Local News

Uhamiaji -Tanzania Yambana Abdul Nondo Athibitishe Uraia Wake
Local News

Mashtaka ya kujiteka nyara yanayomkabili kiongozi wa mtandao wa wanafunzi nchini Tanzania (TSNP), na mtetezi wa haki za binadamu Abdul Nondo, yanaonekana kuchukua sura mpya, baada ya maafisa wa uhamiaji kumlazimisha athibitishe ni raia wa Tanzania. Licha ya mwanafunzi huyo kutoka mkoa wa Kigoma kupata ufadhili wa masomo wa Chuo Kikuu Cha Dar es Salaam (UDSM) kutoka serikalini, anahitajika kupeleka katika idara ya uhamiaji cheti chake cha kuzaliwa, cha baba yake, mama yake, cha bibi na babu mzaa baba na...

Like
518
0
Friday, 06 April 2018
Magufuli Kuzindua Ukuta wa Machimbo ya Madini ya Tanzanite Leo
Local News

Rais John Magufuli wa Tanzania, leo anatarajiwa kuzindua ukuta wa machimbo ya madini ya Tanzanite,iliopo eneo la Mererani, kaskazini mwa nchini Tanzania Ukuta huo wenye urefu wa kilomita 24.5 na urefu wa mita tatu kwenda juu, umejengwa kufuatia agizo lililotolewa na Rais John Magufuli, kama jitihada za kudhibiti na kuzuia utoroshwaji wa madini hayo, ambayo yanapatikana nchini Tanzania pekee. Awali, Mwezi Februari, wakuu wa vyombo vya usalama, walitembelea eneo hilo, kuukagua ukuta huo uliojengwa kwa gharama za Kitanzania isiyozidi bilioni...

Like
762
0
Friday, 06 April 2018
Spika Ndugai aizungumzia hoja ya Bashe kuhusu mauaji na utekaji
Local News

Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Job Ndugai amezungumza kuhusu taarifa za Mbunge wa Nzega Mjini kwa tiketi ya CCM, Hussein Bashe aliyetangaza kuwasilisha hoja binafsi Bungeni kuhusu matukio ya kiusalama nchini. Katika mahojiano na kituo cha runinga cha Azam, Spika Ndugai amesema bado hawajapata taarifa rasmi kutoka kwa Bashe na kutoka kwa katibu wa wabunge wa CCM Bungeni kama kanuni zinavyoelekeza. “Niliona barua yake kwa Katibu wa Bunge akimtaharifu kuwa anayo nia ya kuleta hoja binafsi...

Like
508
0
Thursday, 05 April 2018
Yanga kuwakosa wachezaji wanne kikosi cha kwanza kombe la shirikisho
Local News

Klabu ya soka ya Yanga ambayo Jumamosi hii inatarajiwa kucheza na Welayta Dicha ya Ethiopia katika kombe la shirikisho barani Afrika, itawakosa wachezaji wake wanne muhimu Wachezaji hao ambao wataukosa mchezo huo ni Kelvin Yondani, Obrey Chirwa, Papy Tshishimbi na Said Makapu. Wachezaji hao wataukosa mchezo huo kutokana na kuwa na kadi nyingi za njano ambazo walipata kwenye michuano ya kombe la klabu bingwa Afrika. Wapinzani hao wa Yanga wanatarajiwa kuwasili mchana wa leo (Jumatano) kwenye uwanja wa ndege wa...

Like
614
0
Wednesday, 04 April 2018
Magazeti ya leo Jumatano April 4,
Local News

...

1
771
0
Wednesday, 04 April 2018
Al-Shabab yauwa wanajeshi 4 wa Uganda
Local News

Wanamgambo wa kundi la kigaidi la al-Shabaab la nchini Somalia wamewauwa wanajeshi wanne wa Uganda katika shambulizi kubwa dhidi ya ujumbe wa kulinda amani wa Umoja wa Afrika, katika kambi iliyo Kusini mwa Mogadishu. Shambulizi hilo lilitokea jana Jumapili (Aprili 1) kwenye kambi iliyoko umbali wa kilomita 150 kusini mwa mji mkuu, Mogadishu. Awali, naibu gavana wa jimbo lilikotokea shambulizi hilo, Ali Noor Mohamed, hakubainisha idadi ya waliouawa, lakini alikiri kuwa wanajeshi kadhaa wa Uganda walipoteza maisha. Baadaye, msemaji wa...

