Slider

NGOMA REGGAE BASHMENT KUZINDULIWA KESHO MAISHA CLUB
Entertanment

Tamasha la muziki wa reggae, Ngoma reggae bashment nchini ambalo chimbuko lake ni kipindi cha reggae kinachoruka hapa hapa EFM kila jumamosi. Tamasha hilo litazinduliwa siku ya kesho tarehe 13 november pale maisha club kwa kuwakutanisha wadau mbalimbali wa muziki wa reggae...

Like
521
0
Wednesday, 12 November 2014
CHINA, MAREKANI WATOA MALENGO MAPYA YA TABIA YA NCHI
Global News

Rais wa Marekani BARACK OBAMA na   Rais wa China XI JINPING leo wametangaza malengo mapya ya Mabadiliko ya Tabia nchi mwishoni mwa mazungumzo yao ya siku mbili mjini Beijing. XI amesema utoaji wa China wa Gesi zisizochafua mazingira utaongezeka ifikapo mwaka 2030, ambapo vyanzo vya nishati ambayo sio mafuta ikiwa ni asilimia 20 ya Nishati itakayotumika wakati huo. Rais wa China hakuweka lengo la viwango vya utoaji gesi ama upunguzaji, lakini ni mara ya kwanza kwa China , ambayo inategemea...

Like
334
0
Wednesday, 12 November 2014
PAPA FRANCIS AITAKA G20 KUWAFIKIRIA WATU MASIKINI DUNIANI
Global News

PAPA Mtakatifu FRANCIS ametaka viongozi Duniani wanaoshiriki Mkutano wa G20 mjini Brisbane kuwafikiria watu Masikini Ulimwenguni. Amewataka Viongozi hao kupata ufumbuzi wa kuimarisha hali ya maisha ya watu walio masikini. Viongozi wa nchi 20 zilizo na uchumi mkubwa wanakutana Brisbane nchini Australia mwishoni mwa juma hili kujadili maswala mbalimbali yahusuyo...

Like
332
0
Wednesday, 12 November 2014
JESHI LA ZIMA MOTO LAAJIRI WAFANYAKAZI 400
Local News

Katika kupambana na tatizo la upungufu wa Wafanyakazi unaolikabili Jeshi la Zima Moto na Uokoaji nchini, Serikali imeajiri zaidi ya Wafanyakazi 400 wanaotarajia kumaliza kozi Maalum ya Jeshi na kusambazwa vituoni Novemba 14. Akizungumza na EFM leo ofisini kwake Kamishna Msaidizi wa Jeshi hilo upande wa Elimu kwa Umma MIRAJI KILLO amesema jeshi limekuwa na changamoto nyingi zinazolifanya lishindwe kufanya kazi kwa ufanisi ikiwemo changamoto ya wafanyakazi ambayo Serikali imeanza kuifanyia kazi kwa kuajiri wafanyakazi...

Like
386
0
Wednesday, 12 November 2014
WIZARA YA AFYA YAWATAKA WAANDISHI WA HABARI KUSHIRIKIANA NA WIZARA HIYO
Local News

 WIZARA ya afya na Ustawi wa Jamii imewataka Waandishi wa Habari kushirikiana na Wizara hiyo katika kutoa taarifa sahihi ili kuzuia madhara yanayoweza kujitokeza kwa wananchi kutokana na taarifa zisizo sahihi. Wito huo umetolewa leo Bungeni mjini Dodoma na Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii Dokta SEIF RASHID wakati akifafanua Muongozo kutoka kwa Mheshimiwa EZEKIA WENJE wa kutaka kujua Mikakati ya Serikali juu ya taarifa mbalimbali za Wizara hiyo zinazotolewa na kuandikwa katika vyombo vya...

Like
294
0
Wednesday, 12 November 2014
MKANDA WA NGONO WA USHER RAYMOND WAUZWA KWA SIRI
Entertanment

Mkanda wa ngono wa msanii Ushermwa Raymond umeanza kuuzwa kwa siri na mtu asiefahamika kitendo ambacho kitamuweka katika wakati mgumu mtu huyo iwapo atagundulika ikiwemo kutumikia kifungo jela kwa kuiba na kuuza mkanda huo ambao ni mali ya Usher Raymond   Mwaka 2010 kuna mtu alivunja gari la Usher huko ATL nakuiba laptop mbili, video camera mbili na mali nyingine zilizokuwemo Baada ya miaka michache kupita sasa mkanda huo ulimshirikisha Usher na mkewe Tameka uliokuwa kwenye moja ya laptop umeanza...

