Slider

AUDIO: MASWALI NA MAJIBU YA MKONGWE KATIKA SOKA ATHER MWAMBETA
Slider

(09)Tanzania Simba na Yanga ni vilabu vikongwe unazungumziaje swala la kubadilisha makocha mara kwa mara je tatizo ni nini? (10)Timu ya taifa imekuwa haifanyi vizuri kiasi cha kilamtu kuhaha ili kuapata muarobaini wa tatizo hilo huku TFF ikitaka kupunguza wachezaji wa kigeni kutoka watano katika timu za ligi kuu ili kuwapa nafasi wazawa hili unalizungumziaje (11)Je viongozi wetu wa soka katika ngazi zote wanaongoza kwa kufata misingi ya kuendeleza soka? Na uwepo wa nyota wakigeni ni faida kwetu? (12)Mambo yanaenda...

Like
470
0
Friday, 06 February 2015
VIONGOZI WA NCHI ZA MAGHARIBI WAMEPENDEKEZA MIPANGO MIPYA JUU YA MGOGORO WA UKRAINE
Global News

WAKATI mapigano yakiendelea mashariki mwa Ukraine, viongozi wa nchi za magharibi wamependekeza mipango mipya kujaribu kumaliza mgogoro kati ya Majeshi ya Serikali na waasi wanaoungwa mkono na Urusi. Rais wa Ukraine Petro Poroshenko amesema mapendekezo mapya yaliyotolewa na kiongozi wa Ujerumani Kansela Angela Merkel, na rais wa Ufaransa Bwana Francois Hollande, yameongeza matumaini ya kumaliza mapigano. Mpango huo utawasilishwa kwa Urusi Ijumaa, ambako Urusi imeahidi mazungumzo yenye manufaa. Lakini hatua ya Urusi kuwaunga mkono waasi wa...

Like
250
0
Friday, 06 February 2015
KATIMBA: SERIAKALI IBORESHE AMA IONDOE MUSWADA WA MAHAKAMA YA KADHI
Local News

NAIBU Katibu wa Jumuiya na Taasisi za Kiislamu na Shura za Maimamu nchini Sheikh RAJAB KATIMBA ameitaka serikali iuboreshe ama iuondoe muswada wa mahakama ya kadhi  kabla ya kuwasilishwa bungeni kwa mjadaala. Akizungumza jijini Dar es salaam kwa niaba ya Jumuiya na Taasisi zaidi ya kumi za Waislam, Sheikh Katimba amesema Waislam wamepitia muswada na matamko yaliyotolewa na viongozi wa serikali na taasisi mbalimbali  kuwa yana lengo la kupotosha baadhi ya maneno ya maoni yaliyotolewa na waislam kupitia jumuiya na...

Like
276
0
Friday, 06 February 2015
JAMII IMETAKIWA KUSAIDIA WATOTO YATIMA NA WANAOISHI KWENYE MAZINGIRA HATARISHI
Local News

JAMII imetakiwa kusaidia watoto yatima na wanaoishi katika mazingira  hatarishi ili kupunguza ongezeko la majambazi wanaotokana na watoto wa mitaani nchini. Rai hiyo imetolewa na mlezi wa kituo cha kulelea  watoto Yatima cha Mwandaliwa,  HALIMA MWANDALIWA  kilichopo Mbweni jijini Dar es salaam wakati akizungumza na EFM. Asema kuwa endapo watoto hao watasaidiwa kupata elimu ya msingi na mpaka secondari kuna uwezekano mkubwa wakujiajiri na  hivyo kupunguza majambazi au kutokomeza kabisa tatizo...

Like
264
0
Friday, 06 February 2015
RAIS WA SHIRIKISHO LA UJERUMANI AELEZA UTAYARI WA SERIKALI YAKE KUSHIRKIANA NA MAHAKAMA YA HAKI ZA BINAADAM
Local News

RAIS wa Shirikisho la Ujerumani Joachim Gauck amesema Serikali yake iko tayari kushirikiana na Mahakama ya Afrika ya haki za binaadamu katika utendaji kazi wake ili kusaidia kutoa huduma iliyokusudiwa kwa walengwa. Ameyasema hayo alipotembelea Mahakama hiyo iliyopo mjini Arusha, ikiwa ni muendelezo wa ziara yake nchini na kusema kuwa angependa kuona utawala wa sheria ambao unaozingatia Demokrasia unafuatwa na kuheshimiwa. Aidha, Rais GAUCK ameipongeza mahakama hiyo kwa weledi wake na hatua nzuri waliyofikia huku akitolea mfano kesi...

