Local News

Tuache kufanya kazi kwa mazoea;jafo
Local News

“Naomba watanzania wawe wazalendo, Tuna kasumba sana sisi watanzania ila sio watu wote wachache ambao wao hata hawajivunii chochote na nchi yao, Hii sio sawa kabisa wenzetu huwa na kasumba kwenye mambo yao na sio mambo yanayohusu nchi na maendeleo...

Like
588
0
Saturday, 06 October 2018
Sheria ya Takwimu: Ni kweli Benki ya Dunia imezuia msaada wa $50m kwa Tanzania?
Local News

Kumekuwepo na taarifa kwamba Benki ya Dunia imezuia msaada wa Dola 50 milioni za Marekani ambao ulikuwa utolewe kwa serikali ya Tanzania. Sababu iliyotolewa ni kwamba benki hiyo imeghadhabishwa na mabadiliko yanayotarajiwa kufanywa kwenye Sheria ya Takwimu ya mwaka...

Like
598
0
Wednesday, 03 October 2018
Rais Dkt jp Magufuli amekataa ombi la rais mstaafu
Local News

Rais Dkt JP Magufuli amekataa ombi la Rais Mstaafu Mzee Ali Hassan Mwinyi, aliyeomba kustaafu kuwa Mdhamini wa Skauti Tanzania. Rais Dkt Magufuli amesema, bado vijana wana mambo mengi ya kujifunza kutoka...

Like
892
0
Wednesday, 03 October 2018
Dkt. Arnold Kihaule ateuliwa kuwa Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa (NIDA).
Local News

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli amemteua Dkt. Arnold Mathias Kihaule kuwa Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa (NIDA). Uteuzi wa Dkt. Kihaule unaanza leo tarehe 03 Oktoba, 2018. Kabla ya uteuzi huo Dkt. Kihaule alikuwa Mhadhiri wa Chuo Kikuu cha Ardhi...

Like
1067
0
Wednesday, 03 October 2018
Dar es Salaam; Salama zaidi kwa wanawake afrika mashariki
Local News

Jiji la Dar es Salaam nchini Tanzania ndilo jiji ambalo wasichana na wanawake wanajihisi wakiwa salama zaidi miongoni mwa miji mikuu ya kibiashara Afrika Mashariki. Hii ni kwa mujibu wa ripoti kuhusu usalama wa wanawake na wasichana dhidi ya udhalilishaji katika miji mbalimbali duniani uliofanywa na shirika la Plan International. Jiji la Kampala linaongoza kwa kuwa hatari zaidi, ambapo wataalamu wanasema wasichana na vijana wa kike wamo katika hatari ya juu zaidi ya kudhalilishwa wa kingono wakiwa katika maeneo ya...

Like
718
0
Tuesday, 02 October 2018
RAIS MAGUFULI KUZINDUA FLYOVER YA TAZARA KESHO
Local News

RAIS Dkt. John Magufuli anatarajiwa kuwa mgeni rasmi kwenye uzinduzi wa Daraja la Juu ‘flyover’ mpya iliyojesgwa hivi karibuni katika makutano ya Barabara za Mandela na Nyerere katika eneo la TAZARA jijini Dar es Salaam. Tukio hilo litafanyika kesho Alhamisi, kesho Septemba 27, 2018 ambapo Mkuu wa Mkoa, Paul Makonda amesema Flyover hiyo itapunguza changamoto ya msongamano barabarani iliyokuwa inaleta hasara ya Tsh. Bilioni 400 kwa mwezi. Makonda amewaalika viongozi wa upinzani kwenda kushuhudia tukio hilo na kuwa atawawekea sehemu maalumu...

Like
542
0
Wednesday, 26 September 2018
Damas Daniel Ndumbaro Ateuliwa Kuwa Naibu Waziri wa Wizara ya Mambo ya Ndani
Local News

Rais Dkt. John Pombe Magufuli amemteua Dkt. Damas Daniel Ndumbaro kuwa Naibu Waziri wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa akichukua nafasi ya Susan Kolimba ambaye uteuzi wake umetenguliwa. Aidha, Magufuli amemteua Dkt Faraji Mnyepe kuwa Katibu Mkuu Wizara hiyo ya Mambo ya Nje akichukua nafasi ya Prof Adolf...

Like
1109
0
Wednesday, 26 September 2018
TEF watuma salamu za rambirambi, yataka elimu ya majanga iongezwe
Local News

  Jukwaa la Wahariri Tanzania (TEF) limetoa salamu za pole kwa Rais John Magufuli, familia, ndugu, jamaa na marafiki waliopoteza wapendwa wao katika ajali ya Kivuko cha MV Nyerere. Salamu hizo zimetolewa Jana Septemba 23,2018 na Kaimu Mwenyekiti wa Jukwaa hilo, Deodatus Balile ambaye amesema wamepokea kwa mshituko taarifa za kupinduka kwa kivuko hicho. Amesema ajali hiyo inarejesha kumbukumbu mbaya kwa Watanzania kwani inawakumbusha ajali za MV Bukoba iliyotolea Mei 21 mwaka 1996 katika Ziwa Victoria ambako watu zaidi ya...

Like
489
0
Monday, 24 September 2018
Updete Ajali ya Mv Nyerere Mwanza
Local News

RC wa Mwanza, John Mongela amesema idadi ya watu waliofariki kwa ajli ya #MvNyerere kuzama Ziwa Victoria imeongezeka na kufikia 94 leo asubuhi. DC Ukerewe amesema Kivuko kilikuwa na uwezo wa kubeba abiria 100 na tani 25 za mizigo, lakini kibeba abiria zaidi ya 400.   Vikosi vya uokoaji mkoa wa Mwanza vimeongezewa nguvu na vikosi vya mkoa wa Mara katika eneo la tukio kuongeza kasi ya kuokoa na kuopoa watu waliopinduka na kivuko hicho. Mkuu wa Jeshi la polisi...

Like
781
0
Friday, 21 September 2018
SIMBA YAWEKA REKODI NYINGINE
Local News

Klabu ya Simba imeendelea kuweka rekodi kwa msimu wa pili mfululizo kuwa ni timu ya kwanza kwa kutoa mchezaji bora wa mwezi wa Ligi Kuu Bara. Msimu huu mshambuliaji Mnyarwanda mwenye asili ya Uganda Meddie Kagere ndiye alikuwa mchezaji bora wa mwezi Agosti msimu huu baada ya kucheza michezo mwili. Msimu wa uliopita Simba ndiyo ilifungulia kwa kutoa mchezaji bora wa mwezi ambaye alikuwa ni Mganda Emmanuel Okwi alikuwa mchezaji bora wa mwezi Agosti 2017 huku akiweka na rekodi ya...

Like
434
0
Friday, 21 September 2018
Miili 44 ya waliofariki katika Kivuko inavyotolewa majini
Local News

Zoezi la uokoaji wa abiria waliokuwemo katika kivuko cha MV Nyerere kilichozama limesitishwa kutokana na giza na litaendelea leo alfajiri ambapo Mkuu wa Mkoa wa Mwanza, John Mongela amesema mpaka sasa watu waliyookolewa wakiwa hai ni 37 na waliopoteza maisha ni 44. RC Mongela amesema Kivuko hicho haikujulikana kilikuwa na idadi ya watu wangapi....

Like
481
0
Friday, 21 September 2018