Slider

TOP 3 YA MASTAR WA BONGO WENYE FOLLOWERS WENGI INSTAGRAM
Entertanment

instagram ni miongoni mwa mitandao ya kijamii inayokuwa kwa kasi kote duniani kwa sasa, kwa hapa kwetu Tanzania wasanii na watu maarufu ni miongozni mwa watu wenye ushawishi mkubwa katika jamii, sasa kama unafuatilia mitandao hiyo kiundani hii ni top 3 ya wasanii wenye followers wengi hapa Bongo namba moja 1.. inakamatwa na Diamond wakati namba mbili inashikiliwa na wema Sepetu huku namba tatu ikiwakilishwa na...

Like
1249
0
Thursday, 15 January 2015
MAGAIDI KUCHUKULIWA HATUA UFARANSA
Global News

SERIKALI ya Ufaransa imewataka waendesha mashtaka kuchukua hatua thabiti dhidi ya Watu waliotekeleza vitendo vya kigaidi.Waziri wa Sheria nchini humo,Christiane Taubira amesema maneno au vitendo vya chuki dhidi ya mwingine vinavyotolewa kwa sababu ya imani ya dini vikomeshwe. Zaidi ya Kesi 50 zimefunguliwa dhidi ya Watu wanaotuhumiwa kuhusika na shambulio la kigaidi wiki iliyopita na kusababisha watu 17 kupoteza maisha. Wakati hayo yakijiri,kumekuwa na mapokeo hasi kwa Waumini wa kiislamu baada ya kuchapishwa kwa Jarida lenye kibonzo...

Like
270
0
Thursday, 15 January 2015
WATUHUMIWA WA UNYANG’ANYI KWA KUTUMIA SILAHA WAFIKISHWA MAHAKAMANI
Local News

                                               JUMANNE JULIUS mwenye umri wa miaka 21 na JAFARI DIOMBA mwenye umri wa miaka 20 wakazi wa jijini Dar es salaam wamefikishwa katika mahakama ya wilaya ya kinondoni jana kwakosa la unyanganyi kwa kutumia silaha. Wakisomea shitaka hilo mbele ya hakimu IZ-HAQ KUPPA na mwendesha mashitaka MAGOMA MTANI amesema kuwa washitakiwa hao walitenda kosa hilo Novemba 16 mwaka jana maeneo ya mbezi beach wilaya ya kinondoni. Mtani amebainisha kuwa washitakiwa hao kabla...

Like
262
0
Thursday, 15 January 2015
MIZENGO PINDA AZINDUA RASMI MKUTANO WA KIBIASHARA WA NCHI YA OMAN
Local News

WAZIRI MKUU Mheshimiwa MIZENGO PINDA anazindua rasmi mkutano wa kibiashara wa Nchi ya Omani wenye lengo la kupanua wigo wa kibiashara na kuimarisha utafutaji wa masoko na uwekezaji leo, Jijini Dar esa salaam. Akizungumza na Waandishi wa habari Jijini Dar es Salaam Mwenyekiti wa Omani nchini Tanzania katika Sekta ya viwanda na biashara SAEED KIYUMI amesema kuwa mkutano huo utahudhuriwa na nchi Sita na Wataalamu wa masuala ya Biashara ambao watatoa mafunzo ya Kibiashara kwa wafanyabiashara wote nchini na Oman....

Like
368
0
Thursday, 15 January 2015
RAIS MPYA WA MSUMBIJI KUAPISHWA LEO
Local News

  RAIS JAKAYA KIKWETE na mke wake Mama SALMA KIKWETE leo wanaungana na Viongozi wengine kutoka nchi mbalimbali wanaohudhuria sherehe za kuapishwa kwa Rais Mpya wa Msumbiji FILIPE NYUSI mjini Maputo Msumbiji. Bwana NYUSI anachukua hatamu za uongozi kutoka kwa Rais anayemaliza muda wake ARMANDO EMILIO...

Like
348
0
Thursday, 15 January 2015
PAMBANO LA FLOYD MAYWEATHER V MANNY PACQUIAO LINAKARIBIA
Slider

Lile pambano la uzito wa juu lililokuwa likisubiliwa kwa hamu kati ya bondia anaesifika kwa kutopigika raia wa Marekani Floyd Mayweather na bondia mfilipino Pacquiao lipo kwenye hatua za mwisho za maandalizi. Pacquiao ambae anashikilia mkanda wa dunia wa WBO wakati Mayweather anashikilia mkanda wa WBC na WBA Pambano hili linasubiriwa kwa hamu saana maana hawa mabondia wawili wanatajwa kuwa mabondia bora katika kipindi hiki ila hawajawahi kukutana kwenye ulingo...

