Global News

Donald Trump na familia yake wachunguzwa kwa kudaiwa kukwepa kodi
Global News

Maafisa nchini Marekani katika jimbo la New York wamesema wamelazimika kuchunguza madai kwamba Rais Donald Trump alisaidia familia yake kukwepa kodi ya mamilioni ya dola katika miaka ya 1990. Ripoti iliyochapishwa na gazeti la New York Times imemshutumu Rais Trump kwa kuhusika na mpango wa ulipaji kodi ubabaishaji pamoja na udanganyifu ili kuficha makadirio yanayomhusu yeye pamoja na ndugu na wazazi wake. Ikulu ya White House imetupilia mbali madai hayo kuwa ni ya upotoshaji. Msemaji wa White House Sara Sanders...

Like
777
0
Wednesday, 03 October 2018
Tetemeko Indonesia: Maeneo yaliyoathirika yafikiwa na huduma ya kwanza, idadi ya waliofariki yaongezeka
Global News

Maafisa nchini Indonesia wamesema kuwa wameweza kufikia wilaya zote nne zilizoathiriwa na tetemeko na tsunami mwishoni mwa juma lililopita katika kisiwa cha Sulawesi. Lakini katika baadhi ya sehemu ni idadi ndogo ya vikosi vya uokoaji vimefika. Misaada inapelekwa katika sehemu zilizoathiriwa, lakini wanakumbana na changamoto kubwa kuttokana na kuharibika kwa miundombinu. Mpaka sasa zaidi ya watu 1,347 wamethibitishwa kufariki huku idadi hiyo ikitarajiwa kuongezeka....

Like
478
0
Wednesday, 03 October 2018
Afrika yaelekea kuzidiwa na watu
Global News

Idadi ya watu barani Afrika inakuwa kwa kasi ambapo kufikia mwaka 2050 itakuwa imeongezeka maradufu ya ilivyo sasa, huku 40% ya watu masikini kabisa duniani wakihofiwa kuja kuishi kwenye mataifa mawili tu ya bara hilo. Kwa sasa barani Afrika wanaishi watu bilioni 1.3. Miaka 32 ijayo, idadi hii itaongezeka mara mbili zaidi, na kama ukuwaji wa kiuchumi hautakwenda sambamba na ukuwaji huu wa idadi ya watu, basi kitakachotokea ni ongezeko la umasikini. Khofu hiyo imeufanya Wakfu wa mwanzilishi wa kampuni...

Like
720
0
Tuesday, 02 October 2018
Tetemeko la ardhi Indonesia: Indonesia yaomba msaada wa kimataifa, Thailand na Australia zapeleka vifaa vya usaidizi
Global News

  Indonesia imeomba msaada wa jumuiya za kimatafa wakati huu ikihangaika kupata chakula sambamba na vifaa vya uokoaji katika kisiwa cha Sulawesi, ambacho kimeharibiwa vibaya kwa kimbunga na tsunami mwishoni mwa juma lililopita. Thailand na Australia ni miongoni mwa nchi ambazo tiyari zimetoa misaada yao. Vikosi vya uokoaji vinaendelea na juhudi za kutafuta watu waliokwama katika majumba makubwa kwenye mji wa Palu huku uwezekano wa kuwakuta wakiwa hai ukiendelea kupungua....

Like
604
0
Tuesday, 02 October 2018
Sheria mpya rwanda
Global News

Nchini Rwanda sheria mpya ya makosa ya jinai imeanza kutumika. Miongoni mwa makosa hayo ni kosa la kudhalilisha viongozi wa serikali kwa kutumia maandishi au kuchora vibonzo. Mchoraji atahukumiwa kifungo cha hadi miaka miwili gerezani na faini ya dola takriban elfu moja na mia tano. Kosa la kudhalilisha rais wa nchi hiyo mhusika atahukumiwa hadi miaka 7 gerezani na faini isiyopungua dola elfu 8. Waandishi wa habari wameingiwa na wasi...

