Slider

MAONI YA OMARY KATANGA KWA RAIS WA SIMBA EVANS AVEVA
Slider

Rais wa Simba Evans Aveva, huna budi kukumbuka hata kwa bahati mbaya badhi ya ahadi zako ulizozitoa wakati ukiomba ridhaa ya kuwa kiongozi wa juu wa Simba,ili mambo yaende sawa. Ulitoa ahadi nyingi mno ikiwemo ya kuhakikisha unazoa pointi 3 katika kila mechi,utaleta maendeleao ndani ya klabu,utaifanya simba kuwa ni moja ya klabu inayoheshimika ndani na nje ya nchi,utaongeza idadi ya wanachama,pia utahakikisha unavunja makundi yote na kuwaunganisha wanachama kuwa simba moja. Hebu tuliangalie hili la kuvunja makundi-wanachama wa simba...

Like
471
0
Wednesday, 18 February 2015
AUDIO: MWENDELEZO WA MAHOJIANO NA JUMA PONDAMALI MENSA KUPITIA MAKAO MAKUU YA MICHEZO
Slider

Wanachokosea viongozi wa juu wa soka kwa vilabu  hapa nchini ni wapi maana wamekuwa wakilalamikiwa kuboronga  wanapokuwa madarakani………….. Je, enzi zako vilabu kama Yanga uliyowahi kuichezea na timu ya taifa mlikuwa mnasafiri nje ya nchi mathalani Ulaya nakadhalika au utamaduni huu ni wa sasa tuu…….. Kuundwa kwa timu ya taifa ya Maboresho unadhani kutasaidia kuwa na timu bora ya taifa zaidi yah ii ya sasa????????? Kikosi chenu cha timu ya taifa  enzi hizo kilikuwa na wachezaji mchanganyiko kwa timu za...

Like
662
0
Wednesday, 18 February 2015
OBAMA APINGANA NA JAJI WA MAHAKAMA KUHUSU MAGEUZI YA UHAMIAJI
Global News

RAIS wa Marekani BARACK OBAMA amesema hakubaliani na uamuzi wa Jaji wa Mahakama nchini humo wa kusitisha utekelezaji wa amri yake ya utendaji kuhusu mageuzi ya uhamiaji. Bwana  OBAMA amesema sheria hiyo na historia viko upande wa utawala wake. Wizara ya Usalama wa Ndani wa nchi hiyo imesema itakata rufaa dhidi ya uamuzi wa mahakama na kwamba utawala umechukua mwelekeo mzuri kwa mujibu na utawala wake wa sheria, lakini imeeleza kuwa kwa sasa itabidi ikubaliane wa uamuzi wa mahakama....

Like
323
0
Wednesday, 18 February 2015
LIBYA: MATAIFA YA MAGHARIBI YATAKA SULUHU YA KISIASA KUMALIZA MZOZO
Global News

KUNDI la mataifa ya nchi za Magharibi limetaka kuwepo kwa hatua za dharaua kutafuta suluhu ya kisiasa katika mzozo uliopo nchini Libya ambapo makundi hasimu yanang’ang’ania madaraka. Taarifa hiyo kutoka Marekani , Uingereza , Ufaransa , Ujerumani, Italia na Uhispania imejiri baada ya Misri kuomba msaada wa Jeshi la Kimataifa. February 15 mwaka huu Misri imethibitisha kuwa wanamgambo wa Islamic State waliwakata vichwa watu 21 raia wake ambao ni Wakisristo wa madhehebu ya Coptic        ...

Like
251
0
Wednesday, 18 February 2015
NHIF YAJA NA MPANGO WA KUSAIDIA MATIBABU WANANCHI WASIOJIWEZA
Local News

MFUKO wa Taifa wa Bima ya Afya-NHIF umeanzisha mpango wa Kikoa ambao utatoa nafasi kwa Wananchi wasiokuwa na uwezo wa kuchangia gharama za Matibabu kutibiwa bure. Wananchi wanaotarajiwa kunufaika na mpango huo ni kutoka katika Kaya masikini ambazo haziwezi kuchangia Shilingi 78,800 ambazo kila mwanachama anatakiwa kuchangia kwa mwaka. NHIF imefikia uamuzi wa kuanzisha mpango huo ili kunusuru watu wengi wanaopoteza maisha kutokana na kutokuwa na uwezo wa kumudu gharama za...

Like
265
0
Wednesday, 18 February 2015
JKT YASISITIZA KUTOLITAMBUA KUNDI LA VIJANA WANAOKUSUDIA KUANDAMANA
Local News

JESHI la Kujenga Taifa-JKT limesisitiza kuwa haliwatambui kundi la Vijana waliomaliza mafunzo ya Jeshi wanaokusudia kufanya maandamano ili kushinikiza Ajira,kwa kuwa hawako tena chini yao. Aidha limesema vijana haop ni raia kama wengine na wanachokusudia kukifanya ni uhalifu hivyo wachukuliwe kama wahalifu wengine. Mkuu wa JKT Meja Jenerali RAPHAEL MUHUGA akizungumza na Efm amesema kimsingi hawana mktaba wowote na vijana hao baada ya kumaliza mafunzo yao katika jeshi...