Like
315
0
Thursday, 15 January 2015
GENOVEVA ANONMA: NILILAZIMIKA KUVUA NGUO KUTHIBITISHA KUWA MIMI NI MWANAMKE
Slider

  Richa ya kutukanwa na kudharaulika zaidi kupitia nyakati ngumu mpaka kwenye maisha ya Familia yake mchezaji huyu hakukatishwa tamaaa katika kuifikia ndoto yake. Nyota yake ilianza kung’aa pale alipoitumikia Equatorial Guinea mnamo mwaka 2008 katika michuano ya kombe la mabingwa Afrika wanawake Alipokuwa Mfungaji wa bao la ushindi katika ardhi ya nyumbani na kuifanya timu yake kua ya kwanza kwa kuipiku Nigeria Hapa ndipo changamoto zilizidi kwa Anonma kutokana na uwezo wake mkubwa kiuchezaji pamoja nguvu hii ilipelekea timu...

Like
361
0
Thursday, 15 January 2015
KAMANDA MKUU WA LRA ALIEJISALIMISHA AKABIDHIWA KWA WANAJESHI WA UGANDA
Global News

 KAMANDA MKUU wa kundi la waasi la LRA nchini Uganda, aliyejisalimisha wiki jana, Dominic Ongwen , amekabidhiwa kwa wanajeshi wa Uganda walio katika Jamuhuri ya Afrika ya kati. Muasi huyo, Dominic Ongwen, anasemekana kuwa Naibu kiongozi wa kundi hilo Joseph Kony na alikamatwa na wanajeshi wa Marekani wiki jana ingawa waasi wa Seleka wanasema wao ndio waliomkamata. Waasi hao wanasema kwamba walimkatama Ongwen baada ya makabiliano ya muda ingawa jeshi la Marekani lilisitiza kuwa alijisalimisha na tangu hao wamekuwa...

Like
296
0
Wednesday, 14 January 2015
CHAMA CHA WALEMAVU W NGOZI KIMESIFU MAAMUZI YA SERIKALI JUU YA WAGANGA WA KIENYEJI
Local News

CHAMA cha maalbino nchini  kimesifu uamuzi wa serikali wa kuwapiga marufuku waganga wa kienyeji wanaosababisha ongezeko la mauaji ya watu hao wenye ulemavu wa Ngozi nchini- Albino. Serikali ya Tanzania imeunda kikosi maalumu kwa ajili ya kupambana na vitendo vya ukatili wanaofanyiwa watu wenye ulemavu wa ngozi. Waziri wa mambo ya ndani, nchini , Mathias Chikawe amesema kwamba msako wa kitaifa utaanza hivi karibuni kuwakamata waganga hao na kuwafikisha mahakamani ikiwa wataendelea na kazi zao. Watu wenye ulemavu wa ngozi,...

Like
375
0
Wednesday, 14 January 2015
NJIA KUU YA RELI INAYOUNGANISHA TANZANIA NA ZAMBIA YAFUNGWA
Local News

Njia kuu ya reli inayoiunganisha Zambia na Tanzania imefungwa, baada ya wafanyakazi wake kugoma wakidai malimbikizo ya mishahara ya miezi mitano ya nyuma. Kampuni inayosimamia njia TAZARA, ambayo anamilikiwa na Serikali ya Tanzania na Zambia, na imekuwa ikikabiliwa na uhaba wa fedha kwa zaidi ya Muongo mmoja, treni zote zimesimamishwa kwa muda usiojulikana kuanzia January 12 mwaka huu....

Like
346
0
Wednesday, 14 January 2015
CCM YAFANYA KIKAO ZANZIBAR LEO
Local News

JANUARY 13 MWAKA huu Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa chini ya uongozi wa Mwenyekiti wake wa Taifa  Rais JAKAYA MRISHO KIKWETE imefanya kikao chake cha kawaida cha siku moja Kisiwandui Mjini Zanzibar. Pamoja na mambo mengine baadhi ya mambo yaliyojadiliwa na Kamati Kuu ni pamoja na, Sakata la Akaunti ya tegeta Escrow, Waliopewa  adhabu kwa kukiuka maadili ya chama, Soko la Mahindi na Ratiba ya vikao vya...

Like
303
0
Wednesday, 14 January 2015