1
595
0
Monday, 01 October 2018
Kelvin De Bruyne arejea mazoezini
Global News

Kelvin De Bruyne arejea mazoezini kuungana na Nyota wenzake wa Manchester City Kiungo huyo raia wa uberigiji alipata majeraha septemba 19 mwaka huu kwenye dhidi ya...

Like
775
0
Monday, 01 October 2018
Kesi ya Bob Wine yaghairishwa
Global News

Mahakama mjini Gulu Uganda  imeahirisha kusikilizwa kwa kesi ya uhaini dhidi ya mbunge wa Kyadondo East Bobi Wine na watu wengine 34 hadi tarehe 3 Desemba. Upande wa mashtaka umemuomba hakimu mkuu muda zaidi kukamilisha uchunguzi wake. Bobi Wine na wenzake wanadai kuhatarisha maisha ya rais Yoweri Museveni waliposhambulia msafara wake katika uchaguzi mdogo wa eneo bunge la...

1
650
0
Monday, 01 October 2018
Waziri mkuu wa jimbo India atangaza mpango wa kuwa na wizara ya ng’ombe
Global News

Serikali ya jimbo moja katikati mwa India imetangaza mpango wa kuanzisha wizara ya masuala ya ng’ombe. Waziri mkuu wa jimbo la Madhya Pradesh Shivraj Singh Chouhan amesema hatua hiyo itachangia...

Like
467
0
Monday, 01 October 2018
Tetemeko la ardhi Indonesia: Idadi ya waliofariki dunia yafika takriban watu 832
Global News

Takriban watu 832 wameuawa baada ya tetemeko kubwa la ardhi na tsunami kupiga kisiwa cha Indonesia cha Sulawezi, kwa mujibu wa shirika la majanga la kitaifa. Juhudi za kuwatafuta manusura zinaendelea na idadi ya waliofariki inatarajiwa kupanda pakubwa maeneo mengi ambayo kufikia sasa hayajafikiwa na waokoaji yakifikiwa. Shirika hilo liloongeza kuwa eneo lililoathiriwa lilikuwa kubwa kuliko iliyodhaniwa. Watu wengine waliripotiwa kukwama kwenye vifusi vya majengo yaliyoporomka siku ya Ijumaa....

Like
518
0
Monday, 01 October 2018
Mchekeshaji Bill Cosby amehukumiwa hadi miaka 10 jela kwa unyanyasaji wa kingono
Global News

Jaji huko Pennsylvania amemhukumu jela mchekeshaji Bill Cosby kifungo cha kati ya miaka 3 na 10 kwa unyanyasaji wa kingono. Cosby, 81, pia aliorodheshwa kuwa mtu mwenye tabia unyanyasaji wa kingono ikimaanisha kuwa ni lazima ashauiriwa katika maisha yake yote na kuwekwa kwenye daftari ya wanyanyasaji wa kingono. Mchekeshaji huyo huyo alikataa kusema lolote hata baada ya kupeea fursa ya kufanya hivyo. Wakati wa kusikilizwa tena kwa kesi hiyo mwezi April, Cosby alikutwa na hatia ya makosa matatu ya unyanyasaji...

Like
455
0
Wednesday, 26 September 2018
Nikki Haley ajibu tuhuma za Iran, kuwa Marekani ilihusika na shambulio
Global News

Balozi wa Marekani umoja wa mataifa ameitaka Iran ijiangalie yenyewe katika shambulio la la kijeshi lililoua watu 25 siku ya Jumamosi. Balozi huyo Nikki Haley amejibu tuhuma za rais wa Iran, anayeilaumu Marekani kwa kuhusika na shambulio hilo na kusema kuwa Marekani imewagandamiza watu wake kwa muda mrefu sasa”. Makundi mawili yamedai kuhusika na shambulio hilo licha ya kutowasilisha ushahidi wao. Watu wanne waliokuwa na bunduki walishambulia wanajeshi wa mapinduzi ya Iran Kusini Magharibi mwa mji wa Ahvaz siku ya...

Like
547
0
Monday, 24 September 2018