Global News

BREAKING NEWS: Watu 7 wanaripoatiwa kufariki dunia Mkoani Kigoma
Global News

BREAKING NEWS: Watu 7 wanaripoatiwa kufariki dunia na wengine kujeruhiwa Baada Basi la Abiria (PrinceAmida) lililokua likitokea Kigoma kuelekea Tabora kugongana na treni eneo la Gungu Relini Soweto Mkoani Kigoma. Endelea kusikiliza Efm kwa taarifa...

Like
693
0
Wednesday, 06 June 2018
Volkano Nchini Guatemala Yaua Watu Saba
Global News

Serikali ya Guatemala imesema kuwa majivu ya volkano kutoka mlima mmoja unaoendelea kulipuka, yamesababisha vifo vya watu saba na kuwajeruhi wengine ishirini. Shirika la kukabiliana na majanga nchini Guatemala limesema kuwa mlima Fuego ulilipuka siku ya jumapili, huku majivu hayo yakirushwa hadi kijiji cha El Rodeo na kusababisha uharibifu mkubwa wa makaazi ya watu. Baadhi yao waliteketea ndani ya nyumba hizo. Rais wa taifa hilo Jimmy Morales amesema vikosi vya uokoaji vimeanza kazi na tahadhali imetolewa. Hata hivyo ya watu...

Like
443
0
Monday, 04 June 2018
RAIS WA MALI AMTAKA ALIYEMWOKOA MTOTO UFARANSA ARUDI NYUMBANI
Global News

RAIS wa Mali, Ibrahim Boubacar Keïta amemtaka kijana shujaa, mhamiaji kutoka nchini kwake, Mamoudou Gassama aliyemwokoa mtoto mdogo aliyekuwa amening’inia kwenye kibaraza cha ghorofa ya nne katika jengo refu jijini Paris, Ufaransa arudi nyumbani kwani amemwandalia kazi Jeshini.   Balozi wa Mali nchini Ufaransa, Toumani Djimé Diallo akizungumza na kijana huyo katika ofisi za ubalozi wa nchi hiyo na kumpa pongezi kutoka kwa rais wa Mali, maemwambia kuwa Rais anamtaka arudi nyumbani kwao Mali amemwandalia nafasi ya kazi katika Jeshi la...

Like
619
0
Wednesday, 30 May 2018
Roman Abramovich apata uraia Israel
Global News

Mmiliki wa klabu ya Chelsea ya England Roman Abramovich, amehamia Mji Mkuu wa Israel Tel Aviv baada ya kupata haki ya uraia nchini humo. Ambapo hati yake ya Kuishi nchini Uingereza umeisha na waingereza wamegoma kumpatia mwingine. Abramovich atakua mtu tajiri zaidi nchini Israel kwa...

Like
456
0
Tuesday, 29 May 2018
DK. SALEH ALI SHEIKH: TANZANIA NI MFANO WA KUIGWA
Global News

WAZIRI wa Mambo ya Dini wa Saudi Arabia, Dk. Saleh Ali Sheikh amesema Tanzania ni mfano wa kuigwa na nchi nyingine kutokana na amani iliyopo.   Ametoa kauli hiyo jana usiku (Jumapili, Mei 27, 2018) wakati akitoa nasaha kwa wageni walioshiriki futari iliyoandaliwa na Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa kwenye makazi yake jijini Dar es Salaam.   “Ninaomba nipelekewe shukrani zangu kwa umma wa Watanzania kutokana na upendo walionao. Ukiwaona ni watu wa amani, furaha na upendo na hili linathibitishwa na...

Like
543
0
Monday, 28 May 2018
Mhamiaji wa Mali Apongezwa kumuokoa Mtoto Ghorofani
Global News

Mhamiaji wa Mali amepongezwa kama shujaa baada ya kukwea sehemu ya mbele ya jengo la ghorofa mjini Paris kumuokoa mtoto aliekuwa kwenye uzio wa ubaraza wa ghorofa ya nne kwenye jengo refu. Video ya Mamoudou Gassam akimuokoa mtoto ilisambaa sana kwenye mitandao ya kijamii. Alivuka kutoka kwenye ubaraza mmoja hadi mwingine kwa muda wa chini ya dakika moja akamvuta mtoto huyo aliyekuwa amekwama na kumsalimisha. Meya wa Paris Anne Hidalgo pia alisifu sana ushujaa wa mwanaume huyo mwenye umri wa...

