Slider

SERIKALI YATEKELEZA MAOMBI 5 YA WAFANYABIASHARA WA MIFUGO WILAYANI LONGIDO
Local News

  Baadhi ya mifugo wakiwa katika eneo la kunywa maji kablaya kuuzwa katika Soko la Kimkakati la Longido, Wilayani Longido ambalo limejengwa kwa ufadhili wa Programu ya Miundo mbinu ya Masoko, Uongezaji wa Thamani na Huduma za Kifedha Vijijini (MIVARF). Serikali kupitia, Programu ya Miundo mbinu ya Masoko, Uongezaji wa Thamani na Huduma za Kifedha Vijijini (MIVARF), imetekeleza maombi 5 ambayo yanawasaidia wafugaji hao  kuongeza thamani ya mifugo yao  kupitia Soko la Kimkakati la mifugo Longido lililojengwa na Program hiyo....

Like
725
0
Thursday, 22 March 2018
RAISI WA PERU KUJIUZULU
Global News

Rais wa Peru Pedro Pablo Kuczynski amepata kuwasilisha barua yake ya kujihuzulu bungeni hapo jana. Hii ni kutokana na tuhuma za kununua kura zinazomkabili na serikali yake, Amefanya hivyo kutokana na mchakato uliopambana moto wa kutaka kumng’oa...

Like
529
0
Thursday, 22 March 2018
KAMANDA MURILO ASEMA KUHUSU AFISA BALOZI WA SYRIA
Local News

    Kamanda wa jeshi la Polisi mkoa wa kipolisi wa Kinondoni Jumanne Murilo, amezungumza na waandishi wa habari katika ofisi zake kuhusu kushambuliwa kwa nondo Afisa wa ubalozi wa Syria nchini H. Alfaori na kuibiwa Euro 93,000 sawa na Shilingi Milioni 251 za Kitanzania jana March 20. Hata hivyo kamanda mulilo amesema, kwasasa jeshi la polisi litaongea na ofisi nyingine za nje kabla ya kuajiri wawe wanaomba polisi iwasaidie jinsi kuwachunguza wale waliowapitisha wakitaka...

Like
640
0
Wednesday, 21 March 2018
BALCELONA YAIDHIBU  CHELSEA NA KUITOA NJEE YA MASHINDANO YA UEFA CHAMPIONI LIGI
Slider

  Baada ya Manchester United Jana kutupwa nje na Sevilla kutoka Hispain kwa kufungwa mabao 2-1, jana usiku ilikuwa ni zamu ya Chelsea Kutupwa Nje ya Mshindano ya Kombe la UEFA Championi Ligi na kufungwa Na Barcelona Mabao 3-0, magoli ya Barcelona yaliwekwa kimyani na Messi ambaye alifunga mabao 2, goli la kwanza alifunga dakika ya 2 na goli lake la pili alifunga kwenye dakika ya 63, na goli la tatu lilifungwa na Ousmane Dembele dakika ya 20. Kwa matokeo...

Like
681
0
Thursday, 15 March 2018
MTI WAUA WATU 20 GHANA
Slider

Watu takriban 20 wamefariki dunia na wengine wengi kujeruhiwa baada ya mti mkubwa kuwaangukia wakiogelea katika maporomoko ya maji eneo la Kintampo, Ghana. Maporomoko hayo ni maarufu sana kwa watalii. Watu hao walikuwa wakiogelea pale upepo mkubwa ulipoangusha mti na kusababisha mkasa huo, maafisa wa huduma za dharura wamesema. Msemaji wa taifa wa huduma za dharura Prince Billy Anaglate alisema kisa hicho kilitokea katika maporomoko ya Kintampo, katika jimbo la Brong-Ahafo. Kikosi cha pamoja na polisi na wahudumu za dharura...

Like
417
0
Monday, 20 March 2017
KINA DADA WA ARSENAL WAILAZA TOTTENHAM 10-0
Slider

Mabingwa watetezi wa Kombe la FA Uingereza upande wa wawanawake Kina dada wa Arsenal waliwalaza wapinzani wao Tottenham 10-0 na kufika robo fainali Jumapili. Danielle van de Donk alifungia wenyeji hao mabao matatu, naye mshambuliaji wa zamani wa Sunderland Beth Mead akafunga bao pia mechi yake ya kwanza kuchezea Arsenal. Chelsea, ambao walishindwa na Arsenal fainali mwaka jana, pia walipata ushindi mkubwa, kwa kulaza Doncaster 7-0. Bristol City walilaza Millwall 5-0. Liverpool, Notts County, Birmingham na Sunderland pia walishinda kwenye...