Like
762
0
Wednesday, 12 November 2014
SIERRA LEONE KULIPA FIDIA KWA WAHANGA WA EBOLA
Global News

SERIKALI ya Sierra Leone imesema italipa dola elfu tano za kimarekani kama fidia kwa familia ya kila mfanyakazi wa afya ambaye amefariki baada ya kuambukizwa Ebola wakati akihudumia wagonjwa wa Ebola. Kituo cha taifa cha kupambana na Ebola nchini humo kimesema fidia hiyo ya mara moja pia itatolewa kwa ndugu wa wafanyakazi wa afya zaidi mia moja ambao wamekufa kwa ugonjwa huo hapo awali. Virusi vya ugonjwa huo vimekuwa vikisambaa kwa kasi nchini Sierra Leone ambapo katika muda wa siku...

Like
365
0
Wednesday, 12 November 2014
WANAHARAKATI WACHINJWA DERNA
Global News

WANAHARAKATI watatu wa kisiasa nchini Libya wameuawa kwa kuchinjwa baada ya kuandika katika mitandao ya kijamii juu ya maisha chini ya utawala wa dola ya kiislam. Miili yao ilipatikana mapema wiki hii mashariki mwa mji wa Derna karibu na Benghazi. Tukio hilo lilianzia kwa wanaharakati hao kutekwa mapema mwezi huu. Mji huo wa Derna uko chini ya mamlaka ya kikundi cha dola ya kiislam tangu mwaka 2012 ambacho kimekiri kuwa sehemu ya kundi la IS. Mnamo mwezi August mwaka huu...

Like
356
0
Wednesday, 12 November 2014
WAJASILIAMALI WAHAMASISHWA KUKOPA KUJIWEZESHA
Local News

WAJASIRIAMALI wa vikundi vya Silki nchini,wametakiwa kukopa fedha na kurejesha kwa wakati ili kuwawezesha wengine kukopa.   Naibu Meya wa Manispaa ya Morogoro MOHAMED LEKULE ameeleza hayo wakati wa kugawa hisa katika vikundi vya Pambazuko na Dhahabu, vilivyo chini ya Silki mjini humo.   Amebainisha kuwa ni vyema Wanachama wa Vikundi hivyo wakawa na utaratibu wa kukopa fedha kwa ajili kuendesha miradi mbalimbali na kuwataka kurejesha mikopo hiyo kwa wakati ili kuwawezesha wanachama wengine kukopa....

Like
323
0
Wednesday, 12 November 2014
MUHONGO KUWA MGENI RASMI MKUTANO WA SERA ZA KUKUZA MITAJI
Local News

 WAZIRI wa Nishati na Madini Profesa SOSPETER MUHONGO anatarajiwa kuwa mgeni rasmi katika mkutano utakaozikutanisha kampuni na mashirika ya Umma,yanayojihusisha na Nishati kwa lengo la kupitia sera na kukuza mitaji. Profesa MUHONGO pia anatarajiwa kuzihamasisha kampuni zenye nia ya kuwekeza katika uzalishaji wa Nishati ya Umeme kwa lengo la kuongeza ufanisi wa upatikanaji wa Umeme nchini. Mkutano huo unatarajiwa kufanyika November 31,mwaka huu jijini Dar es salaam ,utawakutanisha Wawekezaji kutoka nchi za India, Marekani,China na Bara la...

Like
292
0
Wednesday, 12 November 2014
WANAOMUIGA VYBZ KARTEL WAANDAMWA MITAONI
Entertanment

Richa ya kuwa gerezani lakini Vybz Kartel bado Ameendelea kumake head lines kwenye tasnia ya dancehall, Jina la nyota huyo wa muziki wa dancehall limekuwa likitajwa siku hadi siku kufuatia watu mbalimbali na mastar ambao ni wadau wa dancehall kutengeneza muonekano kama wa Vybz kartel Gage amekuwa ni dj mpya kutengeneza muonekano wake kuwa kama wa vibz kartel hivi karibuni Gage ameandamwa vya kutosha na mashabiki kupitia mitandao ya kijamii mara baada kuanza kuapload picha zake akiwa na muonekano wa...

Like
693
0
Wednesday, 12 November 2014