Sports

Taifa Stars Yajiliwaza kwa DRC Congo, Yaifunga Mabao 2-0
Sports

Taifa Stars imeibuka na ushindi wa mabao 2-0 dhidi ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo katika mchezo wa kirafiki uliopigwa jana. Stars ilifunga mabao yake kipindi cha pili baada ya kile cha kwanza kwenda suluhu ya 0-0  kupitia kwa Mbwana Samatta na Shiza Ramadhan Kichuya. Stars ilipata ushindi huo ikiwa imetoka kupoteza mchezo uliopita dhidi ya Algeria kwa jumla ya mabao 4-1 huko Algiers. Kocha wa Taifa Stars, Mayanga ameeleza kuwa mchezo huo ulikuwa vizuri kutokana na vijana wake kuonesha...

Like
781
0
Wednesday, 28 March 2018
YANGA WAENDA MOROGORO KUIWEKEA KAMBI SINGIDA UNITED
Local News

KIKOSI cha mabingwa wa Tanzania, Yanga SC kinatarajiwa kuondoka leo Dar es Salaam kwenda Morogoro kuweka kambi ya kujiandaa na mchezo wa Robo Fainali ya Azam Sports Federation Cup (ASFC) dhidi ya wenyeji, Singida Aprili 1, mwaka huu. Robo Fainali za Azam Sports Federation Cup zitaanza Machi 30, Singida United wakiikaribisha Njombe Mji FC Uwanja wa Kambarage mjini Shinyanga na Machi 31 kutakuwa na mechi mbili, Tanzania Prisons wakiwa wenyeji wa JKT Tanzania Uwanja wa Namfua mjini Singida na Azam...

Like
1023
0
Monday, 26 March 2018
MAJALIWA AIPIGANIA NAMUNGO FC YA JIMBONI KWAKE IPANDE LIGI KUU
Sports

WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amewataka wakazi wa wilaya ya Ruangwa washirikiane kuhakikisha ndoto ya timu yao ya mpira wa miguu ya Namungo FC ya kucheza ligi kuu inatimia. Amesema timu hiyo limeupa mkoawa Lindi na wilaya hiyo heshima kubwa imepanda imepanda daraja kutoka ligi daraja la pili kwenda daraja la kwanza katika msimu wa 2018/2019. Waziri Mkuu ameyasema leo (Jumamosi, Machi 24, 2018) wakati akizungumza na wakazi wa wilaya hiyo kwenye eneo la Namungo na kuwaomba waendelee kuisaidia timu hiyo...

Like
829
0
Sunday, 25 March 2018
Lewis Hamilton kinara majaribio ya Australian GP, awafunika Ferrari na Red Bull
Sports

Dereva wa kampuni ya Mercedes, Lewis Hamilton ameibuka kinara kwenye majaribio ya magari kabla ya kuanza kwa mashindano ya Australian GP yanayotarajiwa kuanza kutimua vumbi leo Machi 23 siku ya Ijumaa. Hamilton ameibuka kinara mara mbili kwenye mashindano hayo maarufu kwa jina la Formula One (F1) msimu huu wa mwaka 2018 na kuwazidi washindani wake wakubwa Ferrari na Red Bull. Licha ya kuongoza kwa magari hayo ya kampuni ya Mercedes yalipata ushindani mkubwa kwenye mbio hizo za majaribio kabla ya...

Like
360
0
Friday, 23 March 2018
Huitaji elimu ya chuo kikuu kutambua hali ya Manchester United – Mournho
Sports

Kocha Mkuu wa klabu ya mashetani wekundu Manchester United, Jose Mourinho hapo jana amesema kuwa watu wenye akili na fikira za kuelewa na kuchambua mambo ya msingi wanatambua hali ya timu hiyo kwa sasa inavyopita kwenye kipindi cha mpito. Mourinho ambaye ni raia wa Ureno mara kadhaa amekuwa akishtumiwa na mashabiki kwa namna ya mfumo wake wa uchezaji ambao unadaiwa kutokuwa na ubunifu. Mashabiki wa United walizidisha shutuma zao zaidi mara baada ya klabu hiyo kutolewa kwenye mashindano ya klabu...