Like
401
0
Monday, 20 March 2017
UKWELI SAKATA LA SERIKALI KUUZIWA EKA MOJA KWA ZAIDI YA MILIONI MIA NANE
Slider

Kampuni ya azimio estate iliyompa zawadi mkuu wa mkoa Dar es salaam, Paul Makonda inadaiwa kuhusika na wizi mkubwa wa pesa ya umma, baada ya kampuni hiyo kuingia mkataba na Shirika la taifa la hifadhi ya jamii (Nssf) wakuiuzia ardhi ekari 20,000 eneo la Dege Mbutu Kigamboni kwa makubaliano ya kila eka moja ni miloni ishirini na tano ( 25,000,000/=),  serikali ikalipa pesa yote. Serikali imekuja kupewa eka 3,000 tu hali inayotafsiriwa kuwa sasa imeuziwa eka moja kwa zaidi milioni...

Like
588
0
Tuesday, 28 February 2017
JPM AWANYIMA USINGIZI MAWAZIRI WAWILI
Slider

Rais John Magufuli amewataka watendaji wanaosimamia mradi wa mabasi ya mwendo kasi jijini Dar es Salaam (Dart) kuhakikisha unaingiza faida kinyume na hapo hasara itakuwa kwao. Aidha, Rais Magufuli aliwataka mawaziri wanaosimamia mradi huo, George Simbachawene (Tamisemi) na Profesa Makame Mbarawa (Ujenzi) kumpatia taarifa inayoeleza kiasi cha fedha kilichoingia tangu mabasi hayo yaanze kufanya...

Like
486
0
Thursday, 26 January 2017
UGANDA KUKIPIGA NA GHANA LEO
Slider

Kocha wa Ghana Avram Grant amesema anataka kufika mbali zaidi katika fainali za mwaka huu tofauti na ilivyokuwa mwaka 2015 walipofungwa na Ivory Coast kwa njia ya penalti. Mshambuliaji Asamoah Gyan na kiungo wa West Ham Andre Ayew walikuwa miongoni mwao miaka miwili iliyopita na uzoefu wao unatarajiwa kuwasaidia katika mchezo wa leo. Wachezaji wa Uganda Murushid Juuko na Khalid Aucho wote hawatakuwepo katika mchezo huo. Cranes wanaingia katika michuano hiyo tokea mwaka 1978 walipopoteza dhidi ya Ghana katika hatua...

Like
403
0
Tuesday, 17 January 2017
HOLLANDE ASEMA ULAYA HAIHITAJI USHAURI WA TRUMP
Slider

Rais wa Ufaransa Francois Hollande amepuuzilia mbali hatua ya Rais mteule wa Marekani Donald Trump kukosoa sera ya Ujerumani kuhusu wahamiaji barani Ulaya. Bw Hollande alisema hatua hiyo ya Bw Trump si ya busara. “ haihitaji ushauri kutoka nje, kuambiwa inafaa kufanya nini,” Bw Hollande alisema. Bw Trump alikuwa amesema Kansela wa Ujerumani Angela Merkel alifanya “kosa kubwa” kwa kuwaruhusu wahamiaji kuingia nchini mwake kwa wingi. Bi Merkel kwa upande wake, akijibu tamko hilo la Trump, alisema bara Ulaya linafaa...

Like
375
0
Tuesday, 17 January 2017
MTU WA MWISHO KUTEMBEA MWEZINI AFARIKI
Slider

Mwana anga wa Marekani Gene Cernan, aliyekuwa binadamu wa mwisho kutembea kwenye Mwezi, amefariki dunia akiwa na miaka 82. Shirika la anga za juu la Marekani Nasa limesema limehuzunishwa sana kumpoteza mwana anga huyo mstaafu. Cernan alikuwa mmoja wa watu watatu pekee waliowahi kwenda Mwezini mara tatu na ndiye binadamu aliyeukanyaga Mwezi mara ya mwisho kabisa, mwaka 1972. Maneno yake ya mwisho aliyoyasema kabla ya kuondoka kwenye Mwezi yalikuwa: “Tunaondoka jinsi tulivyokuja na, Mungu akitujalia, tutarejea na amani na matumaini...

Like
471
0
Tuesday, 17 January 2017