Slider

NYUKI WALAZIMU MECHI YA KANDANDA KUAHIRISHWA
Slider

Mechi moja ya ligi kuu ya kandanda nchini Ecuador iliaahirishwa kwa dharura baada ya nyuki kuvamia uwanja. Amini usiamini mechi kati ya River Ecuador na Aucas katika jiji la Guayaquil ilisimamishwa baada ya nyuki waliokuwa wakipaa kutua uwanjani. Wachezaji kadhaa walidungwa na nyuki huku mashabiki wengi wakijeruhiwa. Wazima moto walilazimika kuingilia kati kujaribu kuwafurusha wadudu hao. Mechi hiyo iliyokuwa imechezwa kwa dakika kumi pekee ilisimamishwa kwa muda wa dakika 30 hivi, hata hivyo refarii katika mechi hiyo akaamua kuahirisha mechi...

Like
321
0
Monday, 18 July 2016
DEMBA BA AVUNJIKA MGUU UWANJANI
Slider

Mshambulizi wa zamani wa klabu ya Chelsea ya Uingereza Demba Ba amevunjika mguu akiwa uwanjani katika mechi ya ligi kuu ya Uchina. Raia huyo wa Senegal mwenye umri wa miaka 31 alikabiliwa na mlinzi wa timu hasimu katika ligi kuu ya Uchina hapo jana Jumapili tarehe 17 Julai. Ba ambaye anaichezea Shanghai Shenhua aligongwa na mchezaji wa timu hasimu ya Shanghai SIPG mita chache tu kabla ya kisanduku cha hatua 18, Alipoanguka mguu wake ulipinduka kwa hali isiyo ya kawaida...

Like
382
0
Monday, 18 July 2016
MWEUSI AWAUA POLISI WATATU MAREKANI
Global News

Rais Barrack Obama wa Marekani amewasihi wamerakani wajizue dhidi ya hisia kali baada ya Mmarekani Mweusi kuwapiga risasi na kuwaua maafisa watatu wa polisi katika shambulizi la pili la kulipiza kisasi dhidi ya polisi wazungu wanaowaua wamarekani weusi. Obama ameomba uvumilivu utawale mioyo ya wakaazi wa mji wa Baton Rouge Louisiana nchini Marekani ambao sasa wanahofu ya kuzuka mashambulizi ya kulipiza kisasi. Obama aliyasema hayo katika hotuba ya moja kwa moja kupitia kwa runinga kutoka ikulu ya WhiteHouse muda mchache...

Like
336
0
Monday, 18 July 2016
MSAKO KUFANYIKA NYUMBA KWA NYUMBA DAR KUTAMBUA SHUGHULI ZA KILA MKAZI
Local News

Msako huo uliotangazwa na Mkuu wa Mkoa wa Daresalaam Mh. Paul Makonda utafanyika nyumba moja hadi nyingine kwa lengo la kutambua shughuli za wakazi wa Daresalaam na kutoa onyo kwa atakayekwamisha zoezi hilo kukiona cha...

Like
354
0
Friday, 15 July 2016
MEDEAMA WATUA YANGA KUIKABILI YANGA
Slider

Wapinzani wa klabu ya Young Africans, katika michuano ya kuwania Kombe la Shirikisho Barani Afrika, Medeama kutoka Ghana, wametua Dar es Salaam tayari kwa mechi baina ya timu hizo Jumamosi. Wachezaji hao waliwasili Dar Alhamisi na wakafanya mazoezi katika uwanja wa Karume. Yanga itaikaribisha Medeama kwa mchezo wa tatu kuwania taji hilo hatua ya makundi katika uwanja wa taifa Dar es Salaam. Mchezo huo utaanza saa 10.00 jioni Michezo miwili ya awali ya Yanga katika michuano hiyo ilikuwa ni dhidi...

