Slider

TOYOTA YAAGIZA MAGARI MILIONI MOJA YARUDISHWE KIWANDANI
Global News

Kampuni kubwa zaidi ya kuunda magari, Toyota, imeagiza kurejeshwa kwa magari milioni moja nukta saba kote duniani kutokana na hitilafu ya breki za magari hayo. Kampuni hiyo imesema hitilafu tatu zimetambulika kwenye breki katika miundo mbali mbali za magari ya Toyota ikiwemo muundo wa Lexus. Magari yaliyo ndani na nje ya Japan yote yameathiriwa na hitilafu hizo. Hata hivyo kampuni yenyewe imesema haina habari yoyote kuhusu ajali za magari au watu kujeruhiwa kutokana na hitilafu hizo. Wadadisi wanasema hili ni...

Like
610
0
Wednesday, 15 October 2014
BET YAZINDUA TAMTHILIA MPYA ILIYOPEWA JINA LA THE BOOK OF NEGROES
Entertanment

Black entertainment television (BET) imezindua tamthilia mpya ya The book of negroes  Cuba Gooding Jnr, amecheza kama star wa tamthilia hiyo ambayo ni stori kutoka kwenye kitabu kilichoandikwa na Lawrence Hill. Wakati Aminata Diallo amecheza kama msichana kutoka Afrika ya magharibi alieuzwa utumwani huko South Carolina na baadae kupambana kupitia mapinduzi ya bara la America kujipatia uhuru wake mwanzoni mwa karne ya kumi na tisa...

Like
648
0
Wednesday, 15 October 2014
WAKAZI WA KIMARA MICHUNGANI WAPO HATARINI KUKUMBWA NA MAGONJWA YA MLIPUKO
Local News

BAADHI ya wakazi wa eneo la Michungani Kimara Jijini Dar es salaam wapo hatarini kukumbwa na magonjwa ya mlipuko baada ya Mto unaopita karibu na nyumba zao kutiririshwa maji machafu ambayo yamechanganyika na harufu kali inayotoka machinjio ya Kimara katika eneo hilo. Wakizungumza na EFM wakazi hao wamesema kuwa kutokana na hali hiyo wanalazimika kuwafungia ndani watoto wao ili kuwaepusha na madhara mbalimbali ya ki afya Wanananchi…Kimara Hata hivyo kituo hiki kilizungumza na Uongozi wa Serikali ya Mtaa wa Makaroni...

Like
414
0
Wednesday, 15 October 2014
JAMII IMETAKIWA KUACHANA NA DHANA POTOFU KWENYE MASUALA YA AFYA ZA WATOTO
Local News

JAMII imetakiwa kuachana na dhana potofu ya kuwakata watoto Kimeo na badala yake wawapeleke hospital kuangalia afya zao. Hayo yamebainishwa na DR SALEHE NGOLE wakati akizungumza na E Fm jijini Dar es salaam na kusema kuwa ukataji wa kimeo kwa njia ya kienyeji ni kinyume kiafya hivyo kunaweza kumsababishia mgonjwa, madhara na badala yake wawapeleke hospital kwaajili ya matibabu zaidi…  ...

Like
589
0
Wednesday, 15 October 2014
CHADEMA YAKUTANA KUJADILI MAAZIMIO 11 YA KIKAO CHA PILI
Local News

KAMATI ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo-CHADEMA imekutana kujadili maazimio 11 ya kikao cha pili ya chama hicho. Akiongea na waandishi wa habari jijini Dar es salaam Mwenyekiti wa kamati kuu ya Chadema Mheshimiwa FREEMAN MBOWE amesema kuwa miongoni mwa mambo yatakayojadiliwa na kamati hiyo ni pamoja na uteuzi wa bodi ya wadhamini wa chama hicho… zaidi Mh. Mbowe amesema...

Like
347
0
Wednesday, 15 October 2014
ORODHA YA WASHINDI WA BET HIPHOP AWARDS 2014
Entertanment

Album Of The Year Drake – ‘Nothing Was The Same’ — WINNER Eminem – ‘The Marshall Mathers LP 2′ Future – ‘Honest’ Rick Ross – ‘Mastermind’ ScHoolboy Q – ‘Oxymoron’ Yo Gotti – ‘I Am’ Best Club Banger Future f/ Pharrell, Pusha T & Casino – ‘Move That Doh’ — WINNER  K Camp f/ Lil Boosie, YG & Too $hort – ‘Cut Her Off’ (Remix) Migos – ‘Fight Night’ Wiz Khalifa – ‘We Dem Boyz’ YG f/ Jeezy & Rich Homie...

