Slider

WANANCHI WAMETAKIWA KUTUMIA VYEMA MIUNDOMBINU YA NCHI IKIWEMO BARABARA
Local News

Wito huo umetolewa Jijini Dar es salaam na Rais JAKAYA KIKWETE wakati akifungua rasmi barabara ya Mwenge –Tegeta. Naye Balozi wa Japani nchini MASAKI OKADA amezungumzia juu ya ushirikiano uliopo kati ya Serikali yake na Tanzania   Barabara hiyo yenye urefu wa kilomita 12.9 imegharimu kiasi cha Sh. bilioni 77.85, fedha ambazo zimetolewa na Serikali ya Japan kupitia Shirika lake la Maendeleo ya Kimataifa la JICA. Serikali ya Tanzania imechangia asilimia 7.64 katika gharama za ujenzi wa Barabara hiyo. Katika ufunguzi...

Like
363
0
Thursday, 02 October 2014
WANAFUNZI KUMSHTAKI MKE WA RAIS MUGABE
Global News

Muungano wa wanafunzi wa vyuo vikuu nchini Zimbabwe al maarufu Zinasu, umesema kwamba unawasilisha kesi mahakamani hii leo kutafuta ufafanuzi zaidi wa namna mkewe rais Grace Mugabe alivyopata shahada ya udaktari wa falsafa. Mwanafunzi mmoja mwanaharakati amesema kuwa ni muhimu kwa taifa hilo kuhifadhi hadhi yake ya elimu. Baadhi ya watu wamehoji kasi aliyosomea shahada hiyo huku wengine wakidai ni njama za kumuandaa kwa urithi wa kiti cha rais baada ya rais Mugabe. Gazeti moja linalomilikiwa na serikali , the...

Like
288
0
Wednesday, 01 October 2014
PETER OKOYE WA P SQUARE AANGUKA JUKWAANI
Entertanment

Muimbaji kutoka kwenye kundi la P square Peter Okoye jana alianguka jukwaani siku ya jumanne usiku  wakati anatumbuiza kwenye tamasha lililoandaliwa na Beat 99.9 FM’s Triple 9 huko Lagos Nigeria tulio hilo lilitokea wakati P square wanaimba wimbo wao “BRING IT ON”   kutoka kwenye albam yao ya ‘Double Trouble’ wakati Peter aliposogea mbele kwenye ukingo wa jukwaa                     baada ya show hiyo Peter aliandika kwenye kurasa zake za Twitter na Instagram maneno...

Like
294
0
Wednesday, 01 October 2014
HOFU YA EBOLA YATANDA MAREKANI
Global News

Hali hiyo imekuja mara baada ya Mgonjwa wa kwanza wa ugonjwa hatari wa virusi vya Ebola kugundulika nchini Marekani, na kuthibitishwa katika mji wa Dallas, Texas. Maafisa katika kituo cha afya cha Texas katika hospitali ya Presbyterian wamesema mgonjwa ambaye hakutajwa ametengwa katika hospitali hiyo. Jumatatu, maafisa wa kituo cha afya cha Texas katika hospitali ya Presbyterian ya Dallas wamesema mgonjwa ambaye hakutajwa jina alikuwa akichunguzwa virusi vya Ebola na ametengwa katika hospitali hiyo. Shirika la Afya Duniani, WHO limesema mpaka...

Like
246
0
Wednesday, 01 October 2014
NICKI MINAJ KUHOST TUZO ZA  MTV EMA 2014
Entertanment

Mkali wa Anaconda Nicki Minaj ametajwa na MTV kwamba mbali na kuperfom atakuwa  host wa awamu ya 20th kwenye tuzo za MTV EMA 2014 ambapo mapema baada ya kutangazwa Nicki alitweet kupitia akaunti yake ya Twitter akisema maneno haya So excited to announce that I will not only perform, but I have the honorable task of HOSTING this… tuzo hizi zinatarajiwa kufanyika huko Glasgow Uingeleza mapema mwezi November mwaka...