Like
408
0
Friday, 23 March 2018
Washiriki wa michuano ya French Open kuondoka na kitita kinono cha fedha
Sports

Mashindano makubwa ya mchezo wa tennis duniani maarufu kama French Open yametangazwa kuongezewa fedha kwa washindi watakao twaa tuzo katika kipindi cha majira ya Joto hadi kufikia pauni milioni 34. Washindi wa pili wa tuzo hizo kubwa za grand slam ambazo zinatarajiwa kuanza Mei 27, kila mmoja atajiondokea na euro milioni 2.2 ambayo ni sawa na pauni milioni 1.9 kwa makadirio wakati kwa mwaka jana kilikuwa ni kiasi cha pauni 100,000 ambacho kimetolewa. Kwenye ongezeko hilo kiasi kikubwa kimewekwa kwa...

Like
441
0
Friday, 23 March 2018
MSEMAJI WA TFF ALEZEA KIPIGO CHA 4- 1 WALICHOKIPATA TAIFA STARS ALGERIA
Sports

NDIMBO: Kwanza niseme watu wanashindwa kutofautisha kati ya kufungwa na timu kucheza vizuri NDIMBO: Ingawa timu imefungwa lakini timu ilicheza vizuri. SWALI KUTOKA KWA OSCA OSCA: KWA NINI MASHBIKI WAMEPUNGUA KWENDA KUANGALI MECHI UWANJANI??? NDIMBO: Jambo hili lina mitazamo mingi sana kitu kikubwa ni kuja na research na kupata jibu sahii kwa jambo hili NDIMBO: Kwa upande mwingine mashabiki wenyewe hawana uzalendo wa timu zao kwenda uwanjani OSCA OSCA: Tulikuwa tunalalamika kwamba tunapata mechi za kirafiki na nchi vibonde NDIMBO:...

Like
506
0
Friday, 23 March 2018
IAN SNOOK ATUA KENYA: RUGBY
Sports

Chama cha mchezo wa Rugby nchini Kenya kimemteuwa Ian Snook toka New Zealand kuwa kocha mkuu wa timu ya #KenyaXV’s “The Simbas” Akichukuwa nafasi ya Jerome Roulstone amabaye nae ni raia wa New Zealand...

Like
447
0
Wednesday, 21 March 2018
SAMATTA ATUA RASMI ALGERIA
Sports

Mshambuliaji Mtanzania , Mbwana alli Samatta,Amewasili leo katika uwanja wa ndege wa Algiers, Algeria , na  kupokelewa na Balozi wa Tanzania nchini humo , Omar Yusuph Mzee. Samatta amewasili Algeria kwa ajili ya mchezo wa kirafiki, Ambapo Taifa Stars itacheza thidi ya Algeria, Machi 22-2018. Mchezaji huyo ataungana na wenzake wa Taifa Stars, Walioondoka leo nchini kuelekea Algeria kushiriki mechi hiyo ya...

Like
1398
0
Tuesday, 20 March 2018
MOHAMEDI SALAH HASHIKIKI USAJILI ULAYA
Sports

Kwa mujibu wa jarida la “the sun” limeripoti kuwa Mshambuliaji wa Liver aliye katika fomu hivi sasa, Mmsiri , Mohamed Salah, anawaniwa na timu tofauti za Ulaya. PSG, Real Madrid na F.C Barcelona ndiyo klabu zinazonyatia saini ya mchezaji huyo ili kuweza kumsajili. Dau la pauli milioni 200 litakalounja rekodi ya uhamisho , ndiyo kuwa linaweza kumng’oa mchezaji huyo kutoka Liverpool. Salah ameifungia Liverpool jumla ya mabao 28 katika msimo huu wa ligi kuu England....

Like
1555
0
Tuesday, 20 March 2018
YAMETIMIA NEYMAR KUKOSA KOMBE LA DUNIA 2018
Sports

    Mtabiri mwenye asili ya Brazili Carlinhos Vidente, Alitabiri mwaka jana mwezi wa kumi na mbili kwamba Neymar Jr atakosa kombe la dunia mwaka huu linalofanyika nchini Urusi kutokana na majeraha. Carlinhos mwenye kipindi cha TV huko Amerika kusini alitabiri kuwa Neymar atashindwa kushiriki kombe la dunia kwa kuwa majeruhi. “Atakaa nje kwa miezi mitano mpaka saba lakini brazili itaingia  nusu fainali na safari yao kuishia hapo.” alisema Carlinhos Baada ya utabiri huo Neymar akaumia mwezi uliopita  na imeripotiwa...

Like
775
0
Tuesday, 20 March 2018