Slider

NICK CANNON AWATAJA POPCAAN NA  DEMARCO KAMA WASANII KUTOKA JAMAICA ANAOWAPENDA NA KUSIKILIZA SANA NYIMBO ZAO
Entertanment

Cannon ambae ni actor, rapper na record producer kutoka nchini Marekani kwa sasa yupo nchini Jamaica kwa ajili ya project yake na Kreesha Turner msanii mwenye asili ya Jamaica alikuwa chini ya label yake ya Ncredible Records mschana huyo akiwa ni mjamaica wa kwanza kuwa chini ya label hiyo Kreesha Turner yupo Jamaica na meneja wake kwa dhumuni la kuutangaza muziki wake wa dancehall uweze kupenya ndani ya Jamaica ambapo kwenye interview ambayo nick cannon aliifanya na Jamaica Observer aliulizwa...

Like
621
0
Tuesday, 16 December 2014
ZARI VS HUDDAH WATAMBA NA MIKOKO YA KUFUNGA MWAKA
Entertanment

  Zari the boss lady kwa sasa amerejea nchini Uganda tayari kujiaandaa na show yake ya all white party ikiwa ni siku wiki chache toka kuvuja kwa mkanda wake wa ngono kwenye mitandao ya kijamii kupelekea kuandamwa na matusi kutoka kwa mashabiki na skendo kadhaa za kuwa na mahusiano na Diamond. Zari amerejea Kampala na mkoko mpya ambao ni convertible Mercedes Benzi yenye uwezo wa kujibadili Inasemekana pia huenda gari hilo limetoka kwa aliekuwa mumewe Ivan Lakini diva wa Kenya...

Like
662
0
Tuesday, 16 December 2014
TAMISEMI YAZITAKA TAARIFA ZA VURUGU KATIKA CHAGUZI ZA SELIKARI ZA MITAA ZIWASILISHWE
Local News

WAZIRI WA NCHI Ofisi ya Waziri Mkuu- TAMISEMI- Mheshimiwa HAWA GHASIA ameitaka mikoa ambayo vurugu zimejitokeza wakati wa uchaguzi wa serikali za mitaa kuwasilisha taarifa za matukio hayo ili maamuzi sahihi yafanyike kwa wahusika ikiwemo kuwafukuza kazi. Mheshimiwa GHASIA ametoa agizo hilo leo jijini Dar es salaam wakati akizungumza na waandishi wa habari juu ya taarifa za awali kuhusu uchaguzi huo katika ngazi ya mitaa, vijiji na vitongoji uliofanyika jana disemba 14 mwaka huu nchini. Aidha katika taarifa hiyo ameitaja...

Like
404
0
Monday, 15 December 2014
129 WAFARIKI DUNIA BAADA YA KIVUKO KUZAMA CONGO
Global News

MIILI ya watu wapatao 129 imepatikana kutoka Ziwa Tanganyika nchini Jamhuri ya Kidemokrasi ya Congo, baada ya feri kupinduka na kuzama mapema siku ya Ijumaa. Waziri wa Uchukuzi nchini humo Laurent Sumba Kahozi amesema bado zoezi la kuwatafuta watu waliopotea katika ajali hiyo linaendelea. Maafisa katika jimbo la Katanga wamesema upepo mkali na kujaza abiria na mizigo kupita kiasi kumesababisha boti ya MV Mutambala, kupinduka.Wanawake na watoto ni miongoni mwa watu waliokumbwa na ajali hiyo ambayo ilitokea mapema Ijumaa asubuhi....

Like
312
0
Monday, 15 December 2014
WATANZANIA WATAKIWA KUWATUMIA WATAALAMU WA UBUNIFU MAJENGO NA UKADIRIAJI
Local News

WATANZANIA wametakiwa kuwatumia wataalamu wa ubunifu majengo na ukadiriaji majenzi katika ujenzi ili kuepusha uwepo wa majengo yalio chini ya kiwango yanayoweza kuhatarisha maisha ya watu na mali zao. Hayo yamebainishwa leo jijini Dar es salaam na Msajili wa Bodi ya Wabunifu Majengo na Wakadiriaji Majenzi JEHAD JEHAD alipozungumza katika mkutano wa wadau wa taaluma na bodi hiyo ambapo amesema Watanzania wengi wamekuwa wakijenga kiholela kwa kuhofia gharama bila kujali kuwa ujenzi huo unagharama zaidi endapo jengo litadondoka. Aidha JEHAD...