Like
2190
0
Monday, 28 May 2018
Joyce Msuya ateuliwa naibu katibu mkuu wa Shirika la Mazingira Duniani (UNEP)
Global News

Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa António Guterres amemteua Mtanzania Joyce Msuya kuwa Naibu Katibu Mkuu na Naibu Mkurugenzi Mtendaji wa shirika la mazingira duniani, UNEP. Ofisi kuu za shirika hilo la UN lipo jijini Nairobi, Kenya. Bi Msuya atachukua nafasi ya Ibrahim Thiaw wa Mauritania, ambaye amemaliza muda wake wa kuhudumu. Hadi wakati wa kuteuliwa kwake Jumatatu, Bi Msuya alikuwa mshauri wa Makamu Rais wa Benki ya Dunia kwa ukanda wa Asia Mashariki na Pacific jijini Washington, DC wadhifa...

Like
625
0
Wednesday, 23 May 2018
RAIS WA GHANA ATOA AMRI YA KUKAMATWA KWA MWENYEKITI WA SHIRIKISHO LA SOKA LA GHANA
Global News

Rais wa Ghana Akufo-Addo amemrisha kukamatwa mwenyekiti wa shirikisho la kandanda la Ghana Kwesi Nyantekyi, ambaye pia ni makamu wa rais wa kwanza wa shirikisho la kandanda barani Afrika CAF. Hatua hiyo inafuatia makala moja ya uchunguzi ambayo inamhusisha Kwasi Nyantekyi na vitendo vya ulaghai. Inadaiwa kuwa alitumia jina la rais wakati akipanga na kutekeleza ulaghai huo. Uchunguzi huu uliofanywa na mwandishi wa habari maarufu Anas Aremeyaw Anas uliwasilishwa kwa rais. Uchunguzi huu pia unadaiwa kufichua vitendo vya ufisadi miongoni...

Like
447
0
Wednesday, 23 May 2018
RAIS DONALD TRUMP AHOFIA MKUTANO NA JONG-UN
Global News

Rais Trump ametilia shaka kufanyika mkutano adimu na kiongozi wa Korea kaskazini Kim Jong-un mwezi june huko Singapore . Amesisitiza kuwa hata hivyo Korea kaskazini itapaswa kutimiza vigezo vilivyowekwa ambayo ni nadra kutokea. Korea Kaskazini ilikwisha sema kuwa inaweza kujiondoa katika mkutano huo iwapo Marekani inasisitiza suala la kuachana na mpango wa silaha za nyuklia. Rais Trump amezungumzia mkutano huo,mara baada ya kumpokea katika ikulu ya Marekani rais wa Korea Kusini Moon Jae-in. Hata hivyo rais trump hakuweka wazi ni...

Like
539
0
Wednesday, 23 May 2018
Nicolas Maduro Ashinda Tena Uchaguzi Nchini Venuzuela
Global News

Rais wa Venezuela Nicolás Maduro, ameshinda uchanguzi kwa awamu ya sita kwenye uchaguzi uliokubwa na ususiaji kutoka chama kikuu cha upizani kwa madai ya udanganyifu wa kura. Kutokana na upungufu wa chakula unaosababishwa na changamoto za kiuchumi , asilimia 46, ya wapinga kura ndio waliojitokeza na kupiga kura. Mpizani mkuu Henri Falcon , alipinga matokeo hayo punde tu baada ya vituo vya upigaji kura kufungwa. ”Hatutambui kama uchanguzi huu ulikuwa halali …lazima tuwe na uchaguzi mpya nchini Venezuela ,”alisema. Kwa...

Like
517
0
Monday, 21 May 2018
Ndoa ya Mjukuu wa Malkia wa Uingereza, Henry Charles Albert David ‘Prince Harry’ Hatari
Entertanment

Prince Harry na mchumba wake Meghan Markle. MAMILIONI ya watu duniani leo wanatarajiwa kushuhudia ndoa ya kifahari ya mjukuu wa Malkia wa Uingereza, Henry Charles Albert David ‘Prince Harry’ na mwigizaji maarufu wa Marekani, Meghan Markle. Harry akiwasalimia mamia ya watu waliofika kushuhudia ndoa yake.   Harry ni mtoto wa Prince Charles wa Uingereza ambaye ni mtoto wa kwanza wa Malkia Elizabeth wa Pili. Prince Charles ambaye ndiye mfalme-mtarajiwa, anajulikana pia kama Prince of Wales. Ndoa hiyo inatarajiwa kufungwa katika Kasri...

Like
2212
0
Saturday, 19 May 2018