Like
274
0
Friday, 06 February 2015
AUDIO: MASWALI NA MAJIBU KWA LE MUTUZ KUPITIA KABALI YA JOTO LA ASUBUHI
Entertanment

Ungana na Ssebo pamoja na Rachel Ndauka kwenye Joto la asubuhi kila jumatatu hadi ijumaa kuanzia saa 12 asubuhi hadi saa tatu kamili asubuhi. ndani yake pia kila ijumaa moja kati ya vitu utakavyovisikia ni Kabali maswali na majibu kutana na Le Mutuz leo kwenye...

Like
745
0
Friday, 06 February 2015
AFCON: VURUGU ZATAWALA MCHEZO WASIMAMISHWA DAKIKA 30
Slider

Michuano ya kombe la mataifa ya Africa hapo jana ilichukua sura mpya katika hatua ya nusu fainali kwa kuwakutanisha wenyeji wa michuano hiyo Equatorial Guinea na Ghana. Wachambuzi wa mpira wa miguu wamefananisha mechi hiyo na vita kufuatia vurugu kubwa zilizojitokeza uwanjani baada ya mchezo kusimamishwa kwa takribani dakika 30 baada ya fujo kuzuka kwa mashabiki wa Equitorial Guinea kuanza kurusha chupa upande wa mashabiki wa Ghana Hali hiyo iliwalazimu polisi wa kutuliza ghasia kutumia mabomu ya machozi na helicopter...

Like
381
0
Friday, 06 February 2015
WITO UMETOLEWA KWA UINGEREZA KUONGEZA MASHAMBULIZI DHIDI YA WANAMGAMBO WA IS
Global News

WITO umetolewa kwa Uingereza kuongeza nguvu za kupambana na Wanamgambo wa Islamic State, ambapo Wabunge wan chi hiyo wamesema Wanamgambo hao wamejiimarisha sehemu za nchi ya Iraq na Syria . Kamati ya kuteuliwa ya maswala ya Ulinzi ndani ya Bunge hilo imesema Uingereza imeshiriki asilimia 6 tu ya mashambulizi ya anga dhidi ya kundi hilo la Jihad na kusema kuwa wanashangazwa kwa kuwa haifanyi jitihada za hali ya juu. IS imekuwa ikishikilia maeneo mengi na imekuwa ikijihusisha na vitendo vya...

Like
265
0
Thursday, 05 February 2015
HALI BADO TETE UKRAINE KUFUATIA ONGEZEKO LA MASHAMBULIZI DHIDI YA RAIA
Global News

SHIRIKA linalojihusisha na maswala ya usalama na ushirikiano barani Ulaya-OSCE limesema hali ya Mashariki ya Ukraine inazidi kuwa mbaya na mashambulizi dhidi ya Raia yanazidi kuongezeka. Msemaji wa Shirika hilo amesema wanafuatilia hali ilivyo nchini Ukraine na kwamba silaha zilizopigwa marufuku kimataifa zilitumika juma lililopta katika mji unaoshikiliwa na waasi . Baadae hii leo, Mkuu wa Shirika la OSCE atahutubia Baraza lake la kudumu, ambapo anatarajiwa kutoa wito wa kusitisha mapigano kwa muda katika Mji unaodhibitiwa na Serikali wa...

Like
261
0
Thursday, 05 February 2015
MADEREVA WA TANZANIA KUZUILIWA KUBEBA WATALII KENYA !!!
Local News

WIZARA ya Maliasili na Utalii imetakiwa kuchukuwa tahadhari kubwa katika kufatilia sakata la Madereva wa Tanzania kuzuiliwa kubeba Watalii katika uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Jomo Kenyata nchini Kenya ili kunusuru Mapato ya Taifa yanayoweza kupotea kupitia biashara ya utalii. Tahadhari hiyo imetolewa leo Bungeni Mjini Dodoma na Waziri wa Uchukuzi SAMWEL SITA alipotakiwa na Spika wa Bunge ANNE MAKINDA kutoa ufafanuzi juu ya Sakata hilo katika kipindi cha Maswali na Majibu ambapo amesema   Kenya inaweza kuipunguzia Nchi mapato...

Like
364
0
Thursday, 05 February 2015
TANZANIA KUWA MWENYEJI WA MKUTANO WA WAHASIBU KIMATAIFA
Local News

Tanzania itakuwa mwenyeji wa mkutano wa 22 wa kimataifa wa Chama cha Wahasibu Wakuu wa Serikali wa nchi za Mashariki na Kusini mwa Afrika –ESAAG, utakaofanyika nchini kuanzia Machi 09, hadi 12 mwaka huu. Kauli hiyo imetolewa na Mhasibu Mkuu wa Serikali Mwanaidi Mtanda kwa niaba ya Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha Dokta. Servacius Likwelile jijini Dar es salaam alipokuwa akiongea na waandishi wa habari kuhusiana na mkutano huo utakaofanyika nchini. Amesema kuwa mgeni rasmi katika mkutano huo anatarajiwa...

Like
322
0
Thursday, 05 February 2015