Your message has been sent, you will be contacted soon

Call Me Now!

Close

NEW ZEALAND WAPIGA KURA KUCHAGUA BENDERA YA TAIFA

RAIA nchini New Zealand leo wanapiga kura kuchagua bendera ya Taifa ambayo huenda ikachukua nafasi ya bendera ya sasa. Kura hiyo ya maamuzi inapigwa kuanzia leo hadi Desemba…

MISIKITI YA US NA CANADA YAKABILIWA NA TISHIO

MISIKITI iliyopo nchini Marekani na Canada inakabiliwa na ongezeko la uharibifu na vitisho vya kigaidi tangu kutokea kwa shambulio kali mjini Paris. Vituo vya kiislamu vimekuwa vikipokea ujumbe…

SUDANI KUSINI: BASI LAVAMIWA

BASI moja lililokuwa likisafiri kutoka mjini Juba kuelekea kampala nchini Uganda limevamiwa na kufyatuliwa risasi leo majira ya saa moja asubuhi. Maafisa wa Polisi wa Sudan Kusini wameeleza…

SALVA KIIR ASISITIZA KUENDELEZA MAKUBALIANO YA AMANI

RAIS  wa  Sudan  kusini  Salva  Kiir  amesisitiza  nia yake ya kuendeleza makubaliano  ya  Amani  yaliyotiwa  saini mwezi  Agosti, siku  mbili  baada  ya  serikali  na  waasi kushutumiana  kwa  kukiuka  makubaliano …

IS YATHIBITISHA KUUA MATEKA WAWILI

WAPIGANAJI wa Islamic State (IS) wamethibitisha kuwaua mateka wawili, ambao ni raia wa Norway na raia wa China. Waziri mkuu wa Norway Erna Solberg amesema hakuna sababu zozote…

OBAMA AWASHUTUMU WAPINZANI WAKE

RAIS Barack Obama  wa  Marekani ameshambulia kile alichokieleza  kuwa ni hofu ya kupita kiasi juu ya kitisho cha usalama kinachosababishwa  na  wakimbizi kutoka  Syria. Katika hatua isiyokuwa ya kawaida Rais…

NIGERIA: BUHARI AAGIZA KUKAMATWA KWA AFISA ANAETUHUMIWA KWA WIZI

RAIS wa Nigeria Muhammadu Buhari ameagiza kukamatwa kwa Afisa mmoja mkuu serikalini kwa tuhuma za kuiba zaidi ya dola bilioni 2 zilizotengwa kwaajili ya vita dhidi ya kundi…

AMNESTY INTERNATIONAL: NCHI ZA ULAYA ZINAKIUKA HAKI ZA BINADAM MIPAKANI

SHIRIKA la kimataifa la kutetea haki za binaadamu, Amnesty International, limesema uzio wa mipakani na udhibiti mwingine unaofanywa na mataifa ya Umoja wa Ulaya vinachochea ukiukwaji wa haki…

MAPAMBANO YA RISASI YATAWALA KASKAZINI MWA MJI WA PARIS

LIMETOKEA tukio la ufyatulianaji mkali wa risasi kaskazini mwa Paris katika mtaa wa Saint Denis huku ripoti zikisema kuwa operesheni ya polisi kuhusiana na mashambulio ya Ijumaa inaendelea….

UFARANSA: POLISI WAENDELEZA MSAKO WA MAGAIDI

POLISI nchini Ufaransa wameendelea na msako dhidi ya kundi la wajihadi wanaoshukiwa kusababisha mauaji yaliyotokea mjini Paris Ijumaa ya wiki iliyopita. Tayari Polisi hao wameshavamia makao zaidi ya100…