Music

Miaka 9 tokea kifo cha Michael Jackson, kuna haya ya kuyafahamu
Global News

Miaka tisa tokea dunia ipate taarifa za kifo cha mfalme wa muziki wa Pop duniani Marehemu Michael Jackson ambaye alifahamika duniani kote kutokana na upekee aliokuwa nao katika uchezaji pamoja na nyimbo zake ambazo zilipendwa na watu wengi ulimwenguni. Marehemu Michael Jackson alipendwa zaidi na watoto kutokana na upendo na ukaribu aliokuwa nao kwa watoto wote ambapo hakujali rangi na enzi za uhai wake Michael Jackson aliwahi pia kutembelea Tanzania na kukutana na Rais wa awamu ya pili wa Tanzania...

Like
897
0
Tuesday, 26 June 2018
Nyota Ndogo alizwa na historia ya mama yake, Aomba msaada kwa Watanzania
Music

Msanii wa muziki kutoka Kenya, Nyota Ndogo amewaomba wana Afrika Mashariki kumsaidia kutafuta ndugu wa mama yake mzazi ambao hadi leo hii hawajui walipo. Nyota Ndogo amesema kuwa mama yake mzazi alifika nchini Kenya akitokea Zambia akiwa na miaka 14 akisafirishwa na rafiki na baba yake (Babu wa Nyota Ndogo) kwa lengo la kwenda kusoma. Nyota Ndogo amesema kuwa mama yake hakufanikiwa kwenda shule kama alivyoahidiwa bali aliishia kuwa kijakazi wa nyumbani. Baadaye Mama yake alipata bahati ya kuolewa na...

Like
756
0
Monday, 26 March 2018
LADHANI LEO, 26 March
Music

Professor Jay ndani ya Nyumba Professor Jay: Naamini basata ni wazazi na walezi wa muziki Professor Jay: Niliposikia nyimbo zinafungiwa nilishtuka, nafikili basata wanatakiwa kukaa na vijana kuweza kuwaelekeza Professor Jay: Kwa dunia ilivyo sasa sidhani hizi contents za kawaida sana sioni kama shida Professor Jay: Kweli tunaitji kujitune kufuata utamaduni wetu lakini tuliangalie hili Professor Jay: Unapoongelea serikali ni chombo kikubwa sana, na hata baraza la sanaa ni kama mzazi. Professor Jay: Kulidharau baraza la Sanaa si vizuri,...

Like
1020
0
Monday, 26 March 2018
JE NINI KIMEBADILIKA WAKATI HUU HADI WASANI KUFUNGIWA NYIMBO ZAO: NIKKI WA PILI LADHANI
Entertanment

Tukirudi miaka 5 nyuma na kuendelea hakukua na kufungiwa sana kwa nyimbo za Bongofleva. Je nini hasa kimebadilika wakati huu.. Ladhani leo tutakuwa na Inspector Haroin Babu na  Nikki wa Pili  kuliangalia hili na mengineyo Saa 9 kamili hadi saa 10 jioni...

Like
405
0
Wednesday, 21 March 2018
DOWNLOAD NYIMBO MPYA ZA ALBUM YA CHIN BEEZ
Entertanment

  “My Baby” from Ladha by Chin Bees. Released: 2018. Track 4. Genre: Africa. DOWNLOAD   “Killer” from Ladha by Chin Bees. Released: 2018. Track 2. Genre: Africa. DOWNLOAD   “Nitulize” from Ladha by Chin Bees. Released: 2018. Track 3. Genre: Africa. DOWNLOAD   “My Baby” from Ladha by Chin Bees. Released: 2018. Track 4. Genre: Africa. DOWNLOAD   “Check It” from Ladha by Chin Bees. Released: 2018. Track 5. Genre: Africa. DOWNLOAD   “Cynthia” from...