Like
291
0
Friday, 15 July 2016
RWANDA YAPUUZA WITO WA KUMKAMATA RAIS WA SUDAN
Global News

Serikali ya Rwanda imepuzilia mbali ombi la mahakama ya kimataifa ya jinai yenye makao yake makuu huko Hague Uholanzi ICC ya kumkamata rais wa Sudan Omar al-Bashir. Rais Bashir atahudhuria kongamano la viongozi wa Afrika linaloandalia mjini Kigali wikiendi hii. Waziri wa maswala ya nje wa Rwanda Louise Mushikiwabo amesema kuwa ombi la ICC kupitia kwa barua rasmi walioiandika siku mbili zilizopita haina uzito wowote. Mapema juma hili mahakama ya ICC iliyashtaki mataifa ya Djibouti na Uganda kwa baraza kuu...

Like
286
0
Thursday, 14 July 2016
MAN UNTD NAMBARI 5 KWA UTAJIRI DUNIAN
Slider

Klabu ya Manchester United imeorodheshwa ya tano kwa utajiri duniani na jarida la Forbes, thamani yao ikiwa imepanda kwa asilimia saba. Klabu ya NFL, Dallas Cowboys, ndiyo inayoongoza thamani yake ikiwa $4bn (£3.03bn), na ni mara ya kwanza kwa klabu ambayo haichezi kandanda kuongoza katika orodha hiyo tangu kuanzishwa kwake 2011. United, walioongoza orodha hiyo 2011 na 2012, wana thamani ya $3.32bn (£2.52bn). Real Madrid ni wa pili kwa $3.65bn (£2.77bn) na Barcelona wa tatu $3.55bn (£2.69bn). United, klabu pekee...

Like
381
0
Thursday, 14 July 2016
RAIS MAGUFULI NA MITANDAO YA KIJAMII
Local News

Rais John Magufuli ametumia dakika 40 kuelezea jinsi alivyokuwa akilala usiku wa manane kuchambua majina 185 ya wakurugenzi wa wilaya, amesema matokeo yake hakuna “vilaza” waliopenya, akijibu habari zilizozagaa kwenye mitandao ya kijamii. Katika hotuba yake Rais alisema katika kazi hiyo iliyomchukua takribani miezi minne, alipitia jina la kila mkurugenzi aliyemteua na hakuna aliyepenyeza jina lake kutaka kuteuliwa likapita. “Aliyejaribu, jina lake liliondolewa. Sikujua hata sura zenu ila kwa jinsi ninavyoziona nyuso zenu hapa, hakika...

Like
399
0
Wednesday, 13 July 2016
JERRY MURO ABWAGA MANAYANGA, HUU NDIO UJUMBE WAKE
Slider

Kila nikizifikiria figisu za soka la bonge aisee nachoka kabisaa, let me walk away for a while though I will be missing my funs and my people wa kimataifa but I must walk away for a while...

Like
405
0
Wednesday, 13 July 2016
MUSEVENI ASIMAMISHA MSAFARA, AKETI BARABARANI KUPOKEA SIMU
Global News

Rais wa Uganda bwana Yoweri Kaguta Museveni alizua kihoja katika kijiji kimoja karibu na mpaka wa Uganda na Tanzania aliposimamisha msafara wake wa Rais Yoweri Museveni, alishuka kutoka kwenye gari lake rasmi akachukua kiti chake na kukiweka kando kando ya barabara mpya ya Isingiro ikipitia kijiji hicho cha Kyeirumba hadi Tanzania na kupokea simu faraghani. Mzee Museveni kama vile baba wa taifa alitumia muda wake kufanya shughuli hiyo huku akiwapungia mkoo wapita njia. Baada ya dakika 30 hivi raia wa...

Like
657
0
Tuesday, 12 July 2016
RONALDO AMBWAGA MESSI KWA MWAPATO 2015
Entertanment

Christiano Ronaldo ndiye mwanamichezo anayelipwa pesa nyingi zaidi duniani kwa mujibu wa jarida la Forbes. Ronaldo ameorodheshwa katika nafasi ya 4 akiwa na jumla ya mapao ya dola milioni 88.($88m (£67m) Licha ya kuzoa taji la mchezaji bora duniani na hatimaye kuhukumiwa kifungo cha miezi 21 kwa kukwepa kulipa kodi, mshambulizi wa Argentina na Barcelona ya Uhispania Lionel Messindiye mwanamichezo wa pili katika orodha hiyo. Messi ameorodheshwa katika nafasi ya 8 akiwa na mapato ya takriban dola milioni themanini na...

Like
459
0
Tuesday, 12 July 2016