Like
244
0
Wednesday, 18 February 2015
MICHEZO YA UFUNGUZI LIGI YA MABINGWA BARANI ULAYA
Slider

Katika michezo ya ufunguzi ya michuano ya UEFA hapo jana nyasi ziliwaka moto katika viwanja viwili tofauti kwenye hatua ya kumi na sita bora Klabu ya Paris Saint Germain ya Ufaransa ilikuwa mwenyeji wa Chelsea ya Uingereza ambapo nusu ya kwanza ya mchezo huo Chelsea ilitawala kwa kuwa ya kwanza kuziona nyavu za PSG kupitia mchezaji wake Branislav Ivanovic mnamo dakika ya 36 na kudumu hadi mapumziko, katika kipindi cha pili dakika ya 54 PSG waliweza kusawazisha bao hilo kupitia...

Like
320
0
Wednesday, 18 February 2015
SAUTI  SOL WAWEKA HISTORIA LAS VEGAS
Entertanment

Sauti sol ni kundi ambalo kwa sasa linafanya vizuri katika tasnia ya muziki wa Afrika, ni wazi kuwa kundi hili limeanza kupata mafanikio makubwa kimuziki kwa kutambulika katika ramani ya dunia Ukitaja orodha ya nyimbo zinazofanya vizuri kutoka Afrika mashariki basi hutoweza kuacha kutaja wimbo wa Sura yako kufuatia kuwa moja ya nyimbo zinazopendwa saana hapa Tanzania   Kundi hili hivi karibuni lilikuwa nchini Marekani katika ziara yao ambapo walipata nafasi ya kutumbuiza kwenye mgahawa maarufu duniani wa Hard Rock...

Like
432
0
Wednesday, 18 February 2015
MISRI YAITAKA UN KUIDHINISHA HATUA ZA KIJESHI KIMATAIFA DHIDI YA IS NCHINI LIBYA
Global News

RAIS wa misri Abdel Fatah Al-Sisi ameutaka umoja wa mataifa kuidhinisha hatua za kijeshi za kimataifa dhidi ya kundi la Islamic State nchini Libya. Akizungumza na kituo kimoja cha radio cha Ufaransa, rais Sisi amesema kuwa watu nchini Libya wanataka hatua kali zichukuliwe ili kuleta usalama na udhabiti nchini mwao. Wito wa rais Sisi unakuja siku moja baada ya ndege za kivita za Misri kushambulia ngome za Islamic State kulipiza kisasi kuuawa kwa wamisri wa dhehebu la Coptic nchini Libya...

Like
219
0
Tuesday, 17 February 2015
UKRAINE: HATUA MUHIMU ZA KUSITISHA MAPIGANO ZAFIKIWA
Global News

VIONGOZI wa Ujerumani, Urusi na Ukraine wamekubaliana hatua muhimu zitakazowezesha kikosi cha kimataifa cha waangalizi , kuangalia utekelezaji wa makubaliano ya kusitisha mapigano mashariki mwa Ukraine. Kansela wa Ujerumani ANGELA MERKEL , Rais VLADIMIR PUTIN na mwenzake wa Ukraine , PETRO POROSHENKO , wamezungumza kwa njia ya simu na kujadili njia za kuwaruhusu waangalizi kutoka Shirika la Usalama na ushirikiano barani Ulaya OSCE kuingia katika mji muhimu wa masuala ya usafiri wa treni wa Debaltseve. Katika eneo la   Mashariki mwa...

Like
194
0
Tuesday, 17 February 2015
WATANZANIA WATAKIWA KUZITUMIA FURSA ZA ELIMU
Local News

WATANZANIA hususani Wanafunzi kutoka vyuo mbalimbali nchini wameshauriwa kutumia fursa zinazojitokeza katika kupata Elimu ili kutimiza malengo yao waliyojiwekea. Ushauri huo umetolewa leo jijini Dar es salaam na Mwakilishi wa Mkuu wa Chuo Kikuu Huria cha Tanzania Dokta BENHADJ MASOUD wakati akifungua rasmi mpango wa utoaji wa fursa katika Elimu ulioshirikisha nchi za Afrika Mashariki na nchi za Scandinavia. Dokta MASOUD amesema kuwa ikiwa mpango huo utatekelezwa ipasavyo utawasaidia kwa kiasi kikubwa Wananchi kutimiza malengo yao kupitia fursa...

Like
221
0
Tuesday, 17 February 2015