Global News

RAIS WA KENYA UHURU KENYATA ANATARAJIWA KULIHUTUBIA TAIFA LEO
Global News

RAIS wa Kenya Uhuru Kenyatta anatarajiwa kulihutubia taifa kufuatia shambulizi lililotokea katika chuo kikuu cha Garrisa mapema leo. Wapiganaji wamedaiwa kuwateka nyara wanafunzi na kuwaua watu 14 katika chuo hicho kulingana na wafanyikazi wa msaada na maafisa wa polisi. Takriban watu 65 wengine wamejeruhiwa baada ya washambuliaji kuvamia chuo hicho. Hata hivyo Vituo vya habari nchini kenya idadi ya watu waliouawa imefikia...

Like
236
0
Thursday, 02 April 2015
WAZIRI MKUU WA UKRAINE AFANYA MAZUNGUMZO NA KANSELA WA UJERUMANI
Global News

Waziri Mkuu wa Ukraine ARSENIY YATSENYUK amefanya mazungumzo na Kansela wa Ujerumani ANGELA MERKEL. Baada ya mazungumzo hayo MERKEL amesema makubaliano ya kusitisha mapigano kati ya serikali ya Ukraine na waasi wanaoegemea upande wa Urusi yameleta utulivu mashariki mwa Ukraine, na kuongeza kuwa makubaliano hayo hayajatekelezwa kikamilifu. Kansela MERKEL amesema uondoaji wa Silaha nzito haujafanyika kama...

Like
311
0
Thursday, 02 April 2015
WATU WAWILI WAPOTEZA MAISHA KWENYE SHAMBULIZI LILILOFANYIKA KATIKA CHUO CHA GARISA
Global News

WAPIGANAJI waliofunika nyuso zao wameshambulia eneo la Chuo Kikuu cha Garissa Kaskazini mwa Kenya karibu na mpaka wa Taifa hilo na Somalia. Milio ya risasi pamoja na milipuko imesikika katika Chuo Kikuu cha Garissa mjini humo. Maafisa wa Usalama wa Kenya wamethibitisha kuwa watu wawili wamefariki huku wanne wakijeruhiwa,huku wakaazi wa eneo hilo wametakiwa kukaa mbali na eneo la chuo hicho. Haijulikani ni nani aliyekusika na shambulizi hilo ,lakini kundi la wapiganaji wa Somalia Al shabaab limetekeleza misururu ya mashambulizi...

Like
346
0
Thursday, 02 April 2015
PALESTINA YAPATA UANACHAMA WA ICC
Global News

WAPALESTINA  wamepata uanachama wa mahakama ya kimataifa kuhusu uhalifu wa kivita miezi mitatu baada ya ombi lao kukubaliwa. Waziri wa Mambo ya nje wa Palestina Riad Malki anatarajiwa kutoa taarifa baada ya kuhudhuria sherehe za makaribisho kwenye mahakama hiyo mjini Hague. Uanachama wa ICC unaiwezesha Palestina kuifungulia Israeli mashtaka ya uhalifu wa kivita lakini pia utachangia wanamgambo wa Hamas nao kufunguliwa...

Like
234
0
Wednesday, 01 April 2015
NIGERIA: BUHARI AELEZEA USHINDI WAKE KAMA KUKUA KWA DEMOKRASIA
Global News

MSHINDI wa uchaguzi wa urais nchini Nigeria Muhammadu Buhari ameasema kuwa ushindi wake unamaanisha kuwa Taifa hilo linafuata mfumo wa kidemokrasi. Buhari alimshinda mpinzani wake Goodluck Jonathan,kwa kura millioni 2 idadi ambayo wachambuzi wa masuala ya kisiasa wanasema kuwa itazuia harakati zozote za kuanzisha kesi. Ni mara ya kwanza kwa rais wa taifa hilo kushindwa katika uchaguzi. Bwana Buhari ,kiongozi wa zamani wa kijeshi aliwahi kuchukua madaraka mnamo mwaka 1980 kupitia mapinduzi....

Like
248
0
Wednesday, 01 April 2015
SHIRIKA LA NDEGE LA UJERUMANI LATOA TANGAZO KUFUATIA KUANGUKA KWA NDEGE YAKE
Global News

SHIRIKA la ndege la Ujerumani, Lufthansa limetoa tangazo kuhusu taarifa lilizokuwa nazo juu ya matatizo ya kiakili ya Andreas Lubitz, rubani msaidizi wa ndege ya Germanwings iliyopata ajali ambaye anadhaniwa kuiangusha ndege hiyo kwa makusudi, na kuuwa watu wote 150 waliokuwemo. Shirika hilo limesema kwamba Lubitz, mwaka 2009 aliiarifu shule ya marubani ya shirika hilo, kwamba siku za nyuma alikuwa na matatizo makubwa ya msongo wa mawazo. Tangu kutokea kwa ajali hiyo Jumanne wiki iliyopita, taarifa nyingi zimekuwa zikijitokeza kuhusu...