2
5503
0
Tuesday, 20 March 2018
LADHANI LEO CHIN BEEZ ANA REVIEW ALBUM YAKE LIVE
Music

  CHIN BEEZ: unajua ukizungumzia swala la Albam, tukiziweka ndani hatuwatendei haki mashabiki wetu CHIN BEEZ: Hii ni kama zawadi nimewapa mashabiki wangu CHIN BEEZ: Hii albam ni bure kabisa una weza kudownload kupitia wanene CHIN BEEZ: Na sisitiza usiuziwe hii Albam, ni bure ni zawadi kwamashabiki wangu CHIN BEEZ: Sometie kila msanii ana stayle yake unajua ehe CHIN BEEZ: Mimi sio mkorofi ila unajua mtu ukiwa na modi furani hivi ndio unaonekana hivyo CHIN BEEZ: Sasa mimi nafikiria maisha,...

Like
1188
0
Tuesday, 20 March 2018
NEW MUSIC: DREAM – NIMESHAZAMA
Entertanment

Baada ya kufnya vizuri na track yake ya kwanza kama  solo artist, Dream ameachia wimbo mpya unaweza kuusikiliza na kuupakua hapa Wimbo umetayarishwa na Abbah katika studio za Vipaji TZ pakua...

Like
532
0
Friday, 08 January 2016
UFISADI: MAJAJI 7 WASIMAMISHWA KAZI GHANA
Global News

JUMLA ya Majaji saba kati ya 12 wa mahakama ya juu nchini Ghana wamesimamishwa kazi kwa muda kufuatia madai ya kuhusika katika ufisadi. Mwezi uliopita majaji wengine 22 wa ngazi za chini walisimamishwa kazi baada ya filamu moja kuwaonesha wakipokea rushwa kutoka kwa wateja ili wapate kupendelewa katika kesi zilizowakabili. Hata hivyo Majaji wengine kadhaa wamekana kuhusika na madai hayo hali iliyowapeleka mahakamani kupinga kitendo cha wao kusimamishwa...

Like
253
0
Tuesday, 06 October 2015
GHANA YATANGAZA SIKU TATU ZA MAOMBOLEZO KUFUATIA VIFO VYA WATU 150
Global News

GHANA imetangaza siku tatu za maombolezo ya kitaifa kufuatia vifo vya watu mia na hamsini vilivyotokana na mafuriko na mlipuko kwenye kituo kimoja cha mafuta.   Mlipuko huo ulitokea hapo jana wakati mamia ya watu walipokuwa wamejihifadhi katika kituo hicho cha mafuta kutokana na mvua kubwa zinazonyesha.   Rais wa Ghana,John Mahama amesema janga kama hilo halitajirudia tena. Rais Mahama amesema hayo wakati akizungumza na waandishi wa habari katika mji mkuu ,Accra alipotembelea eneo la tukio. baadhi ya picha za...

Like
339
0
Friday, 05 June 2015
NEW AUDIO: MUZYD FT RICH MAVOKO
Entertanment

Huu ni wimbo uliyotayarishwa katika studio za Vipaji Tz chini ya Producer Abba Artist : Muzdy ft Rich Mavoko Song: Mboni yangu unaweza kuusikiliza na kudonwload hapa  ...

Like
828
0
Tuesday, 31 March 2015
UINGEREZA YATARAJIWA KUANZA KAMPENI ZA UCHAGUZI MKUU
Global News

Waziri Mkuu wa Uingereza DAVID CAMERON akutana na Malkia ELIZABETH kumuarifu kuwa Bunge limevunjwa, hatua inayofungua mlango wa kuanza Kampeni kwa uchaguzi Mkuu May 7 mwaka huu.tarehe 7 Mei. Bwana CAMERON anaiongoza Serikali ya Mseto  kati ya Chama chake cha Conservative na  kile cha Liberal Democrats tangu mwaka 2010. Utafiti wa maoni ya Wapiga kura unaonyesha matokeo yanayotafautiana.  ...

Like
282
0
Tuesday, 31 March 2015