Like
828
0
Tuesday, 03 April 2018
EFM REDIO YATIMIZA MIAKA 4 YA MAFANIKIO
Entertanment

– EFM imetimiza miaka 4 tangu kuanzishwa kwake. Nitumie nafasi hii kuishukuru Serikali kuu,TCRA kwakuendelea kutulea na kutuamini hadi sasa tumeongeza wigo wa Matangazo yetu. Niwashukuru MaKampuni na wadau ambao wameendelea kushirikiana nasi kwa namna moja au nyingine. Mwisho niwashukuru sana wasikilizaji na watendaji wote wa Efm. DODOMA,MORO,TABORA,KIGOMA na ARUSHA tunawafikia Mwezi huu.. HAPPY BIRTHDAY...

3
547
0
Tuesday, 03 April 2018
Winnie Mandela afariki dunia Afrika Kusini akiwa na miaka 81
Local News

Winnie Mandela, mke wa zamani wa Nelson Mandela, ambaye pia alipigana dhidi ya utawala wa ubaguzi wa rangi Afrika Kusini amefariki dunia akiwa na miaka 81. Habari za kifo chake zimethibitishwa na msaidizi wake. Winnie alizaliwa mnamo 26 Oktoba mwaka 1936, na ingawa yeye na mumewe – Nelson Mandela – walitalikiana mapema miaka ya 1990, Winnie Madikizela Mandela kama alivyofahamika rasmi alisalia kutoa mchango katika maisha ya Bw Mandela. Alikuwepo na walishikana mikono alipokuwa akiondoka gerezani baada ya kufungwa kwa...

Like
857
0
Tuesday, 03 April 2018
Waziri mkuu Kassim Majaliwa awasihi viongozi wa kidini wakumbatie amani
Local News

Waziri Mkuu wa Tanzania Kassim Majaliwa amewaomba viongozi wa dini popote walipo wahakikishe wanaipigania na kuilinda amani kwa kila hali ikiwani pamoja na kupambana na viashiria vya uvunjifu wa amani. Wito huu unatolewa siku chache baada ya baadhi ya makanisa ya kikristo kukosoa utendaji wake. Baraza la maaskofu wa kanisa la Kiinjili la Kilutheri chini Tanzania (KKKT) kusema kuwa Umoja na amani ya Tanzania viko hatarini. Katika waraka wa ujumbe wa pasaka uliosambaa katika mitandao ya kijamii , baraza hilo...

Like
422
0
Saturday, 31 March 2018
Madereva wa Daladala Mwanza Wagoma Kutoa Huduma ya Usafiri
Local News

Mwanza Madereva wa Daladala wanaofanya safari zao Airpot Nyashishi na Kisesa Nyashishi wilayani Misungwi wamelazimika kugoma baada ya Sumatra kuongeza ruti bila kuongeza nauli. Madereva hao wamelalamikia kitendo hicho kwakuwa ruti iliyopangwa sumatra haijatoa bei elekezi nauli itakuwa sh Ngapi, kutokana na umbali. Mwenyekiti wa halmashauri ya wilaya ya Misungwi mkoani Mwanza Anthon Bahebe ameliomba Jeshi la Polisi kitengo cha Usalama barabarani pamoja na mamlaka ya udhibiti wa usafiri wa Majini na nchi kavu sumatra kusimamia suala hilo ili...

Like
559
0
Thursday, 29 March 2018
MICHAEL PETTER MSHINDI WA SHIKA NDINGA 2017
Local News

Michael Petter ambae ni mshiriki na mshindi wa #ShikaNdinga2017 akitoa mrejesho wa maisha yake ya biashara baada ya...

Like
361
0
Tuesday, 27 March 2018