Slider

CHELSEA NA LIVERPOOL ZATINGA ROBO FAINALI ENGLAND
Slider

Chelsea na Liverpool zatinga katika hatua ya robo fainali ya kombe la ligi nchini England kwa ushindi wa magoli 2-1 kila mmoja. Chelsea bila ya mshambuliaji wao tegemezi msimu huu, Diego Costa ilibidi wamgeukie Didier Drogba aliyefunga goli la kwanza katika mchezo huo likiwa ni goli lake la tatu katika michezo mitatu iliyopita ndani ya uzi wa The Blues. Mnamo dakika ya 77 klabu ya Shrewsbury ilifanikiwa kusawazishakabla ya beki wa klabu hiyo Grandison kujifunga katika daika ya 81. Wakati...

Like
400
0
Wednesday, 29 October 2014
URUSI YAZINDUA NEMBO YA KOMBE LA DUNIA 2018 KWENYE CHOMBO CHA ANGA
Slider

Kuelekea michuano ya kombe la dunia mwaka 2018, Taifa la Urusi lazinduwa rasmi nembo itakayotumika katika michuano hiyo mikubwa ya mpira wa miguu iliyo chini ya FIFA. Nembo hiyo ilizinduliwa katika chombo cha uchunguzi wa kisanyasi wa anga na baadaye kuonyeshwa katika jiji la Moscow. Urusi ilipata haki ya kuandaa michuano hiyo ya kombe la dunia kwa mara ya kwanza kwa kuzipiku nchi kama England, Spain-Ureno na Uholanzi-Ubelgiji mwaka 2010. Shirikisho la soka duniani (FIFA) ilijikuta katika kashfa nzito kwa...

Like
542
0
Wednesday, 29 October 2014
JESHI LA POLISI LAWATAKA WANANCHI DAR KUTOSAFIRISHA FEDHA KIHOLELA
Local News

JESHI la Polisi kanda Maalum Dar es salaam limewataka wananchi, Taasisi na wafanyabiashara kuacha tabia ya kusafirisha fedha kiholela katika maeneo mbalimbali ya jiji la Dar es salaam ili kuepu matatizo ya kuporwa fedha ikiwa ni pamoja na kuhatarisha maisha yao.   Akizungumza na Waandishi wa Habari Kamishna wa Polisi Kanda Maalum Dar es salaam SULEIMAN KOVA amesema hali hiyo inatokana na kuongezeka kwa matukio mbalimbali ya uporaji wa fedha.     Katika hatua nyingine Kamishna Kova amewataka wananchi kuwa...

Like
277
0
Wednesday, 29 October 2014
THRDC YAKUTANA NA JESHI LA POLISI NA KUWEKA MIKAKATI KUELEKEA UCHAGUZI MKUU
Local News

Katika kuelekea kipindi cha Uchaguzi Mkuu wa mwakani Taasisi ya kutetea haki za binadamu nchini,THRDC wamekutana na Jeshi la Polisi kwa lengo la kutengeneza na kuboresha Mikakati madhubuti ya kufanikisha Uchaguzi huo kuwa wa Huru, Haki na Utulivu.   Akizungumza na Waandishi wa Habari katika Mkutano huo jijini Dar es salaam,Makamu Mkuu wa Jeshi la polisi ABRAHAM KANIKI amesema watahakikisha wanashirikiana vyema na wadau hao ili kuhakikisha madhara hayatokei kwa...

Like
327
0
Tuesday, 28 October 2014
EBOLA: CUBA YATOA MADAKTARI 75 NA WAUGUZI KUMI
Local News

Nchi ya Cuba imejitolea Madaktari 75 na wauguzi 10 kwenda kusaidia nchi zilizoathirika na maradhi ya ugonjwa wa Ebola Afrika. Akizungumza na Waandishi wa Habari Jijini Dar es salaam Balozi wa Cuba nchini Tanzania GEORGE LOPEZ amesema katika kukuza Umoja na Ushirikiano kati ya nchi ya Cuba na Afrika,wameamua kujitolea madaktari hao kusaidia kutoa hudumaza Matibabu katika nchi za Sierion,Liberia. Balozi LOPEZ amesema nchi yake itazidi kuisadia Afrika hasa katika sekta ya afya na elimu....

Like
319
0
Tuesday, 28 October 2014
PICHA: JUMBA LA KIFAHARI ALILONUNUA INI EDO
Entertanment

Muigizaji kutoka Nigeria INI EDO ambae hivi karibuni alimake headlines za vyombo mbalimbali vya habari mara baada ya mahusiano yake na bilionea mfanya biashara Philip Ehiangwina kuvunjika na kurudisha mahali, Hatimae Ini Edo ameudhihirishia uma kuwa hajayumba kimaisha. muigizaji huyo mwenye mvuto alianza rasmi kujihusisha na uigizaji mwaka 2000 na kuweza kuonekana kwenye zaidi ya filam 50. Kwa mujibu wa jarida la E247Mag limesema muigizaji huyo ambae pia ni muhitimu wa chuo kikuu ch aCalabar huko Nigeria amenunu mjengo huo kwa...

