Slider

SERIKALI KUSHIRIKIANA NA WADAU WA SEKTA YA AFYA KUTOA ELIMU KWA MAKUNDI YALIYOKWENYE HATARI KUAMBUKIZWA VVU
Local News

SERIKALI imesema kuwa itaendelea kushirikiana na wadau mbalimbali wa sekta ya Afya kutoa elimu kwa makundi ya watu wanaotumia dawa za kulevya na wale wanaojihusisha na biashara ya ngono katika maeneo mbalimbali nchini ili kukabiliana na maambukizi mapya ya Virusi vya UKIMWI.Akizungumza kwa Niaba ya Mganga Mkuu wa Serikali jijini Dar es salaam Mkurugenzi wa Udhibiti na Usalama wa Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii Dokta MOHAMED ALLY MOHAMED wakati wa kutambulisha matokeo ya tafiti za watu walio katika...

Like
237
0
Tuesday, 24 February 2015
ASILIMIA 11.7 HAWANA AJIRA TANZANIA
Local News

NAIBU Waziri wa kazi na Ajira, Makongoro Mahanga, amesema kuwa hali ya ukosefu wa ajira nchini mpaka hivi sasa kwa mujibu wa utafiti wa nguvu kazi uliofanyika mwaka 2006, jumla ya watu waliokuwa hawana kazi hapa nchini ni asilimia 11.7. Ameyasema hayo kwenye ufunguzi wa Semina ya vijana Mkoa wa Lindi, na kusema kuwa utafiti huo umeonyesha kuwa takribani asilimia 13.4 ya vijana wenye umri kati ya miaka 15 hadi 34 wa Tanzania hawana kazi kabisa. Mheshimiwa Makongoro Mahanga, ameeleeza...

Like
333
0
Tuesday, 24 February 2015
NEW AUDIO: WASWAZI KIJIJI
Entertanment

Kutoka kwenye kundi la Waswazi, baada ya kufanya powa na wimbo wa Jirani wamerudi tena na wimbo huu Waswazi Song: Kijiji Produced by Abba Studio: Vipaji...

Like
728
0
Tuesday, 24 February 2015
VIDEO: P SQUARE FT DON JAZZY – COLLABO
Entertanment

kwa wale watumiaji wa mtandao wa instagram wenye kuwafollow mapacha kutokea nchini Nigeria P square hivi karibuni wamekuwa wakipost picha nyingi wakiwa nchini Afrika kusini sasa hiki ndicho walichokuwa wanafanya P Square ft Don Jazzy Song: Collabo Video imeoongozwa na Clarence Peters na Jude...

Like
453
0
Tuesday, 24 February 2015
AFRIKA KUSINI: 500 WAOKOLEWA NA MAGARI YA ZIMA MOTO MACHIMBONI
Global News

INAKADIRIWA kuwa wachimbaji wapatao mia tano wameokolewa na magari ya zima moto kutoka machimboni baada ya kuwa wamebanwa chini ya mashimo yenye kina kirefu katika machimbo ya madini nchini Afrika Kusini. Moto mkubwa uliripuka mapema umbali wa zaidi ya kilomita mbili katika machimbo ya mgodi wa Kusasalethu Magharibi mwa mji wa Johannesburg. Mmiliki wa mgodi huo ni kampuni ya Harmony Gold wameeleza kuwa waliwaokowa wanaume zaidi ya mia nne na themanini na sita waliokuwa zamu siku hiyo...

Like
327
0
Monday, 23 February 2015
MECK SADIQ AMTAKA MKUU WA WILAYA YA KINONDONI KUSIMAMIA KATIBA YA NCHI
Local News

MKUU wa mkoa wa Dar es salaam SAID MECK SADIQ amemtaka mkuu wa wilaya ya Kinondoni PAUL MAKONDA kusimamia vyema katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ili kuleta maendeleo kwa wananchi na Taifa kwa ujumla. Mheshimiwa SADIKI ametoa wito huo leo jijini Dar es salaam wakati akimuapisha rasmi mkuu wa wilaya hiyo ambapo amesema kuwa kusimamia ipasavyo katiba ya nchi ni suala muhimu katika kuhakikisha usawa unapatikana kwa kila mtu. Mbali na hayo Mkuu huyo wa Mkoa ameeleza kuwa...