Like
379
0
Wednesday, 15 October 2014
RAIS MUSEVEN AIGHARAMIA UGANDA CRANES
Slider

Rais Yoweri Museveni wa Uganda amegharamia safari ya timu ya soka ya taifa Uganda Cranes kwenda Togo, kucheza mechi ya marudiano siku ya jumatano ya kufuzu kucheza fainali ya kombe la mataifa ya Afrika mwaka 2015 kundi E. Rais Museveni amewapatia dolla laki moja na efu arobuni kusafirisha timu ya Uganda Cranes kwenda Togo kwa mechi ya Jumatano. Hicho ni kikosi cha Uganda Cranes kilichovalia jezi nyekundu yaani yenye kuishia 42 na yenye 40 ni Togo. Katika mechi ya jumamosi...

Like
382
0
Tuesday, 14 October 2014
MFANYAKAZI WA UN ALIEAMBUKIZWA EBOLA AFARIKI UJERUMANI
Global News

Madaktari katika hospitali ya Leipzig wamesema mtu huyo mwenye umri wa miaka 56, alifariki dunia mapema Jumanne asubuhi. Mlipuko huo umeua zaidi ya watu 4,000 tangu mwezi Marchi, mwaka huu hususan katika nchi za Liberia, Sierra Leone, Guinea na Nigeria. Shirika la Afya Duniani limeuelezea ugonjwa huo kama tatizo la dharura la kiafya kuwahi kuonekana katika maisha ya sasa ya binadamu. Marekani na Uingereza ni miongoni mwa nchi zilizoanzisha utaratibu wa upimaji afya za abiria kuhusiana na ugonjwa wa Ebola...

Like
414
0
Tuesday, 14 October 2014
TAZAMA PICHA ZA UANDAAJI WA VIDEO YA AY NA SEAN KINGSTON
Entertanment

Msanii kutoka Tanzania Abwene Yesaya marufu kama Ay ameanza kushoot video ya ngoma yake aliyomshirikisha Sean kingston huko Marekani  ...

Like
774
0
Tuesday, 14 October 2014
CRIS BROWN ATAJWA KAMA MSANII ANAEWANIA VIPENGELE VINGI KWENYE SOUL TRAIN AWARDS 2014
Entertanment

Mkali wa r&b Cris brown ambae amekuwa gumzo kwenye mitandao ya kijamii kufuatia maoni yake juu ya ugonjwa wa Ebola. Cris Brown ametajwa kama msanii anaewania tuzo kwenye vipengele vingi kama msanii anaejitegemea akifatiwa na Beyonce ambae ametajwa mara sita pamoja na Pharell aliyetajwa mara tano. na hizi ndizo sehemu anazowania : ‘Best Hip-Hop Song Of The Year’ for “Loyal” featuring Lil Wayne and Tyga; ‘Best R&B/Soul Male Artist’; ‘Song Of The Year’ for “Loyal” featuring Lil Wayne and Tyga; ‘Best Dance...

Like
484
0
Tuesday, 14 October 2014
NYUMBANI LOUNGE YA LADY JD YABADILISHWA JINA
Entertanment

Mwimbaji kutoka Tanzania Lady Jd ambae pia alikuwa mmiliki wa Nyumbani lounge kupitia akaunti yake ya instagram alipost picha yenye Caption ya maneno inayoashiria kurudi tena kikazi baada ya kimya cha muda mrefu. Jide alipost posters ya kuanza kwa show zake pamoja na uzinduzi wa MOG bar & restaurant zamani Nyumbani lounge ingawa maswali yamekuwa mengi kuhusu maisha ya ndoa ya msanii huyo lakini hakuna kauli thabiti ya kuthibitisha ukweli wa mambo richa ya kuwepo kwa hoja nyingi mitaani  zinazosababishwa...

Like
1145
0
Tuesday, 14 October 2014