Like
781
0
Tuesday, 28 October 2014
MAREKANI YARUHUSU WATOTO KWENDA CLUB !!!
Entertanment

Kilabu ya watoto walio kati ya umri wa miaka 6 na 12 ilifunguliwa rasmi katika mji wa New York wilaya ya meatpacking nchini Marekani. Mgahawa huo unaomilikiwa na kampuni ya Cirkiz utakuwa ukifunguliwa mara moja kila mwezi kuwapa watoto fursa ya kujivinjari mbali na vifaa vya kiteknolojia vilivyomo majumbani mwao. Laura lampart aliyekuwa ameandamana na mwanawe alisema kuwa kilabu hiyo ina manufaa kwani watoto walijihisi kama watu wazima na hakukuwa na tatizo la kuhofia usalama kwani Mgahawa wenyewe unafunguliwa wakati...

Like
291
0
Tuesday, 28 October 2014
EBOLA: MAAFISA WA AFYA MAREKANI WATOA MWONGOZO MPYA
Global News

Maafisa wa afya wa Marekani wametoa mwongozo mpya juu ya kuwashughulikia matabibu wanaorudi Marekani baada ya kuwahudumia wagonjwa wa Ebola Afrika Magharibi. Mwongozo huo unapendekeza kuwa wanaoshukiwa kuwa katika hatari ya kuwaambukiza wengine watazuiliwa nyumbani kwao; ingawa majimbo tofauti yatakuwa na uhuru wa kutoa mwongozo thabiti zaidi. Katibu mkuu wa umoja wa mataifa amepinga hatua hizo za kuwaweka karantini walioathirika.                     Mlipuko wa ugonjwa wa ebola afrika magharibi...

Like
347
0
Tuesday, 28 October 2014
HII NDIO ZAWADI YA 2FACE KUSHEREHEKEA MIAKA KUMI YA MUZIKI WAKE
Entertanment

Msanii kutoka pande za Nigeria ambae alipata umaarufu mkubwa Afrika na Dunia kwa ujumla baada ya kuachia wimbo wake wa African Queen na kufanya vizuri kwenye chati za redio na tv kwa kipindi hicho. Lakini huo haukuwa wimbo wa kwanza wa msanii huyo, mashabiki wa Muziki wa Nigeria wanautambua wimbo wa Nfana Ibaga alioufanya miaka kumi iliyopita na kufanya vizuri kwenye tasnia ya muziki wa Nigeria wimbo huo una bahati ya kudumu kwenye masikio ya mashabiki wa 2face. Kufuatia hali hiyo...

Like
428
0
Tuesday, 28 October 2014
WIZ KID KUKAMATWA NA BANGI KENYA!!!!
Entertanment

Msanii kutoka Nigeria ambae amekuwa nnchini kwa kipindi kisichopungua wiki moja ambapo alikwenda kufnya show pamoja na kushiriki kwenye uaandaaji wa video mpya ya Victoria kimani katika wimbo alioshirikishwa. Taarifa kutoka kwenye chapisho la  Standard Digital  huko kenya limeeleza kuwa wiz kid alikamatwa katika hoteli ya Nairobi Crown Plaza mwishoni mwa wiki ambapo ndio hoteli aliyofikia. mtandao huo umeeleza ya kuwa mambo yalikwenda mbali zaidi baada ya wafanya kazi hao kutaka kumpeleka polisi msanii huyo kitendo ambacho kilipelekea...

Like
382
0
Tuesday, 28 October 2014
NAHODHA WA BAFANABAFANA AFARIKI DUNIA BAADA YA KUPIGWA RISASI
Slider

Nahodha ambaye pia ni golikipa wa timu ya soka ya taifa la Afrika kusini Senzo Meyiwa amefariki dunia baada ya kupigwa risasi. Jeshi la polisi la nchi hiyo limesema. Tukio hilo limeripotiwa kutokea katika nyumba ya mpenzi wake iliyopo katika mji wa Vosloorus kusini mwa Johannesburg. Mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 27 aliichezea klabu ya Orlando Pirates na alicheza mechi nne zilizopita za timu yake ya taifa katika mechi za kufuzu za fainali ya mataifa ya Afrika. Jumamosi alikuwepo...

Like
510
0
Monday, 27 October 2014