Sports

ARSENAL YAILAZA  OLYMPIAKOS 3-0
Slider

Olivier Giroud alifungia Arsenal mabao matatu kwa mara yake ya kwanza na kuhakikisha Gunners wanaendeleza rekodi yao nzuri Ligi ya Klabu Bingwa Ulaya na kufika hatua ya 16 bora kwa kulaza Olympiakos. Arsenal walihitaji kushinda kwa mabao mawili wazi lakini walipata mabao hata zaidi na kumaliza wa pili Kundi F. Giroud alianza kwa kufunga kwa kichwa kipindi cha kwanza, kisha akafunga la pili kipindi cha pili kwa usaidizi kutoka kwa Joel Campbell. Mfaransa huyo alihakikisha Arsenal wanafuzu kwa kufunga la...

Like
299
0
Thursday, 10 December 2015
LUCA TONI KUSTAAFU SOKA MWISHONI MWA MSIMU WA SERIE A
Slider

Mshambuliaji wa zamani wa Juventus na Bayern Munich, Luca Toni kustaafu soka mwishoni mwa msimu huu wa Serie A. Mshambuliaji huyu mwenye rekodi ya kutwaa kombe la dunia akiwa na kikosi cha Italy amepanga kustaafu baada kusakata kabumbu kwa miaka 22. Luca Toni 38- ametumikia klabu 15 katika maisha yake ya soka, mshambuliaji huyu wa Hellas Verona anaturudisha nyumbani Tanzania ambapo hivi karibuni nahodha wa timu ya taifa Nadir Haroub pia ametangaza kustaafu soka baada ya miaka mitatu  ...

Like
300
0
Monday, 07 December 2015
RAIS ATUHUMIWA KUMALIZA MPIRA KWA PENATI KABLA DAKIKA 90
Slider

Rais wa Mauritania Mohamed Ould Abdel Aziz aamuru mpira kumalizwa kwa penati kabla ya dakika 90 baada ya mchezo huo kukosa mvuto hali iliyopelekea kuchoka kuendelea kuutazama akiwa kama mgeni rasmi. Mchezo huo wa fainalii uliozikutanisha klabu za FC Tevragh-Zeina na ACS Ksar ulimalizika kwa mikwaju ya penati baada ya kuchezwa kwa dakika 63 pekee. Rais wa Shirikisho la soka nchini humo Ahmed Ould Abderrahmane amekanusha vikali na kusema kuwa maamuzi hayo yalifikiwa kwa kumhusisha marais  na waalimu wa timu...

Like
256
0
Tuesday, 01 December 2015
NAPOLI YAILAZA INTER MILAN 2-1
Slider

Napoli yaiengua Inter Milan kileleni mwa ligi ya Serie A baada ya Gonzalo Higuain kutekenya nyavu mara mbili na kuwalaza vijana wa Roberto Mancini waliomaliza mchezo wakiwa 10. Mshambuliaji wa Argentina Higuain alifungua mvua ya magoli katika sekunde 64 kabla ya Inter kumkosa Yuto Nagatomo aliyepigwa kadi mbili za njano. Adem Ljajic alifanikiwa kuliona lango la Napoli na kufanya matokeo ya mchezo huo kuwa...

Like
294
0
Tuesday, 01 December 2015
DAVID MOYES ASAKA NAFASI ULAYA
Slider

  David Moyes aonyesha nia ya kutaka nafasi ya kunoa klabu moja wapo katika bara la Ulaya. Moyes ambae alitimuliwa katika klabu ya Real Sociedad anatazamiwa kupata nafasi katika klabu nyingine. Meneja huyu wa zamani wa klabu ya Everton, 52, alitimuliwa siku moja ya kumbukumbu ya kufikisha mwaka mmoja katika ligi ya Uhispania “La Liga” Katika mahojiano yake na kituo cha BBC Moyes ameeleza matumaini yake ya kufanikiwa kuja kuwa meneja mzuri zaidi kufuatia uzoefu aliopata “La Liga”...

Like
270
0
Tuesday, 01 December 2015
IKULU YAKANUSHA KUTOA RATIBA YA MAADHIMISHO YA SIKU YA UHURU
Local News

OFISI ya Rais Ikulu, imekanusha taarifa zilizoenezwa katika mitandao ya kijamii kuwa Kurugenzi ya Mawasiliano ya rais Ikulu, imetoa ratiba ya maadhimisho ya siku ya Uhuru Tarehe 9 Disemba 2015. Kwa mujibu wa Taarifa iliyotolewa leo na Kurugenzi ya Mawasiliano ya rais, imeeleza kuwa taarifa hizo hazina ukweli wowote na kuwataka wananchi wazipuuze. Tayari Katibu Mkuu kiongozi Ombeni Sefue ameshatoa maelekezo kwa viongozi wa mikoa na Wilaya zote juu ya namna bora ya utekelezaji wa maagizo ya Rais wa Jamhuri...