Like
295
0
Monday, 23 February 2015
WATANO MBARONI KWA UCHOCHEZI WA VURUGU SAKATA LA JKT
Local News

JESHI la polisi kanda maalum ya Dar es salaam limewakamata vijana wapatao wa tano wanao jiita viongozi wa umoja wa kikundi cha wahitimu wa mafunzo ya jeshi la kujenga Taifa JKT kwa makosa ya uchochezi na mikusanyiko isiyo ya halali. Hayo yamebainishwa leo Jijini Dar es salaam na Kamishna wa polisi kanda hiyo suleman kova ambapo amesema kuwa lengo la kikundi cha wahitimu hao kufanya mikusanyiko hiyo nikutaka kuandamana kwenda Ikulu kuonana na Rais Dkta JAKAYA MRISHO KIKWETE kwa madai...

Like
275
0
Monday, 23 February 2015
TANZANIA INAUNGA MKONO KWA DHATI UMOJA WA AFRIKA NA USHIRIKIANO WA EAC
Local News

Tanzania inaunga  mkono kwa dhati Ushirikiano  wa Kikanda na muumini mkubwa wa Umoja wa Africa na Ushirikiano wa Jumuiya ya Afrika Mashariki -EAC. Rais Jakaya Mrisho Kikwete amesema hayo jijini Nairobi mara baada ya kukabidhiwa uenyekiti wa EAC na Rais Uhuru Kenyatta wa Kenya ambaye amekua mwenyekiti wa Jumuiya hiyo kwa kipindi cha mwaka mmoja uliopita Rais  Kikwete amesema na kumpongeza Rais Kenyatta kwa kusimamia utekelezwaji wa maazimio na miradi ya pamoja ya Jumuiya wakati wa kipindi chake cha uenyekiti...

Like
335
0
Monday, 23 February 2015
MATOKEO YA MICHEZO YA LIGI KUU TANZANIA BARA
Slider

Yanga jana ilishuka dimbani kumenyana na Mbeya City katika uwanja wa Sokoine jijini Mbeya ambapo mchezo huo ulimalizika kwa vinara hao wa ligi kuu kuichapa Mbeya City 3-1 , ushindi huo unaipeleka Yanga pointi tano mbele huku mabingwa watetezi Azam fc wakishika nafasi ya pili kwenye msimamo wa ligi Magaoli ya Yanga yalifungwa na Simon Msuva, Mrisho Ngassa na Amisi Tambwe huku bao la kufuta machozi la Mbeya City lilipachikwa na Peter Mapunda. Katika michezo mingine ya ligi kuu hapo...

Like
576
0
Monday, 23 February 2015
FERNANDO ALONSO KUFANYIWA VIPIMO TENA BAADA YA AJALI
Slider

 Dereva wa kampuni ya magari ya McLaren Fernando Alonso anatarajiwa kufanyiwa vipimo zaidi siku ya jumatatu kabla timu ya madaktari wanaomuhumia hawajaamua kama watamruhusu kutoka hospitali Fernando Alonso mwenye umri wa miaka 33 amewahi kuchukua ubingwa wa dunia mara mbili kwenye mashindano ya magari. Kwa sasa dereva huyu yupo kwenye uangalizi mkubwa wa madaktari ambapo amelazwa kwenye kitengo cha wagonjwa mahututi (ICU) kufuatia ajali aliyopata wakati wa majaribio huko Barcelona siku ya jumapili Alonso kwa sasa anasumbuliwa na tatizo la...

Like
324
0
Monday, 23 February 2015
WAZIRI WA MAMBO YA KIGENI WA UJERUMANI AMEIONYA URUSI DHIDI YA UCHOCHEZI MGOGORO WA UKRAINE
Local News

WAZIRI wa mambo ya kigeni wa Ujerumani Frank-Walter Steinmeier ameionya Urusi dhidi ya kuchochea zaidi mgogoro wa Ukraine, akisema mashambulizi ya waasi kwenye mji wa Mariupol yatakuwa ukiukwaji wa wazi wa makubaliano ya amani yalioungwa mkono na jamii ya kimataifa. Katika mahojiano na gazeti linalosomwa na watu wengi zaidi nchini Ujerumani la Bild, toleo la leo Jumatatu, Steinmeier ambaye yuko nchini Kenya akikamilisha ziara yake ya mataifa matatu ya Afrika, amesema hatua yoyote ya kusonga mbele kwenye mji huo itakuwa...

Like
253
0
Monday, 23 February 2015