Slider

PAPA FRANCIS AWATAKA VIONGOZI WA DINI KULINDA AMANI
Global News

KIONGOZI mkuu wa Kanisa Katoliki dunia Papa Francis amewataka  viongozi wa  kikristo na Kiislamu nchini Kenya  kujadiliana juu ya kujilinda dhidi ya  mashambulizi ya kinyama ya Waislamu wa itikadi kali yalioikumba Kenya.   Papa Francis ameyasema hayo leo nchini humo ikiwa ni siku ya pili ya ziara yake ya siku tatu kama sehemu ya ziara  katika nchi tatu za kiafrika. Kiongozi huyo wa kanisa Katoliki duniani amekutana na  viongozi wa  kidini  mjini Nairobi kabla ya misa yake ya kwanza iliyohudhuriwa na...

Like
259
0
Thursday, 26 November 2015
UFARANSA: AKATAZWA KUVAA HIJABU KAZINI
Global News

MAHAKAMA ya Ulaya ya haki za binaadamu imekataa hoja ya mfanyakazi mmoja wa kiislamu aliyetaka kuvaa hijab kazini. Christine Ebrahimian alipoteza kazi yake katika hospitali moja ya Paris baada ya kusisitiza kutaka kuvaa hijab huku hospitali hiyo ikisema kuwa imepokea malalamiko kuhusu yeye kutoka kwa wagonjwa waliokuwepo hospitalini hapo. Sheria ya Ufaransa inakataza maonyesho ya uhusiano wowote wa kidini na wafanyakazi wa umma ambapo pia mahakama hiyo imesema kuwa haiwezi kutoa hukumu kuhusu sheria za wafanyikazi na kukataa rufaa...

Like
290
0
Thursday, 26 November 2015
WIZARA YA ELIMU NA MAFUNZO YA UFUNDI YAANDAA WARSHA KUENDELEZA STADI ZA KAZI
Local News

WIZARA ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi kwa kushirikiana na Wizara ya Kazi na Ajira imeandaa warsha ilinayolenga kuandaa Mkakati wa Kitaifa wa miaka 10 wa kuendeleza stadi za kazi kwa miaka mitano ya kwanza. Akizungumza na Wanahabari jijini Dar es salaam leo Mkurugenzi Msaidizi wa Idara ya Elimu ya juu kutoka Wizara hiyo Dokta Jonathan Mbwambo amesema kuwa takwimu zinaonesha Tanzania ina watu wenye ujuzi wa chini na stadi za kazi ambazo zinahitaji kukuzwa ili nchi iweze kufikia matarajio...

Like
342
0
Thursday, 26 November 2015
SERIKALI YAPIGA MARUFUKU UTENGENEZAJI NA UCHAPISHAJI WA CHRISTIMAS NA MWAKAMPYA
Local News

KATIBU Mkuu kiongozi Balozi Ombeni Sefue amepiga marufuku utengenezaji na uchapishaji wa kadi za Christimas na mwaka mpya kwa kutumia gharama za serikali kwa mwaka huu. \Katika taarifa yake Balozi Sefue ameeleza kuwa yeyote anayetaka kutengeneza au kuchapisha kadi hizo ni vyema akafanya hivyo kwa gharama zake mwenyewe. Balozi Sefue ameagiza kuwa fedha zilizopangwa kutumika kutengenezea na kuchapisha kadi hizo zitumike kupunguza madeni ambayo wizara, Idara na Taasisi zinazodaiwa na wananchi au wazabuni...

Like
218
0
Thursday, 26 November 2015
AU: MKUTANO WA KUKOMESHA NDOA ZA UTOTONI KUANZA LEO ZAMBIA
Local News

UMOJA wa Afrika leo unaanza mkutano wa siku mbili utakaofanyika Zambia kukomesha ndoa za utotoni barani humo. Inakadiriwa kwamba mwanamke mmoja kati ya watatu barani Afrika ameolewa kwa ruhusa ya wazazi, walezi na viongozi wa kidini katika umri wa miaka 18. Idadi hiyo inatarajia kuongezeka ifikapo mwaka 2050. Nyingi ya ndoa hizo za mapema hufanyika vijijini, ambako utamaduni bado...

Like
195
0
Thursday, 26 November 2015
PAPA FRANCIS AHIMIZA UMOJA NA UWAZI
Global News

  KIONGOZI wa Kanisa Katoliki Duniani Papa Francis ameanza ziara yake Afrika kwa kuhimiza umoja, uwazi, kuwathamini vijana na kuyatunza mazingira. Kiongozi huyo wa Kanisa Katoliki aliwasili Nairobi jana majira ya saa kumi na nusu jioni na kukaribishwa kwa shangwe na viongozi wa kisiasa na kidini uwanja wa ndege. Baada ya kuwasili, alielekea Ikulu ambako alipanda mti kisha kukutana na Rais Uhuru Kenyatta kabla ya kutoa hotuba yake ya kwanza, lakini awali akimkaribisha kutoa hotuba, Rais Kenyatta, alieleza umuhimu wa...

