Global News

NIYONZIMA, JUUKO WAANZA KAZI SIMBA
Global News

Baada ya kiungo mnyumbulifu wa Simba raia wa Rwanda, Huruna Niyonzima na beki kisiki raia wa Uganda, Juuko Mrushidi kuwa na muda mrefu bila kujumuika na wachezaji wenzao katika mazoezi. Hatimaye kwa mara ya kwanza leo wamekutana uso kwa uso kwenye Uwanja wa Boko Veterani na kocha wao Patrick Aussems na kuwakaribisha kwenye kikosi hicho tayari kwa mazoezi mazito ya...

Like
758
0
Tuesday, 18 September 2018
Mbunge wa Uganda Robert Kyagulanyi Kurejea Uganda Leo
Global News

Mbunge wa Kyandodo Mashariki mwa Uganda ,Robert Kyagulanyi ambaye pia ni mwanamuziki maarufu nchini humo ajulikanaye kama Bobi Wine anatarajia kurudi nchini Uganda leo Jumatatu akitokea nchini Marekani ambapo alienda kupata matibabu baada ya kupigwa na vyombo vya dola. “Nitarejea nyumbani siku ya jumatatu,licha ya kuwa bado nina hofu lakini Uganda ndio nyumbani ambapo familia yangu na watu wangu wapo .Nina wasiwasi lakini waganda milioni 44 nao wana hofu hivyo lazima nirudi,” Wine alibainisha hayo wakati akihojiwa na gazeti la...

Like
657
0
Monday, 17 September 2018
Kimbunga Mangkhut chaua watu 30 Ufilipino chasambaa mpaka Hong Kong
Global News

Watu zaidi 30 wameuawa baada ya kimbunga Mangkhut kupiga kaskazini mwa Ufilipino. Wengi kati yao walikumbwa na maporomoko ya udongo yaliyosababishwa na mvua kubwa. Maeneo mengi ya kisiwa cha Luzon yamejaa maji, yakiwemo mashamba ambayo huzalisha mazao makuu nchini humo ya mpunga na...

Like
625
0
Monday, 17 September 2018
Koffi Annan kuzikwa Ghana, Alhamisi
Global News

Mwili wa aliyekuwa Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Kofi Annan, umewasili katika nchi Ghana. Mwili wake umewasili katika Uwanja wa Ndege wa  Kimataifa wa Kotoka uliopo mjini Accra, ukisindikizwa na familia yake na maafisa wengine wa Umoja wa Mataifa. Anatarajiwa kuzikwa kitaifa siku ya Alhamisi ya Taehe 13, September 2018 Kulikuwa na hali ya maombolezowakati mwili wake ukiwasili uwanjani hapo na kupokelewa na Rais wa Ghana Akufo Addo na viongozi wa kimila na kwa heshima ya kijeshi. Mwili wake...

Like
491
0
Tuesday, 11 September 2018
Libya yaweka saini kusitisha mapigano
Global News

Ujumbe wa Umoja wa Mataifa ulioko nchini Libya umetangaza mkataba wa kusitisha mapigano ambao umeafikiwa baina ya pande mbili ule wa serikali na viongozi wa kijeshi mjini Tripoli, pamoja na viongozi wa vikundi vidogo vyenye silaha nchini humo. Tangazo hilo limekuja baada ya siku nane za mapigano makali baina ya wanamgambo wa wapiganaji wanaohusishwa na mamlaka ya kimataifa kutambuliwa katika mji mkuu wa Libya na wengineo kutoka nje ya mji mkuu. Hili ni jaribio la tatu kufikiwa katika harakati za...

