Mahakama ya Afrika na Haki za Binadamu (AfCHPR) inatoa hukumu katika kesi iliyowasilishwa na wanamuziki Nguza Viking maarufu Babu Seya na mwanaye, Johnson Nguza ‘Papii Kocha’ dhidi ya serikali ya Tanzania katika mahakama hiyo. Wawili hao waliwasilisha rufaa katika mahakama hiyo mwaka 2015 kupinga hukumu ya kifungo cha maisha iliyokuwa imetolewa dhidi yao. Walikuwa wanatumikia kifungo cha maisha jela kwa kuwabaka wasichana 10 wa shule waliokuwa na kati ya umri wa miaka 6 na 8 mwaka 2003. Walikuwa wametumikia...
Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Aliance News imesema kuwa kampuni ya De La Rue ilikuwa na mkataba na Uigereza wa miaka 10 lakini nchi hiyo imeamua kuvunja mkataba kati yake na kampuni hiyo. Imefahamika lengo la Serikali ya Uingereza kuvunja mkataba huo wa kutengenezwa hati za kusafiria ni kutokana na gharama kuwa kubwa za utengenezaji wa hati hizo na hivyo kuamua kuipa zabuni kampuni ya French firm Gemalto. “Hati mpya za kusafiria za Uingereza hazitatengenezwa tena na...
HOSPITALI za Mkoa wa Dar es Salaam zimebainika zilikuwa na wagonjwa wengi ambao walikufa kutokana na malaria, Ukimwi , ajali, maambukizi ya bakteria kwenye damu, upungufu wa damu, saratani na kifua kikuu(TB) ukifuatiwa na mkoa wa Morogoro. Imefahamika malaria na upungufu wa damu ulichangia vifo vingi kwenye kundi la watoto chini ya miaka mitano na vifo kutokana na Ukimwi na Kifua Kikuu viliathiri zaidi kundi la watu wazima, vifo vinavyotokana na ajali viliathiri zaidi kundi kubwa la vijana wakati...
MKUU wa mkoa wa Dar es salaam Paul Makonda amewataka wanawake wote waliotelekezwa na waume zao na hawapatiwi fedha za matunzo ya mtoto wafike ofisini Jumatatu ya Aprili 9 kwa lengo la kupatiwa msaada wa kisheria. Taarifa ya Makonda kwa vyombo vya habari aliyoitoa jana amesema jopo la wataalamu wa sheria, maofisa ustawi wa jamii na askari Polisi kutoka dawati la jinsia wamejipanga ipasavyo kuwahudumia na kuhakikisha mzazi mwenza anatoa fedha kwa ajili ya matunzo ya mtoto. “Huduma hii inatolewa...
...
Baadhi ya mifugo wakiwa katika eneo la kunywa maji kablaya kuuzwa katika Soko la Kimkakati la Longido, Wilayani Longido ambalo limejengwa kwa ufadhili wa Programu ya Miundo mbinu ya Masoko, Uongezaji wa Thamani na Huduma za Kifedha Vijijini (MIVARF). Serikali kupitia, Programu ya Miundo mbinu ya Masoko, Uongezaji wa Thamani na Huduma za Kifedha Vijijini (MIVARF), imetekeleza maombi 5 ambayo yanawasaidia wafugaji hao kuongeza thamani ya mifugo yao kupitia Soko la Kimkakati la mifugo Longido lililojengwa na Program hiyo....
WAKATI TANZANIA LEO INAADHIMISHA SIKU YA MAJI DUNIANI, JIJI LA DSM LIMEKUWA LIKIPOTEZA MAJI ZAIDI YA LITA MILLION 57 AMBAZO ZIMEKUWA ZIKIPOTEA KUPITIA KWA WATU WACHACHE AMBAO WAMEKUWA WAKIHUJUMU NA KUSABABISHA WANANCHI WENGI KUKOSA MAJI. JOTO TUMEZUNGUMZA NA WAKAZI WA JIJINI DAR ES SALAAM AMBAO WANAELEZA KERO MBALIMBALI WANAZOKUMBANA NAZO JUU YA MAJI SAFI NA SALAMA. KATIKA KUIADHIMISHA SIKU YA KIMATAIFA YA MAJI DUNIANI KATIBU MKUU WA WIZARA YA MAJI NA UMWAGILIAJI PROFESA KITILA MKUMBO AMESHIRIKI MKUTANO WA DUNIA...
Kamanda wa jeshi la Polisi mkoa wa kipolisi wa Kinondoni Jumanne Murilo, amezungumza na waandishi wa habari katika ofisi zake kuhusu kushambuliwa kwa nondo Afisa wa ubalozi wa Syria nchini H. Alfaori na kuibiwa Euro 93,000 sawa na Shilingi Milioni 251 za Kitanzania jana March 20. Hata hivyo kamanda mulilo amesema, kwasasa jeshi la polisi litaongea na ofisi nyingine za nje kabla ya kuajiri wawe wanaomba polisi iwasaidie jinsi kuwachunguza wale waliowapitisha wakitaka...
Aliyekuwa mgombea wa nafasi ya urais kwa tiketi yachama cha APPT Maendeleo, ambaye pia ni mwenyekiti wa baraza la vyama vya Siasa ndugu Peter Kuga Mziray amefariki dunia jana, Katika hospitali ya rabininsia Memorial iliyopo Tegeta ambapo alikuwa akipatiwa...
Viongozi wa Mtandao wa Wanafunzi Tanzania (TSNP) waelezea taarifa iliyotolea na Kamanda wa Mkoa wa Dar es Salaam juu ya Kujiteka mwenyewe Abdul Nondo na piwa watatakiwa kuonana na Mkurugenzi wa Upelelezi wa Makosa ya Jinai...
Waziri wa habari utamaduni sanaa na michezo Dr. Harison Mwakyembe amewaonya maofisa habari wa serikali ambao hawatangazi kazi za maendeleo zinazofanywa na serikali watachukuliwa hatua ikiwemo kufukuzwa kazi. Dr. Mwakyembe ametoa kauli hiyo wakati wa ufunguzi wa mkutano wa wananchama wa chama cha maafisa mahusiano serikalini unaofanyika mkoani Arusha, nakusema maafisa habari wa serikali ambao wanatumia vifaa walivyopewa kwa matumizi yao binafsi pamoja na wale wanaokaa maofisini bila kufanya kazi nakusubiri muda wakutoka. Kwa upande wa...