Like
239
0
Thursday, 26 November 2015
VIPODOZI HARAMU VYAKAMATWA BANDARI KUU MALINDI ZANZIBAR
Local News

BODI ya Chakula, Dawa na Vipodozi imekamata vipodozi haramu katika Bandari Kuu ya Malindi Zanzibar ambavyo vimepigwa marufuku kuingizwa nchini.   Akitoa taarifa kwa waandishi wa habari Ofini kwake Mombasa Mkaguzi wa Bodi hiyo Nassir Buheti amesema vipodozi hivyo haramu vimepigwa marufuku kuingizwa nchini kutokana na kuwa na Viambata vyenye kemikali vinavyoweza kuleta madhara kwa Mtumiaji ikiwemo Kansa.   Amevitaja vipodozi hivyo kuwa ni pamoja na Movet Crèame kutoka Itali na Medical Fade Crème kutoka Marekani vyenye uzito wa tani...

Like
438
0
Thursday, 26 November 2015
HUKUMU YA ZUIO LA KUAGA MWILI WA MAREHEMU MAWAZO KUTOLEWA LEO
Local News

  MAHAKAMA Kuu Kanda ya Mwanza inatarajiwa kutoa hukumu dhidi ya kesi ya kupinga tamko la kamanda wa polisi mkoani humo la kuzuia shughuli ya kuuaga mwili wa marehemu Alphonce  Mawazo iliyofunguliwa na baba mdogo wa marehemu. Kesi hiyo iliyokuwa ikisikilizwa na jaji mkuu katika Mahakama hiyo  Lameck Mlacha ambapo mawakili wapande zote mbili  upande wamlalamikaji na upande wawalamikiwa wamewasilisha hoja zao katika mahakama hiyo, na itatolewa hukumu yake leo saa saba mchana. Hukumu hiyo ya leo inatarajiwa pia kuamua...

Like
275
0
Thursday, 26 November 2015
URUSI YAONYA KULIPA KISASI KUFUATIA KUANGUSHWA KWA NDEGE YAKE
Global News

URUSI imeonya kuwa italipiza kisasi kufuatia kuangushwa kwa ndege yake.   Waziri mkuu wa Urusi , Dmitriy Medvedev, amesema kuwa Uturuki inawalinda Islamic State na kufafanua kuwa nchi hiyo inahofia kupoteza kipato kikubwa inachofaidika kutokana na wizi wa mafuta kutoka Syria.   Hayo yamejiri huku rais wa Marekani Barack Obama amemhakakishia mwenzake rais wa Uturuki Recep Tayyip Erdogan kuwa nchi yake inaiunga mkono Uturuki katika jitihada za kulinda mipaka...

Like
243
0
Wednesday, 25 November 2015
PAPA FRANCIS AANZA ZIARA AFRIKA
Global News

KIONGOZI wa Kanisa Katoliki Ulimwenguni Papa Francis ameondoka mjini Roma kuelekea nchini Kenya leo, ambako ataanzia safari yake barani Afrika itakayomfikisha pia nchini Uganda na katika Jamhuri ya Afrika ya Kati. Safari hiyo ya kwanza barani Afrika kufanywa na Papa huyo mwenye umri wa miaka 78 inatajwa kukabiliwa na changamoto kubwa za kiusalama. Ratiba ya ziara ya Kiongozi huyo  wa Kanisa katoliki duniani  ina mambo  mengi, yakiwemo kuutembelea mtaa wa mabanda nchini Kenya, madhabahu ya mashahidi wa kikristo nchini Uganda,...

Like
247
0
Wednesday, 25 November 2015
SERIKALI YAOMBWA KUBORESHA MITAALA YA ELIMU KATIKA SHULE ZA MSINGI
Local News

SERIKALI imeombwa kuboresha mitaala ya Elimu katika shule za misingi ikiwa ni pamoja na kuwepo kwa vipindi vya jinsia huku serikali ikishirikiana kikamilifu na  Mashirika yasiyokuwa ya kiserikali ambayo yamekuwa mstari wa mbele katika kupinga vitendo vya ukatili wa kijinsia ikiwemo Ukeketaji, Ndoa za Utotoni pamoja na Mimba za utotoni ili kuweza kutokomeza vitendo hivyo. Hayo yamebainishwa na baadhi ya walimu wa shule za misingi kupitia  Shirika la jukwaa la utu wa mtoto- CDF, walipokuwa wanatoa Elimu ya kupinga vitendo...

Like
303
0
Wednesday, 25 November 2015