Like
688
0
Wednesday, 05 September 2018
Jean-Pierre Bemba azuiwa kugombea urais na mahakama DRC
Global News

Mahakama ya juu kabisa ya kikatiba nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo inasema kiongozi wa upinzani , Jean-Pierre Bemba, hana sifa ya kuwa rais katika Jamhuri ya Kidemokrasi ya Congo. Kiongozi huyo amezuiwa kugombea nafasi ya uraisi katika uchaguzi unaotarajiwa kufanyika mwishoni mwa mwaka huu. Macho sasa na masikio yote yameelekezwa kwa Bemba ambaye anaishi uhamishoni mjini Brussels endapo ataamua kumuunga mkono mgombea mwingine kutoka kambi ya upinzani . Ingawa mpaka sasa wagombea wote kutoka kambi ya upinzani wanaonekana kutokuwa...

Like
494
0
Tuesday, 04 September 2018
Maandamano yazuka Kampala kupinga kukamatwa mbunge Bobi Wine
Global News

Vikosi vya usalama nchini Uganda wamewakamata watu 10 waliojihusisha na maandamano ya kupinga kukamatwa kwa Mbunge wa upinzani, Bobi Wine ambaye alikamatwa na kushitakiwa kwenye Mahakama ya Kijeshi wiki iliyopita. Shughuli za Biashara zimesimama katika Jiji la Kampala, leo Mchana kutokana na makabiliano makubwa kati ya Vikosi vya usalama dhidi ya Wananchi ambao waliojitokeza kwenye maandamano hayo. Wandamanaji wamechoma moto magurudumu ya magari, wamerusha mawe pamoja na kuweka vizuizi Barabarani....

1
524
0
Monday, 20 August 2018
Ghasia Nigeria: Watu wauawa katika shambulio la wanamgambo jimboni Borno
Global News

Watu wanaoshukiwa kuwa wanamgambo wenye itikadi kali za dini ya kiislamu wamekivamia kijiji kaskazini mashariki mwa Nigeria, na kuwaua watu kadhaa. Kuna taarifa za kutofautiana kuhusu idadi ya vifo vya watu huko Mailari, katika jimbo la Borno. Kiongozi mmoja wa sungu sungu katika eneo hilo ametaja kuwa ni watu 6 waliouawa lakini jamaa mmoja aliyeponea shambulio hilo ametaja kuwa ni watu 19 waliouawa. Wanamgambo hao walikivamia kjiji hicho na kuwapora wakaazi kwa saa mbili kabla ya kuondoka, shahidi mmoja alisema....

Like
509
0
Monday, 20 August 2018
Nguo za kubana huathiri ‘mbegu za kiume
Global News

Kuvaa nguo za ndani zilizo pana kunaweza kuwa njia rahisi kwa wanaume kuimarisha mbegu za kiume na homoni zinazozidhibiti, utafiti uliofanyika nchini Marekani umeeleza. Utafiti uliowahusisha wanaume 656, uliofanywa na Chuo cha masuala ya afya cha Havard TH Cha nchini Marekani, wanaovaa boxer zilizo kubwa walikuwa na ongezeko kwa 25% ya ubora wa mbegu za kiume kuliko wanaume wanaovaa nguo za ndani zinazobana. Kutokuwepo kwa hali ya joto kwenye maungo ya kiume kunaweza kuwa sababu. Wataalamu wanasema mtindo huu rahisi...

1
2132
0
Monday, 13 August 2018
Askari wawili wahojiwa tukio la mwanahabari kupigwa
Global News

Kamanda wa Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, Lazaro Mambosasa amesema polisi waliokuwa zamu siku ambayo mwandishi wa habari wa Wapo Redio, Sillas Mbise alishambuliwa na askari, wameanza kuchunguzwa. Mbise anadaiwa kushambuliwa na polisi juzi Agosti 8, 2018 wakati wa mchezo kati ya Simba na Asante Kotoko ya Ghana uliofanyika katika Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam. Amesema jukumu la polisi ni kulinda usalama wa raia na mali zao na si kuwapiga raia waliotenda kosa ambao hawajakataa kutii sheria...

Like
559
0
Friday, 10 August 2018