Slider

WAASI WA ADF WASHAMBULIA DRC
Global News

Jeshi la DRC linasema kuwa watu 26 wameuawa nchini humo katika shambulizi liliofanywa katika mji wa Beni Mashariki mwa nchi. Wengi, wa waliofariki walikuwa raia wakiwemo watoto. Shirika moja la kutetea haki za binadamu, linasema kuwa wapiganaji wa kundi la waasi la Uganda la ADF au Allied Democratic Forces , lilivamia mji huo nyakati za usiku. Kikosi cha Umoja wa Matifa kikishirikiana na wanjeshi wa DRC, kimekuwa kikijaribu kuwatimua waasi hao wa ADF kutoka nchini DRC tangu mwanzoni mwa mwaka...

Like
479
0
Thursday, 16 October 2014
ZE COMEDY WAKABIDHIWA NYUMBA ZENYE THAMANI YA SH MILIONI 840
Entertanment

Kundi la ze Comedy linaloundwa na wasanii kutoka hapahapa Tanzania lenye kujihusisha na uchekeshaji limekabidhiwa nyumba 7 walizonunua kutoka NSSF. nyumba hizo kila moja imenunuliwa kwa thamani ya shilingi milioni mia moja na ishirini za kitanzania (120)  ambazo ni jumla ya shilingi milioni 840.    ...

Like
409
0
Thursday, 16 October 2014
T.I AMALIZA BIFU KATI YA SNOOP NA IGGY AZALEA
Entertanment

Hivi karibuni moja kati ya stori zilizokuwa zikichukua headlines kwenye mitandao na vyombo vya habari ni tukio la mtu mzima Snoop kupost picha ya mremavu wa ngozi kwenye ukurasa wake wa instagram na kuweka Caption ya maneno yasemayo  “Iggy Azalea no make up,” maneno ambayo yalimtibua Iggy Azalea na mashabiki zake kiasi cha kuwafanya waanze kumjibu vibaya Snoop. lakini kwa sasa hakutakuwa na tatizo tena mara baada ya wasanii hao kupatanishwa kufuatia simu ya meneja wa Iggy Azalea yani T.I...

Like
412
0
Thursday, 16 October 2014
HATIMAE THEO WALCOTT AREJEA UWANJANI BAADA MIEZI 9
Slider

Mshambuliaji nyota wa Arsenal Theo Walcott ambae alikaa nje kwa miezi tisa akiwa majeruhi, ameanza mazoezi rasmi akiwa na kikosi hicho chini ya Arsenal Wenger....

Like
468
0
Thursday, 16 October 2014
SHABIKI AMUOMBA NEYMAR AMUOE DADA YAKE
Slider

Shabiki amuomba Neymar amuoe dada yake baada ya mshambuliaji huyo  wa Brazil kupiga goli nne peke yake dhidi ya Japan. shabiki huyo amemuomba  striker  wa Barcelona amuoe dada yake  Amanda Recla, ambae ni model alieingia kwenye  15 bora  ya Miss Brazil. ingawa dada wa shbiki huyo Amanda amesema hana analofikiria juu ya uamuzi wa kaka yake Stephan, na kusema kuwa atamuua kufatia kitendo hicho Hata hivyo Stephan ameendelea na msimamo wake kwa kudai dada yake ametoa kauli hiyo tu lakini ukweli ni kwamba yupo...

Like
545
0
Thursday, 16 October 2014
TFF YAFANYA YAFANYA MAREKEBISHO YA MECHI LIGI DARAJA LA KWANZA
Slider

Shirikisho la mpira wa miguu Tanzania TFF, imefanya marekebisho ya mechi nne za kundi A za Ligi Daraja la kwanza ili kutoa fursa ya matumizi ya uwanja wa kumbukumbu ya Karume jijini Dar es salaam. Timu za African Lyon na Kimondo FC ambazo awali zilikuwa zicheze Octoba 25 kwenye uwanja wa mabatini mkoani Pwani sasa zitacheza Octoba 26 uwanja wa Karume, Dar es salaam. Nayo mechi ya Polisi Dar es salaam na majimaji ya Songea ilikuwa ichezwe Octoba 26 sasa...

