Slider

TETESI ZA MAGAZETI YA NG’AMBO
Slider

  Beki wa kati wa klabu ya Borussia Dortimund MATS HUMMEL amesema kuwa hana mpango wa kuihama klabu hiyo kwa sasa. (Daily Express)  Klabu ya Manchester United imeandaa paundi milioni 15 ili kumsajili beki wa klabu ya Barcelona GERARD PIQUE (Telegraph) Klabu ya Wolfsburg ipotayari kutoa kitita cha paundi milioni 23 ili kumsajili mshambuliaji wa klabu ya Chealsea ANDRE SCHURRLE lakini klabu hiyo imekataa dau hilo inahitaji paundi milioni 30. (Daily Star)    Kiungo wa klabu ya Arsenal FRANCIS COQUELIN...

Like
338
0
Tuesday, 20 January 2015
WAZIRI WA USALAMA AWAOMBA RADHI WANAFUNZI KENYA
Global News

WAZIRI wa Usalama Nchini Kenya Joseph Nkaissery amewaomba radhi wanafunzi wa shule ya msingi waliofyatuliwa gesi ya kutoa machozi wakati walipokuwa wakiandamana kupinga unyakuzi wa kipande cha ardhi ambacho kilikuwa uwanja wao wa kuchezea. Bwana Nkaissery amempa Mvamizi wa ardhi hiyo siku moja kuondoa sehemu ya ukuta iliobaki baada ya wanafunzi kuuangusha na kisha kuondoka katika eneo hilo. Ameongeza kwamba serikali itaweka uzio katika ardhi hiyo na kuiacha kuwa uwanja wa kuchezea wanafunzi...

Like
412
0
Tuesday, 20 January 2015
SUMATRA YAWATAKA MADEREVA NA MAKONDAKTA WA DALADALA KUTOPANDISHA NAULI KIHOLELA
Local News

 MAMLAKA ya Udhibiti Usafiri wa Nchi Kavu na Majini (Sumatra) wamewataka madereva na makondakta  wa daladala kuacha tabia ya kupandisha nauli kiholela wakati wa asubuhi na jioni. Akizungumza na kituo hiki Mkurugenzi Mkuu wa Sumatra, Michael Kisaka amesema kuwa tabia hiyo imekuwa ikiwasumbua abiria. Amesema Sumatra imekuwa ikifuatilia na kufanikiwa kuikamata daladala inayofanya safari zake Kimara hadi Kariakoo ikiwatoza  abiria nauli ya Shilingi 800 badala ya shilingi 500 tofauti na iliyopangwa na mamlaka hiyo....

Like
242
0
Tuesday, 20 January 2015
VIJANA WATAKIWA KUACHA KUKAA VIJIWENI BILA KUJISHUGHULISHA
Local News

VIJANA nchini wametakiwa kuachana na tabia ya kukaa vijiweni bila ya kujishughulisha na kazi yoyote, badala yake watumie fursa zilizopo za ujasirimali ili kujiajiri wao wenyewe na kupambana vilivyo na janga la umasikini. Wito huo umetolewa na Ofisa Maendeleo ya Jamii Wilaya ya Kibaha, Leah Lwanji kwa niaba ya Mkuu wa Wilaya hiyo, Hajat Halima Kihemba, wakati wa mkutano maalumu wa uchaguzi mkuu wa Chama cha Madereva na Wamiliki wa Pikipiki Kibaha – Chamawapiki. Lwanji amesema kuwa nia na madhumuni...

Like
431
0
Tuesday, 20 January 2015
SERIKALI YAANDAA MPANGO WA KUHIFADHI CHAKULA
Local News

SERIKALI kupitia Wakala wa Taifa wa Hifadhi ya Chakula- NFRA, imeandaa mpango wa utekelezaji wa muda mfupi wa kuongeza uwezo wa kuhifadhi chakula kutoka tani laki moja na sitini elfu hadi kufikia tani laki nne katika kipindi cha mwaka 2016 na 2017. Hayo yamebainishwa na Mkurugenzi wa huduma za biashara wa NFRA, Mikalu Mapunda wakati  akizungumza na Kituo hiki kuhusu hali ya utunzaji wa chakula kanda zote zilizopo nchini. Akizungumzia hali ya chakula cha ziada katika kipindi kilichopita, Mapunda amesema...

Like
268
0
Tuesday, 20 January 2015
PAPA FRANCIS AZUNGUMZIA FAMILIA
Global News

KIONGOZI wa kanisa katoliki duniani ameunga mkono haki ya wazazi kuchagua ukubwa wa familia zao. Amesema waumini wazuri wa Kanisa katoliki hawapaswi kuzaa bila ya mpangilio. Kiongozi wa Kanisa katoliki duniani amelalamikia mawazo ya nchi za magharibi kuhusu kudhibiti uzazi na haki za wapenzi wa jinsia moja kuwa yamezidi kushinikizwa katika familia za nchi zinazoendelea....

