Local News

WAKAGUZI WATAKIWA KUZINGATIA WELEDI
Local News

WATUMISHI wa umma nchini wenye ujuzi kwenye suala la ukaguzi, wametakiwa kutumia weledi katika utendaji kazi zao hali ili kuongeza ufanisi katika usimamizi wa rasilimali za umma.   Wito huo umetolewa na Kaimu Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali, Bi Wendy Massoy wakati akifungua mafunzo ya program ya TEAMMATE kwa ajili ya wakaguzi kutoka Ofisi ya Taifa ya Ukaguzi na Wizara ya Fedha.   Bi Massoy amesema, viwango vya ukaguzi Kimataifa vinahitaji mkaguzi kuhifadhi taarifa zake za ukaguzi...

Like
210
0
Tuesday, 03 November 2015
TARIME: JESHI LA POLISI LAPONGEZWA KWA KUIMALISHA ULINZI KIPINDI CHA UCHAGUZI
Local News

KITUO cha sheria na haki za  binadamu wilayani Tarime Mkoani Mara kupitia mkurugenzi wake mtendaji Bonny Matto wamelipongeza Jeshi la polisi Kanda maalumu Tarime kwa kuimalisha ulinzi na usalama katika kipindi cha Uchaguzi.   Matto amesema kuwa kwa upande wa Tarime uchaguzi wa madiwani, wabunge na rais umefanyika kwa amani na umekuwa  wa kihistoria kwani wananchi walijitokeza kwa wingi katika upigaji kura.   Amefafanua kuwa hayo yote ni matokeo ya juhudi za mashirika ya kiserikali na yasiyokuwa ya kiserikali na...

Like
351
0
Monday, 02 November 2015
MITIHANI YA KIDATO CHA NNE KUANZA LEO
Local News

 MITIHANI ya kumaliza Kidato cha Nne,  na Maarifa (QT) unaanza leo nchi nzima katika Shule za Sekondari elfu 4,634 na vituo vya Watahiniwa wa kujitegemea 960. Mitihani hiyo itakayofanyika kwa muda wa siku 26 itakuwa na jumla ya watahiniwa laki 448 elfu na mia 358 waliojisajili kufanya mtihani huo, ambapo kati ya watahiniwa wa Shule ni laki 394, 243 na wa Kujitegemea ni elfu 54, 115. Kwa mujibu wa Katibu Mtendaji wa NECTA, Dokta Charles Msonde ,  kati ya watahiniwa...

Like
431
0
Monday, 02 November 2015
NEC YAKABIDHI RASMI CHETI CHA USHINDI KWA MAGUFULI
Local News

TUME ya Taifa ya Uchaguzi Tanzania-NEC-leo imekabidhi rasmi cheti kwa mshindi wa nafasi ya Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia chama cha Mapinduzi-CCM-Dokta John Pombe Magufuli sanjari na makamu wa Rais Mteule Samia Suluhu Hassan. Akizungumza kabla ya kukabidhi vyeti Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi Jaji Mstaafu Damiani Lubuva amesema kuwa wameridhishwa na mchakato mzima wa kutangaza matokeo hali iliyosababisha kumpata mshindi kwa haki. Akizungumza kwa niaba ya viongozi waliohudhuria Hafla ya kukabidhi vyeti hivyo, Mgombea...

Like
197
0
Friday, 30 October 2015
SERIKALI YAANDAA UTARATIBU KUWEKA MFUMO MPYA WA MAKAZI MISHANO
Local News

WAZIRI Mkuu Mizengo Pinda amesema Serikali inaandaa utaratibu wa namna ya kuweka mfumo mpya wa makazi kwenye eneo la Mishamo, wilayani Mpanda ili wakazi hao waondokane na hali ya kuishi kama wakimbizi.   Waziri Pinda ametoa kauli hiyo jana wakati akizungumza na mamia ya wakazi wa eneo hilo waliojitokeza kwenye mkutano wa hadhara uliofanyika kwenye uwanja wa mpira Mishamo uliokuwa na lengo la kutoa shukrani kwa Serikali ya Tanzania kwa kuwapatia uraia waliokuwa wakimbizi wa Burundi wa mwaka 1972.  ...

Like
220
0
Friday, 30 October 2015
NEC YAKABIDHI CHETI CHA USHINDI KWA MAGUFULI
Local News

KUFUATIA Tume ya Taifa ya Uchaguzi nchini-NEC-kumtangaza mgombea wa chama cha mapinduzi-CCM-dokta John Pombe Magufuli kuwa ndiye mshindi wa nafasi ya Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, viongozi mbalimbali wa kitaifa na kimataifa akiwemo Waziri mkuu wa zamani wa Kenya Raila Odinga wamempongeza kwa kupata ushindi huo. Dokta Magufuli amekabidhiwa cheti cha ushindi leo Jijini Dar es salaam kutoka Tume ya Taifa ya Uchaguzi-NEC. Hafla ya kukabidhiwa cheti imehudhuliwa na viongozi mbalimbali wakiongozwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano...