Like
363
0
Monday, 15 December 2014
WAKAZI WA BANANA WAMO HATARINI KUKUMBWA NA MAGONJWA YA MLIPUKO
Local News

WAKAZI  na  wafanyabiashara  wa  eneo  la banana  jijini Dar es Salaam  wameiomba halmashauri ya  manispaa  ya Ilala  kuondoa  dampo  la taka  ambalo  siyo rasmi ambazo  zinatupwa  kandokando  ya  barabara ili  kuweza kuzuia  magonjwa  ya  mlipuko. Takataka  hizo  ambazo  zimewekwa  katika  eneo  ambalo siyo rasmi  zimekaa  kwa  muda  mrefu bila  kuondolewa  hali  inayosababisha eneo  hilo  kuwa  na harufu  mbaya  kwa  wakazi  hao. Hayo  yamesemwa  leo  jijini Dar es Salaam  na  baadhi  ya...

Like
364
0
Monday, 15 December 2014
WANAHARAKATI KUHOFIA SHERIA ZA USALAMA KENYA
Global News

MAKUNDI YA KUTETEA Haki za Binaadamu yamesema kuwa Mapendekezo ya Serikali ya Kenya, kuimarisha Sheria za Usalama yanahatarisha nchi hiyo kuwa Dola inayotawaliwa na polisi. Kwa mujibu wa taarifa ya pamoja ya mashirika ya kutetea haki za binaadamu ya Kimataifa, HUMAN RIGHTS WATCH na AMNESTY International, iwapo marekebisho ya sheria za usalama yanayopendekezwa yatapitishwa, yatazibana haki za watu waliokamatwa na watuhumiwa na kudhibiti Uhuru wa kujieleza na kukusanyika. Mapendekezo hayo ambayo huenda yakapitishwa na wabunge wa Kenya kabla ya...

Like
255
0
Monday, 15 December 2014
ISRAEL YAGOMA KUTOKA JERUSALEM
Global News

WAZIRI MKUU wa Israel BENJAMIN NETANYAHU amekataa kuwa na mazungumzo juu ya kujiondoa kwa Israel mjini Jerusalem na katika Ukingo wa Magharibi kwa kipindi kisichozidi miaka miwili. Bwana NETANYAHU ametoa kauli hiyo kabla ya kukutana na Mwanadiplomasia mkuu wa Marekani JOHN KERRY hii leo. Israel imeteka maeneo ya Jerusalem, Gaza na Ukingo wa Magharibi wakati wa Vita vya Siku Sita mwaka wa 1967 na kujiondoa mjini Gaza mwaka wa 2005. Bwana NETANYAHU amebainisha kuwa kujiondoa katika maneno hayo kwa sasa...

Like
309
0
Monday, 15 December 2014
CHAGUZI SERIKALI ZA MITAA ZANGIA DOSARI
Local News

UCHAGUZI wa Serikali za Mitaa katika sehemu kubwa nchini umeshindwa kufanyika kwa sababu mbalimbali,zikiwemo za kutofikishwa kwa Vifaa vya kupigia kura Vituoni. Wakati maeneo mengine uchaguzi huo licha ya kufanyika ,umetawaliwa na Vurugu ambazo baadhi ya vurugu hizo zimetokana na utaratibu mbovu uliopo katika kituo husika. Pamoja na hayo Wananchi walio wengi wameilalamikia Serikali kwa kushindwa kuweka utaratibu mzuri wa kupiga kura hivyo wananchi wanaamini kutakuwa na hujma ndani...

Like
318
0
Monday, 15 December 2014
KAULI YA KIKWETE KUVUNJA UKIMYA ESCROW
Local News

 MUDA wowote kuanzia leo Rais JAKAYA KIKWETE atatoa na kutangaza uamuzi wake kuhusiana na baadhi ya Watendaji wakiwemo Mawaziri kuhusishwa katika kashfa ya Akaunti ya Tegeta ESCROW. Wiki iliyopita Rais KIKWETE alipokea na kuanza kuipitia Ripoti,Nyaraka na Ushauri uliotolewa katika maazimio ya Bunge kuhusu Akaunti ya Tegeta ESCROW. Rais KIKWETE ambaye ameanza kazi rasmi Desember 8 mwaka huu, baada ya mapumziko kutokana na upasuaji aliofanyiwa mwezi uliopita amesema atatoa uamuzi wake ndani ya wiki hii....

Like
358
0
Monday, 15 December 2014
BIRDMAN KUMFIKISHA LIL WAYNE MAHAKAMANI!!!
Entertanment

  Birdman amekataa kumuacha Lil Wayne atoke kwenye recording label yake ya Cash Money music richa ya maneno yote yanayosemwa na Lil Wayne kutokuwa mazuri kwa bosi huyo. Birdman amekasirishwa saana na maneno ya Lil Wayne ambae amedai anapoteza kipaji chake kwa kuchelewa kutoa albam mpya sokoni hali iliyompelekea weezy kuanza kutupa vijembe mitandao kwa kutweet maneno haya “I want off this label and nothing to do with these people.” Birdman ameapa kumfikisha Lil Wayne mahakamani iwapo atakwenda kinyume na...

Like
329
0
Monday, 15 December 2014