Like
235
0
Wednesday, 01 April 2015
NIGERIA: BUHARI AONGOZA MATOKEO YA AWALI
Global News

MATOKEO ya awali ya kura zilizopigwa siku ya Jumamosi huko Nigeria zinaonesha kuwa Kiongozi wa upinzani MUHAMMADU BUHARI anaongoza kwa zaidi ya Kura Milioni Mbili zaidi ya mpinzani wake wa karibu ambaye ni Rais GOODLUCK JONATHAN. Generali BUHARI wa chama cha All Progressives Congress -APC anaonekana kupata matokeo mazuri mapema hata kabla ya kuhesabiwa kwa kura za mjini Lagos. Matokeo ya uchaguzi mkuu nchini Nigeria yanatarajiwa kutangazwa saa chache zinazokuja wakati majimbo yaliyosalia yakisubiriwa kutangaza matokeo...

Like
252
0
Tuesday, 31 March 2015
UINGEREZA YATARAJIWA KUANZA KAMPENI ZA UCHAGUZI MKUU
Global News

Waziri Mkuu wa Uingereza DAVID CAMERON akutana na Malkia ELIZABETH kumuarifu kuwa Bunge limevunjwa, hatua inayofungua mlango wa kuanza Kampeni kwa uchaguzi Mkuu May 7 mwaka huu.tarehe 7 Mei. Bwana CAMERON anaiongoza Serikali ya Mseto  kati ya Chama chake cha Conservative na  kile cha Liberal Democrats tangu mwaka 2010. Utafiti wa maoni ya Wapiga kura unaonyesha matokeo yanayotafautiana.  ...

Like
324
0
Tuesday, 31 March 2015
OBAMA KUZURU KENYA JULAI MWAKA HUU
Global News

RAIS BARACK OBAMA wa Marekani ataizuru Kenya mwezi Julai mwaka huu. Hiyo itakuwa ziara yake ya kwanza akiwa Rais. Taarifa Zaidi I meeleza kuwa nchini Kenya, Rais OBAMA ambaye baba yake ni Mkenya atahudhuria mkutano wa Kilele wa Kimataifa wa wajasiriamali. Mkutano huo utafanyika Kati ya Julai 24 na...

Like
262
0
Tuesday, 31 March 2015
TETEMEKO KUBWA LA ARDHI LARIPOTIWA KATIKA PWANI YA PAPUA NEW GUINEA
Global News

TETEMEKO la ardhi lenye ukubwa wa kipimo cha Richter 7.6 limeripotiwa kwenye pwani ya Papua New Guinea. Tetemeko hilo limetokea asubuhi ya leo katika eneo hilo la Asia Pasifiki. Kituo cha Pasifiki cha tahadhari kuhusu tetemeko na Tunami lilikuwa limeonya juu ya uwezekano wa kutokea mawimbi yenye hatari katika masafa ya kilomita 1,000 kutoka kitovu cha tetemeko hilo. Ingawa hakuna uharibifu uliotarajiwa kutokana na tetemeko hilo, nchi za eneo zima zikiwemo Papua New Guinea, visiwa vya Solomon, New Zealand, Mashariki...

Like
249
0
Monday, 30 March 2015
NIGERIA KUTANGAZA MATOKEO YA UCHAGUZI LEO JIONI
Global News

ZOEZI la kuhesabu kura linaendelea nchini Nigeria katika uchaguzi wa rais na wabunge ambao ulifanyika siku ya Jumamosi na jana Jumapili. Kwa kiasi kikubwa uchaguzi ulifanyika kwa amani, licha ya mashambulizi kadhaa katika eneo la kaskazini, ambayo kundi la Boko Haram limeshutumiwa kuyafanya huku kiongozi wa zamani wa kijeshi wa Nigeria, Muhammadu Buhari, akitarajiwa kumpa changamoto kubwa rais wa sasa Goodluck Jonathan katika uchaguzi huo. Mkuu wa Tume Huru ya Uchaguzi nchini Nigeria amesema anatumaini kumtangaza mshindi wa urais nchini...

Like
330
0
Monday, 30 March 2015