simba sc

Kocha Msaidizi wa Simba Aendelea kuwa Mbali na Benchi la Ufundi la Simba
Sports

Masoud Djuma Kocha Msaidizi wa Simba ataendelea kubaki Dar es Salaam, ikiwa timu inakwenda Mkoani Mwanza kwa ajili ya kucheza michezo miwili ya Ligi kuu ampapo tarehe 20, September Simba SC itacheza na Mbao Fc kwenye Uwanja wa CCM Kirumba na Mchezo  mwingine ni ule dhidi ya Mwadui FC kwenye uwanja huo huo wa CCM Kirumba utakao pigwa tarehe 22, September. Hatua hiyo inakuja baada ya viongozi wa kumkabidhiwa majukumu mengine ya kuwanoa wachezaji waliobakia Dar wakiwemo Juuko Mushid na...

Like
727
0
Tuesday, 18 September 2018
UONGOZI WA SIMBA UMEFUGUKA KUHUSU UCHAGUZI WAKE
Sports

Uongozi wa klabu ya Simba umefunguka na kusema kuwa haushinikizwi kufanya uchaguzi wake na Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) zikiwa zimesalia siku kadhaa kuelekea mchakato wake kuanza. Kwa mujibu wa Ofisa Habari wa Simba, Haji Manara, amesema wao kama Simba walikuwa wanasubiria katiba yao mpya isajiliwa na serikali hivyo mchakato wa uchaguzi ulisimama kwa muda kuisubiria. Manara ameeleza kuwa wao kama Simba hawawezi kushinikiwa kufanya uchaguzi huo na TFF na badala yake watakutana Agosti 31 kuanza mchakato kamili wa kuunda...

Like
560
0
Tuesday, 31 July 2018
SIMBA YAMTAMBULISHA KOCHA MPYA KUTOKA UBELGIJI
Sports

Uongozi wa klabu ya Simba umemtangaza rasmi kocha wao mpya, Mbelgiji Patrick Aussems, tayari kuanza kazi ya kuiandaa timu kuelekea mashindano ya Ligi Kuu Bara. Simba wameingia makubaliano ya mkataba wa mwaka mmoja na Aussems akiwa anachukua mikoba ya Mfaransa, Pierre Lechantre ambaye alimaliza muda wake. Hatua hiyo imekuja mara baada ya mabosi wa Simba kugoma kumuongezea mkataba Lechantre ambaye alipewa timu kwa muda wa miezi sita pekee na baada ya kumalizika wakaacha naye. Aussems amesaini mkataba huo mbele ya...

Like
467
0
Friday, 20 July 2018
Mambo Yakienda Vizuri, Patrick Aussems Kocha Mkuu Simba
Sports

Kama mambo yatakwenda sawa, Kocha Patrick Aussems atasaini mkataba leo kuanza kuinoa Simba. Aussems raia wa Ubelgiji tayari yuko nchini akiendelea na mazungumzo na Simba. Jana alikuwa uwanjani kuishuhudia Simba ikiivaa Singida United katika mechi ya michuano ya Kombe la Kagame. “Kweli kocha yuko nchini na kama mambo yatakwenda vizuri basi atasaini kati ya leo au kesho. Tayari ameiona timu ikicheza dhidi ya Singida United. Amekuwa na maoni yake ingawa hajazungumza sana,” kilieleza chanzo Aussems mwenye umri wa miaka 51...

1
1037
0
Friday, 06 July 2018
WACHEZAJI WA SIMBA WAPITA KWENYE TUZO YA MCHEZAJI BORA WA LIGI KUU TANZANIA BARA
Sports

Kamati ya Tuzo za Ligi Kuu ya Vodacom (VPL), imekamilisha uteuzi wa wachezaji 3 watakaowania tuzo ya mchezaji bora wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara msimu wa 2017/2018. Wachezaji watatu waliobaki katika kinyang’anyiro hicho ni Emmanuel Okwi, John Bocco na Erasto Nyoni wote wa Simba, ambapo kamati ya Tuzo hiyo ya Mchezaji Bora imeandaa utaratibu wa kupiga kura kuwashirikisha Wahariri wa Habari za Michezo, manahodha wa timu za Ligi Kuu ya Vodacom na makocha wa timu za Ligi Kuu....

