. Jaji wa mahakama ya Burkinabe, Gberdao Gustave Kam ataamua iwapo kesi hiyo itaendelea bila upande wa utetezi wa Hissene...

Like
199
0
Monday, 07 September 2015
KESI YA HABRE KUANZA LEO
Global News

KESI inayomkabili aliyekuwa rais wa Chad, Hissène Habré dhidi ya uhalifu kwa binadamu, kivita na mateso, inaanza kusikilizwa leo Jaji wa mahakama ya Burkinabe, Gberdao Gustave Kam ataamua iwapo kesi hiyo itaendelea bila upande wa utetezi wa Hissene Habre. Tangu mwanzo wa utaratibu wa kesi hiyo, Hissene Habre, mwenye umri wa miaka 72 amekuwa akikataa kutambua uhalali wa mahakama maalum ya Afrika, ambayo iliundwa na Umoja wa Afrika mwaka 2013, ili kushugulikia kesi yake nchini...

Like
283
0
Monday, 07 September 2015
UTAFITI KUCHUNGUZA JINSI MTU ANAVYOZEEKA
Global News

WANASAYANSI mjini London wamegundua utafiti mpya wa kuwezesha kuchunguza utaratibu wa jinsi mtu anavyozeeka kwa kutumia tabia ya zaidi ya mamia ya vinasaba vya damu, ubongo na seli za misuli. Wanasayansi hao wameambatanaisha matokeo ya watu wenye afya nzuri wenye umri wa miaka 63 na zile za vijana kutengeneza mpagilio wa kufuatilia ili kuweza kuzeeka kwa Afya zaidi. Aidha wamegundua katika baadhi ya kesi zinazohusu watu kuzeeka kwa zaidi ya miaka 15 na umri wao halisi kwani utafiti huo utasaidia...

Like
255
0
Monday, 07 September 2015
ZAIDI YA WATU 50 WAHOFIWA KUFA MAJI LIBYA
Global News

ZAIDI ya watu hamsini hawajulikani waliko baada ya meli walimokuwa wakisafiria kuzama katika pwani ya Libya.   Msemaji wa shirika la kimataifa ya uhamiaji amesema kuwa wahamiaji wengine waliokuwa kwenye meli hiyo waliokolewa na wanajeshi wa majini wa Italia na wamepelekwa kisiwa cha Lampedusa.   Mwili wa mhamiaji mmoja pia uliopolewa baharini na kupelekwa katika kisiwa hicho.   KWINGINEKO, INAELEZWA kuwa Watu 1,000 nchini Sierra Leone wamewekwa kwenye karantini baada ya kugunduliwa kuwa mwanamke wa umri wa miaka 67 alifariki...

Like
195
0
Friday, 04 September 2015
JOHANNESBURG YAONGOZA KUWA NA IDADI KUBWA YA MATAJIRI AFRIKA
Global News

RIPOTI iliyotolewa na benki ya AfrAsia na jarida la New World Wealth inaonesha kwamba mji wa Johannesburg nchini Afrika Kusini ndio mji ulio na idadi kubwa zaidi ya watu matajiri barani Afrika. Taarifa ya benki hiyo pia imebaini kuwa chanzo kikuu cha mapato makubwa kwa wananchi wa nchi hiyo ni uwepo wa dhahabu ya kutosha hali inayoifanya nchi hiyo kutimiza watu matajiri Elfu ishirini na tatu. Aidha ripoti hiyo imeonesha nchi ya pili kuwa na watu matajiri Afrika kuwa ni...

Like
241
0
Thursday, 03 September 2015
MIILI YA WANAJESHI WA UGANDA YAWASILI
Global News

MIILI ya wanajeshi 10 wa Uganda, waliouawa na wapiganaji wa kundi la wapiganaji wa Al-Shabaab, nchini Somalia ipo tayari kusafirishwa kuelekea nchi wanapotoka. Msemaji wa jeshi la nchi hiyo Kanali Paddy Ankunda, amesema kwamba shambulio hilo limebadili mambo na Al-Shabaab wanafaa kutarajia jibu lifaalo kutokana na shambulizi walilolifanya. Wanajeshi 12 wa Uganda waliuawa kwenye shambulio hilo la Jumanne, kwenye kambi ya wanajeshi wa Muungano wa Afrika –AU– Kusini mwa Somalia ambapo kundi hilo limesema limewauwa wanajeshi 70 wa muungano...

Like
470
0
Thursday, 03 September 2015
MAREKANI YAFANYA MSAKO WA MAABARA ZA DAWA ZA KULEVYA
Global News

MAAFISA wa kupambana na dawa za kulevya nchini Marekani wamewatia mbaroni zaidi ya Watu tisini wakati wa msako wa maabara zinazojihusisha na dawa za kusisimua misuli. Zoezi hilo lililofanyika katika majimbo ishirini lililenga dawa za kusisimua misuli ambazo zinatengenezwa na kusafirishwa kutoka China. Mamlaka inayodhibiti matumizi ya madawa nchini Marekani,imesema Operesheni hiyo inayoitwa Cyber Juice imeanza mwezi Aprili na kulenga maabara zinazofanya kazi kwa siri zinazojishughulisha na dawa zinazopatikana kwa njia ya mtandao kutoka nchini...

Like
224
0
Thursday, 03 September 2015
MAELFU YA WAHAMIAJI WASUBIRI KUINGIA ULAYA
Global News

SWALA la wakimbizi na wimbi la wahamiaji katika nchi za ulaya linaendelea kutazamwa kwa karibu wakati maelfu ya watu wakisubiri kuruhusiwa kuingia katika nchi za jumuia ya ulaya. Na siku ya jana hali ilikuwa ya kusikitisha baada ya picha ya kijana aliyezama kuonekana akiwa katika pwani ya Bahari nchini Uturuki kusambaa katika mitandao ya kijamii. Waziri mkuu wa uingereza David Cameron alitetea uamuzi wa serikali yake akisema kuwa kuwapokea watu zaidi siyo ufumbuzi wa tatizo. Badala yake, amesema ni muhimu...

Like
178
0
Thursday, 03 September 2015
MAELFU YA WAHAMIAJI WAWASILI UGIRIKI
Global News

MAELFU ya wahamiaji wanaendelea kuwasili Ugiriki, huku serikali ikijiandaa kwa mazungumzo ya kujadili mbinu za kukabiliana na wahamiaji wengi wanaofika katika fukwe za taifa hilo. Meli mbili zilizobeba zaidi ya watu 4,200 zilisafiri hadi bandari ya Piraeus, usiku baada ya kuondoka kisiwa cha Lesbos. Mamia ya watu, wengi kutoka Mashariki ya Kati, bado wamekwama nje ya kituo cha reli nchini Hungary, baada ya polisi kuwazuia kusafiri kuingia EU....

Like
215
0
Wednesday, 02 September 2015