Like
184
0
Friday, 30 October 2015
NEC YAMTANGAZA RASMI DOKTA JOHN POMBE MAGUFULI KUWA RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA
Local News

TUME YA TAIFA YA UCHAGUZI NCHINI-NEC-IMEMTANGAZA RASMI DOKTA JOHN POMBE MAGUFULI KUWA RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA ALIYEKUWA AKIWANIA NAFASI HIYO KUPITIA CHAMA CHA...

Like
224
0
Thursday, 29 October 2015
SERIKALI YASHAURIWA KUENDELEA KUTOA HUDUMA WAKATI WAKUSUBIRI MATOKEO YA UCHAGUZI
Local News

SERIKALI imeshauriwa kuendelea kutoa huduma kwa wananchi katika wizara mbalimbali hususani kipindi hiki wakati wananchi wanasubiri viongozi wa awamu ya tano kuingia madarakani.   Hayo yamesemwa na mkurugenzi wa kampuni ya Usafirishaji ya Dodoma na mmiliki wa shamba la mazao mbalimbali mkoani Manyara Papuu Dharampal wakati alipokuwa akiongea na waandishi wa habari ofisini kwake.   Dharampal ameiomba serikali pia kuangalia suala la wakulima wadogo na wa kati kwa kuwapatia masoko ili waweze kunufaika na kilimo na kwaajili ya maendeleo...

Like
222
0
Thursday, 29 October 2015
WIZARA YA UCHUKUZI YAZINDUA BODI YA WAKURUGENZI WA KAMPUNI HODHI YA RASILIMALI NA MIUNDOMBINU
Local News

WIZARA ya uchukuzi leo imezindua bodi ya wakurugenzi wa kampuni hodhi ya rasilimali na miundombinu ya reli nchini  RAHCO. Akizindua bodi hiyo kwa niaba ya waziri wa wizara hiyo mheshimiwa Samuel Sitta, katibu mkuu wa wizara ya Uchukuzi dokta Shabani Mwinjaka amesema lengo  kubwa la kuundwa kwa bodi hiyo ni kuhakikisha wajumbe wanasimamia taratibu, kanuni na sheria za uchukuzi. Aidha dokta Mwinjaka amebainisha kuwa uundwaji wa bodi hiyo umeezingatia mahitaji ya Taifa ya sasa ambapo njia ya reli imekuwa ikihitajika...

Like
277
0
Thursday, 29 October 2015
6 WATHIBITISHWA KUUGUA KIPINDUPINDU ARUSHA
Local News

JUMLA ya watu 27 walioripotiwa kuwa na dalili za ugonjwa wa kipindupindu Jijini Arusha kati yao 6 wamethibitishwa kuwa na ugonjwa huo ambapo hadi sasa watano wamelazwa katika kituo cha Afya cha Levolosi. Akizungumza na waandishi wa habari ofisini kwake mkuu wa wilaya ya Arusha Fadhili Nkurlu amewataka wakazi wa Jiji la Arusha kufuata kanuni Afya ili kuepuka ugonjwa. Nkurlu amesema kuwa kwa zaidi ya miezi miwili sasa maeneo mbali mbali nchini yameripotiwa kuwa na ugonjwa huo ikiwemo mikoa ya...

Like
445
0
Thursday, 29 October 2015
WIZARA YA MALIASILI NA UTALII YAAJIRI WATUMISHI WAPYA 588
Local News

WIZARA ya Maliasili na Utalii imefanikiwa kutoa ajira mpya kwa Watumishi wapya 588 katika kitengo cha Afisa Wanyamapori na Wahifadhi wanyamapori lengo ikiwa ni kukabiliana na tatizo la kuenea kwa vitendo vya ujangili kwa wanyama. Akizungumza katika ufunguzi wa Mafunzo elekezi kwa waajiriwa hao jana katika Chuo cha Taifa cha Utalii Kampasi ya Temeke jijini Dar es Salam, Katibu Mkuu Wizara ya Maliasili na Utalii, dokta Adelhelm Meru amewashauri watumishi kujituma zaidi ili kukidhi malengo yaliyowekwa. Mbali na hayo amewataka...

Like
285
0
Thursday, 29 October 2015