Like
965
0
Thursday, 14 June 2018
Simba sc Kuwalipia Kisasi Yanga Kenya
Sports

Baada ya kuiondosha Kariobangi Sharks FC katika michuano ya SportPesa Super Cup, klabu ya Simba itakutana na wababe wa Yanga, Kakamega HomeBoyz, kesho Alhamis kwenye Uwanja wa Afraha. Michuano hiyo inayoendelea mjini Nakuru itakuwa inazikutanisha Simba na Kakamega kwenye mchezo huo wa hatua ya nusu fainali itakayoanza majira ya saa 9 kamili mchana. Kakamega walifuzu kufika fainali baada ya kuifunga Yanga katika ufunguzi wa pazia la mashindano hayo kwa jumla ya mabao 3-1. Wakati huo Simba nayo ilitinga nusu fainali...

Like
1165
0
Wednesday, 06 June 2018
BAADA YA YANGA JANA KUCHEZEA KICHAPO CHA 3-1 LEO NI ZAMU YA SIMBA
Sports

Baada ya Yanga Sc kutupwa nje kwenye mashindano ya Super cup nchini Kenya kwa kufungwa mabao 3-1 dhidi ya Kakamega Homeboys, leo ni zamu ya Simba SC kutupa karata yake ya kwanza katika michuano ya hiyo ya Super Cup inayoendelea Nakuru nchini Kenya watacheza na .Kariobang Sharks majira ya saa tisa alasiri Kuelekea mechi hiyo, Simba wamedhamiria kupigania matokeo chanya huku wakiahidi kutokufanya vibaya kama ilivyokuwa mwaka jana. Kwa mujibu wa Mkuu wa Kitengo cha Habari na Mawasiliano Simba, Haji...

Like
865
0
Monday, 04 June 2018
Simba Watinga Bungeni, Wabunge Wawashangilia
Sports

Timu ya Simba wametinga Bungeni jijini Dodoma leo baada ya kupata mwaliko wa Spika Job Ndugai. Mwenyekiti wa Bunge, aliyekuwa akiongoza kikao cha leo, Najma Giga, Naibu Waziri wa Tamisemi, Joseph Kakunda ndiye alianzisha shangwe za kuwapokea Simba bungeni kabla hawajatambulishwa. Kakunda kabla ya kujibu swali bungeni, alisema, leo ameamka saa 10 alfajiri akijiandaa kujibu maswali lakini furaha ya ubingwa wa Simba ilitawala kichwa chake hali ambayo ilipelekea wabunge wengine kushangilia. “Sasa naamini Watanzania watapata wawakilishi wazuri wa...

Like
620
0
Monday, 14 May 2018
Simba Bingwa 2017/2018, Baada ya Yanga Kupokea Kipigo cha 2-0 kutoka kwa Prisons
Sports

  Simba SC imetwaa taji la VPL msimu wa 2017/18 baada ya aliyekuwa bingwa mtetezi Yanga SC kukubali kipigo cha magoli 2-0 kutoka kwa Tanzania Prisons. Simba imeshinda kombe hilo mara ya 19. Mara ya mwisho kushinda ilikuwa ni mwaka 2012. #Esports...

Like
1144
0
Thursday, 10 May 2018
Simba Sc Mzigoni Leo Kuikabili Njombe Mji
Sports

Simba itakuwa inakibarua dhidi ya wenyeji wa mji huo, Njombe Mji FC, katika mchezo wa ligi kuu bara utakaopigwa majira ya saa 10 jioni leo. Njombe Mji itakuwa inaikaribisha Simba ikiwa na kumbukumbu mbaya za kuondoshwa nje ya michuano ya Kombe la Shirikisho na Stand United ya mjini Shinyanga. Tayari timu zote mbili zimeshakamilisha maandalizi kuelekea mchezo mchezo huo wa...

Like
519
0
Tuesday, 03 April 2018