Like
230
0
Tuesday, 20 January 2015
WAZANZIBARI WAHIMIZWA KUIPIGIA KURA YA NDIO KATIBA MPYA
Local News

KATIBU MKUU wa Chama cha Mapinduzi –CCM, Abdulrahman Kinana, amewahimiza Wazanzibari kuipigia kura ya ndiyo Katiba mpya iliyopendekezwa kwakuwa inatatua kero nyingi za wanzanzibari  katika muungano na kuwafanya wawe na uhuru zaidi. Bwana kinana amefafanua umuhimu wa kuipigia kura katiba hiyo pendekezwa huku akitolea mifano ya  Rais wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar kuwa makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano ya Tanzania iwapo Rais wa Jamhuri atatoka Bara, Zazibar kujiunga na jumuiya za kimataifa bila kikwazo, kuwa na uhuru...

Like
230
0
Tuesday, 20 January 2015
WASHUKIWA WA UJAMBAZI WA KUTEKA MABASI MBARONI ARUSHA
Local News

JESHI la Polisi Mkoani Arusha limewakamata watu kadhaa kwa kuhusishwa na tukio la Ujambazi wa kuteka mabasi sita ya abiria yaliyokuwa yanatoka nchini Kenya kuelekea Arusha nchini Tanzania. Kamanda wa Polisi Mkoa wa Arusha Liberatus Sabas, amesema katika Msako huo ulioanza juzi, wamefanikiwa kukamata watu hao katika maeneo mbalimbali mkoani humo. Tukio la kutekwa kwa mabasi hayo lilitokea juzi usiku baada ya watu wanaodhaniwa kuwa majambazi kuvamia na kuteka mabasi hayo katika eneo la Mbuga Nyeupe, Wilaya ya Longido....

Like
330
0
Tuesday, 20 January 2015
AFCON: MAKALA MAALUM YA UCHAMBUZI WA SOKA TAIFA LA AFRIKA KUSINI
Slider

Ikiwa michuano ya Afcon tayari imeanza kwenye hatua za makundi huko EQUTORIAL GUINEA   macho yetu leo hii yanalitazama taifa la Afrika kusini, Afrika kusini ni nchi inayopatikana kusini mwa bara la Afrika ikiwa karibu na bahari ya Atlantic na bahari ya Hindi,nchi hiyo imepakana na Zimbabwe,Botswana,Namibia,Lesotho na Swaziland.Taifa hilo limepata uhuru kutoka kwa wadachi mwaka 1994 Afrika kusini ni nchi ya pili inayoongoza kiuchumi barani Afrika na inashika nafasi ya 34 kiuchumi duniani, Taifa la Afrika Kusini linamchanganyiko wa watu...

Like
354
0
Tuesday, 20 January 2015
AFCON: MOUSSA SOW AIINUA SENEGAL
Slider

Mshambuliaji wa Senegal Moussa Sow jana aliinua timu yake baada ya kufunga bao la muda wa lala salama hivyo kuifanya Senegal kuibuka na ushindi dhidi ya Black stars ya Ghana   Bao hilo lilipatikana mnamo dakika ya 90 na kuipa Senegal alama zote tatu Mchezaji wa Ghana Andrew Ayew alifunga mkwaju wa Penalti baada ya kiungo wa kati wa Everton Christian Atsu kuangushwa katika eneo la hatari. Lakini Senegal ilijitahidi na kupiga chuma cha goli la Ghana kupitia mchezaji Kara...

Like
394
0
Tuesday, 20 January 2015
ZAMBIA KUPIGA KURA LEO
Global News

HATIMAYE leo wananchi wa Zambia wanapiga kura kuchagua Rais wa nchi hiyo, kufuatia kifo cha Rais wa nchi hiyo Michael Sata Oktoba mwaka jana. Chama tawala cha PF kinauhakika wa kushinda katika uchaguzi huo licha ya kukabiliwa na upinzani mkali kutoka upinzani. Waangalizi wa kikanda katika uchaguzi huo, wanasema wameridhishwa na maandalizi ya zoezi zima la upigaji kura.Uchaguzi huo unatarajiwa kuwa na upinzani mkali kati ya Edgar Lungu anayegombea nafasi hiyo kupitia chama tawala na mpinzani wake HAKAINDE Hichilema kutoka...

Like
263
0
Tuesday, 20 January 2015