Like
303
0
Wednesday, 01 October 2014
DIAMOND ATAJWA KUWANIA TUZO ZA The Headies NIGERIA
Entertanment

Tuzo hizo ambazo hapo zamani zilijulikana kama Hip-Hop World ambapo kwa mara ya kwanza zilifanyika mwaka 2006 huko Lagos. mwaka huu zinatarajiwa kufanyika tarehe 25th October 2014  Lagos ikiwa ni msimu wake wa 9 Diamond ametajwa kuwania kipengere cha  BEST AFRICAN ARTIST  kipengere hicho kinahusisha wasanii kutoka mataifa ya Afrika wanaofanya vizuri Nigeria Diamond atachuana na MAFIKIZOLO SARKODIE R2BEES...

Like
273
0
Wednesday, 01 October 2014
HIVI NDIVYO MAMBO YALIVYOKUWA KIBAHA KWENYE KAMPENI YA BAR KWA BAR MUZIKI MNENE
Entertanment

Picha ni umati wa wakazi wa kibaha na maeneo ya jirani waliokusanyika katika kampeni za redio EFM 93.7 kampeni hii imekuwa ikiendelea maeneo tofauti kwa kuwakutanisha wafanyakazi yani watangazaji na ma rdj wa 93.7efm pamoja na wadau mbalimbali wa redio hii  na kuweza  kutoa zawadi mbalimbali kwa wananchi. kampeni hii wiki hii itakuwa maeneo ya Ukonga siku ya jumamosi muziki utaongea...

Like
471
0
Wednesday, 01 October 2014
RAIS MPYA WA AFGHANSTAN ASAINI MKATABA NA NATO
Global News

Siku moja baada ya kuapishwa kuwa rais mpya wa Afghanistan Ashraf Ghani, serikali yake imetia saini mkataba mpya wa usalama na shirika la kujihami la NATO. Mkataba huo utaidhinisha zaidi ya wanajeshi elfu kumi na mbili, wengi wakiwa wamarekani, kusalia nchini Afghanistan hata baada ya kumalizika kwa kandarasi yao mwaka huu. Mkataba huo ulitiwa sahihi katika hafula iliyotangazwa moja kwa moja katika televisheni na mshauri wa maswala ya usalama wa kitaifa wa Afghanistan Hanif Atmar na balozi wa Marekani nchini...

Like
518
0
Tuesday, 30 September 2014
MKUTANO WA KIMATAIFA WA TEKNOLOJIA YA MAWASILIANO WAANZA RASMI JIJINI DAR
Local News

Mkurugenzi wa Kampuni ya Tekinologia ya Huawei Tanzania, Vincent

Wen(kushoto) akizungumza na washiriki katika mkutano huo. baadhi ya washiriki wa Mkutano wa Kimataifa

wa Tekinolojia ya Mawasiliano wakifatilia kwa makini mkutano huo ulioanza rasmi siku ya jana katika Hoteli ya Bahari Beach jijini Dar es Salaam kwa 

udhamini wa...

Like
349
0
Tuesday, 30 September 2014
KAMPENI YA MUZIKI MNENE BAR KWA BAR NDANI YA BAGAMOYO
Slider

umati wa watu huko bagamoyo wakicheza na kufurahi kwenye kampeni ya Muziki mnene bar kwa bar Swebe moja ya watangazaji wa EFM akizungumza jambo na wakazi wa bagamoyo Wananchi wa Bagamoyo wakijiachia kwa shagwe kampeni hiyo bado inaendelea maeneo...

Like
483
0
Tuesday, 30 September 2014
Big Fendi, NICK MINAJ BADO YUPO CHINI YA DIRTY MONEY
Entertanment

Aliekuwa meneja wa Msanii Nick Minaji, Big Fendi ameelezea kiundani jinsi alivyokutana na msanii huyo kati ya mwaka 2006 au2007 kupitia mtandao wa MySpace ambapo alimchukua na kumbadilisha jina kutoka Nicki Maraj kwenda Nicki Minaj kitendo kilichomsababishia Nick Minaj matatizo na familia yake lakini baadae Big Fendi alimuelewesha ikiwemo pia kumtumia Jadakiss na Busta Rhymes Fendi amedai kumiliki sehem ya jina na vyanzo vya mapato vya Nick ikiwemo NickiMinaj.com.   Fendi Baadae alipata mkataba wa kumuuza nick Minaj kwenda Young...

Like
472
0
Tuesday, 30 September 2014