Like
388
0
Wednesday, 25 November 2015
CECAFA: KILIMANJARO STARS YASONGA MBELE
Slider

Michuano ya Cecafa iliendelea tena hapo jana kwa michezo miwili katika hatua ya makundi, Kilimanjaro Stars wakiandikisha ushindi mwingine. Tanzania Bara (Kilimanjaro Stars) imeichapa Rwanda bao 2-1 katika mchezo uliopigwa mjini Awassa na kupaa kileleni mwa Kundi A wakiwa na pointi 6 kwa Mechi 2 na kujihakikishia kucheza hatua ya robo fainali. Mabao ya Kilimanjaro stars yalifungwa na Said Ndemla pamoja na Simon Msuva huku bao la Rwanda likifungwa na mchezaji Tisiyege. Zanzibar hata hivyo walifungwa 4-0 na Uganda ikiwa...

Like
383
0
Wednesday, 25 November 2015
IDADI YA WAGONJWA WA KIPINDUPINDU YAPUNGUA DAR
Local News

IDADI ya wagonjwa wa kipindupindu jijini Dar es salaam imeelezwa kupungua  kufikia wagonjwa kumi na mbili kwa mkoa mzima, huku wilaya ya Temeke pekee ikiwa na wagonjwa saba, Kinondoni wagonjwa wanne na Ilala ikiwa na mgonjwa mmoja   Mratibu wa Magonjwa  ya kuambukiza wa Jiji la Dar es salaam  Bw. Alex Mkamba ameyasema hayo ofisini kwake ambapo ameeleza pia ni  jinsi gani mkoa umefanikisha kupambana na kipindupindu kwa kuzingatia usafi katika jiji.   Mpaka sasa jumla ya watu 55 wamefariki...

Like
360
0
Wednesday, 25 November 2015
DOLA 150000 ZATOLEWA KATIKA KIJIJI CHA MACHALI KUKABILIANA NA MABADILIKO YA TABIA YA NCHI
Local News

KIJIJI cha Manchali kilichopo wilaya ya Chamwino mkoani Dodoma, kimekabidhiwa mradi wenye thamani ya dola za Marekani 150,000 kwa lengo la kukabiliana na mabadiliko ya tabia nchi.   Akikabidhi mradi huo Mratibu wa mashirika ya Umoja wa mataifa nchini na Mwakilishi Mkazi wa Shirika la Maendeleo la Umoja wa Mataifa (UNDP) Alvaro Rodriguez amesema mradi huo umelenga kuisaidia jamii inayoishi katika kijiji hicho kukabiliana na changamoto mbalimbali za kimaisha zinazotokana na mabadiliko hayo.   Mradi huo pia umelenga kutatua tatizo...

Like
333
0
Tuesday, 24 November 2015
NOVAK DJOKOVIC ATWAA TAJI LA NNE ATP
Slider

Mchezaji tenisi namba moja Duniani kutoka Serbia, Novak Djokovic amemaliza msimu wake kwa ushindi dhidi ya Roger Federer. Ushindi huo umemfanya kuweka rekodi ya taji la nne mfululizo la mashindano ya ATP. Djokovic alifanikiwa kushinda kwa seti 6-3, 6-4 katika dakika 80 za mchezo huko London, na aliweza kusahihisha makosa yake baada ya mechi ya mwanzo ya makundi kufungwa na Roger Federer. Mpaka sasa Djokovic anamaliza mwaka huu kwa kushinda mataji 11 yakiwemo ya matatu ya Gland slam, na kwa...

Like
363
0
Monday, 23 November 2015
VAN GAAL APANGA KUMREJESHA CRISTIANO RONALDO OLD TRAFFORD
Slider

Kocha wa Manchester United imethibitishwa anajaribu kumrejesha mshambuliaji matata wa Real Madrid Cristiano Ronaldo Old Trafford . Louis van Gaal amethibitisha kuwa wanawafuatilia wachezaji kadhaa akiwemo Ronaldo kwa nia ya kuwarejesha Old Trafford ilikuiimarisha ushindani wake msimu huu. ”Kwa hakika tunawafuatilia wachezaji kadhaa sio tu Ronaldo.” ”Kwa kiwango kikubwa wengi wa wachezaji tunaowataka hawaachiki”   ”Kumhusu Ronaldo, kwa hakika tunasubiri thibitisho kwa udi na uvumba” alisema Van Gaal....

Like
279
0
Sunday, 22 November 2015