Like
690
0
Thursday, 16 October 2014
MKUTANO WA CAPACITY AFRICA 2014 WAFANYIKA DAR
Local News

KAMPUNI mbalimbali za Mawasiliano Ulimwenguni zimekutana kwenye Mkutano wa CAPACITY AFRICA 2014 wakishirikiana na Tanzania kupitia Wizara ya Mawasiliano Sayansi na Teknolojia. Akizungumza katika mkutano huo Naibu waziri wa Mawasiliano sayansi na teknolojia, JANUARY MAKAMBA amesema lengo la mkutano huo ni  MAKAMBA…. Kwa upande wake mkuu wa masoko na mauzo wa kampuni ya simu Tanzania- TTCL, PETER NGOTA, amezungumzia pia mipango mbalimbali ya kampuni hiyo Wakifurahia fursa zilizojitokeza Wananchi walioudhuria mkutano huo walikuwa na haya ya...

Like
329
0
Thursday, 16 October 2014
FAMILIA YA ABOUD JUMBE IMESEMA HALI YA RAIS HUYO MSTAAFU SIO MBAYA KIAFYA
Local News

FAMILIA ya Rais mstaafu wa awamu ya pili wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar Aboud Jumbe Mwinyi imekanusha baadhi ya taarifa zilizoripoti na Vyombo vya habari nchini kuwa hali ya kiongozi huyo ni mbaya kutokana na kusumbuliwa na maradhi ya ugonjwa wa Moyo. Akizungumza na EFM kutoka Hospitali ya Taifa Muhimbili Mkurugenzi Idara ya Uvuvi Zanzibar, MUSA ABDULI JUMBE amesema kuwa BABA yake anasumbuliwa na tatizo la umri kuwa mkubwa. Amefafanua kuwa kwa sasa BABA yake anaendelea vizuri na si mgonjwa...

Like
564
0
Thursday, 16 October 2014
TAZAMA PICHA ZA UANDAAJI WA VIDEO MPYA YA BUSHOKE NCHINI S.AFRIKA
Entertanment

Msanii kutoka Tanzania ambae alikuwa kimya kwa muda mrefu na baadae kuachia kazi zake kadhaa, ameonyesha nia ya dhati kurudi kwenye tasnia ya muziki wa kizazi kipya yani Bongofleva. katioka wimbo huo bushoke amemshirikisha msanii kutoka Uganda FACEE OFF na ngoma yenyewe ameipa jina la SHE WANTS IT, na umeimbwa katika lugha tatu ambazo ni Kiswahili, Kiganda na Kingereza video inafanywa chini ya kampuni ya DIRTY SOUL huko Capetown South...

Like
639
0
Wednesday, 15 October 2014
MFANYAKAZI MWINGINE WA EBOLA AGUNDULIKA MAREKANI
Global News

Mgonjwa mwingine wa Ebola amegundulika huko marekani kwenye hospitali ya  jimbo la Texas ambapo kwa mara ya kwanza kisa cha kuwepo kwa ugonjwa huo kiliripotiwa baada ya Thomas Dancun raia wa Liberia kupatiwa matibabu katika hospitali hiyo. Baadae Thomas Dancun alifariki dunia oct 8 akiwa chini ya uangalizi wa wahudumu wa afya kwenye kituo cha Texas Presbyterian mgonjwa huyo ambae jina lake halikutajwa kuna uwezekano mkubwa alipata virusi hivyo wakati akimuhudumia Texas Presbyterian Kwa mujibu wa Daktari David Lakey ambaye ni kamishna wa...

Like
356
0
Wednesday, 15 October 2014
MSUMBIJI YAFANYA UCHAGUZI MKUU WA RAIS NA WABUNGE
Global News

Wapiga kura wanaelekea kwenye vituo vya kupigia kura nchini Musumbiji leo kumchagua rais mpya na wabunge kwenye uchaguzi wenye upinzani mkali tangu taifa hilo lipate uhuru mwaka 1975. Takriban watu 11 wamejiandikisha kupiga kura nchini humo wakiwemo wengine 90,00 wanaoishi mataifa ya kigeni.     Zaidi ya watu milioni 10 wamejiandikisha kupiga kura katika uchaguzi wa leo, ambao unaonekana kuwa wa kwanza kidemokrasia tangu nchi hiyo ilipojipatia uhuru wake kutoka kwa Wareno mwaka 1975. Chama tawala, cha Frelimo, ambacho kimekuwa...

Like
392
0
Wednesday, 15 October 2014