Global News

OBAMA AITAKA IRAN ISITISHE MPANGO WA NYUKLIA
Global News

RAIS wa Marekani BARACK OBAMA ameihimiza Iran isitishe mpango wake wa nyuklia angalau Muongo Mmoja, kama sehemu ya Mkataba unaotarajiwa kufikiwa kulegeza vikwazo. Kauli ya Rais OBAMA imekuja kabla hotuba ya Waziri Mkuu wa Israel BANJAMIN NETANYAHU katika bunge la Marekani leo kupinga mkataba huo. Bwana OBAMA amesema Iran itahitaji kukubali mkataba utakaositisha uwezo wake wa kurutubisha Madini ya Urani na kuweka chini ya kiwango kinachohitajika kutengeneza Silaha za...

Like
174
0
Tuesday, 03 March 2015
UN: 6000 WAPOTEZA MAISHA MASHARIKI MWA UKRAINE
Global News

UMOJA wa mataifa umesema kuwa takriban watu 6000 wameuawa mashariki mwa Ukraine, Kwenye ripoti yake ya hivi punde kuhusu mzozo unaoendelea mashariki mwa Ukraine. Ofisi  ya haki za binadamu ya umoja wa mataifa inasema kuwa mapigano ya hivi majuzi yamesababisa vifo vya mamia ya watu. Ripoti hiyo inatoa picha kuhusu hali ilivyo mashariki mwa Ukraine ambapo mamia ya watu wameuawa kwa muda wa miezi miwili iliyopita na kufikisha idadi ya wau ambao wameuawa eneo hilo kuwa takriban watu 6,000.  ...

Like
200
0
Monday, 02 March 2015
MAJESHI YA IRAQ YAANZA KAMPENI DHIDI YA IS
Global News

SERIKALI ya Iraq imesema kuwa wanajeshi wake wameanza kampeni ya kuwaondoa wapiganaji wa Islamic State kutoka mji wa Tikrit . Mji huo mkuu wa jimbo la kaskazini la Salahuddin ulidhibitiwa na wanamgambo wa Islamic state Juni mwaka uliopita. Serikai inasema kuwa wanajeshi 30,000 wakiwemo wapiganaji 200 wakujitolea wa kisuni pamoja na wakurdi wanaelekea mji wa Tikrit wakisadiwa na ndege za kivita . Mji wa Tikrit uko kilomita 150, Kaskazini mwa mji wa mkuu wa...

Like
241
0
Monday, 02 March 2015
NETANYAHU AWASILI MAREKANI
Global News

WAZIRI Mkuu wa Israeli BENJAMIN NETANYAHU amewasili nchini Marekani kupinga dhidi uwezekano wa kufikia makubalino na Iran juu ya mpango wake wa Nyuklia. Bwana NETANYAHU amesema mkataba huo hautoshi kuizuia Iran kumiliki Silaha za Nyuklia. Pia anatarajia kulihutubia Bunge la Congress March 03, hotuba ambayo haikukubaliwa kabla na Utawala wa Rais BARRACK OBAMA na kuiudhi Ikulu ya...

Like
200
0
Monday, 02 March 2015
EBOLA: MAKAMU WA RAIS AJIWEKA KANTINI SIERRA LEONE
Global News

MAKAMU wa Rais wa Sierra Leone SAMUEL SAM-SUMANA amejiweka mwenyewe katika Karantini kwa siku 21 baada ya mlinzi wake mmoja kufa Jumanne iliyopita kutokana na ugonjwa hatari wa Ebola. SAM-SUMANA anakaimu wadhifa wa Urais baada ya rais Wa nchi hiyo ERNEST KOROMA kuondoka Sierra Leone kwenda Ubelgiji kuhudhuria mkutano kuhusu Ebola utakaofanyika March. SAM-SUMANA anatekeleza majukumu yake kutoka nyumbani kwake na ni Kiongozi wa kwanza wa ngazi ya juu wa Afrika kuwa katika Karantini tangu Mlipuko wa Ugonjwa wa Ebola...

Like
203
0
Monday, 02 March 2015
MTUHUMIWA KATIKA SHABULIZI LA SEPT 11 AHUKUMIWA MAREKANI
Global News

MAHAKAMA moja ya jijini New York, Marekani imemhukumu Khalid al-Fawwaz kwa kuhusika na mashambulizi ya mabomu ya balozi za Marekani nchini Kenya na Tanzania mwaka 1998. Waendesha mashtaka wamemtaja al-Fawwaz kuwa mmoja wa watu waliokuwa karibu zaidi na aliyekuwa kiongozi wa al-Qaida, Osama bin Laden. Baada ya mahakama kumkuta na hatia katika makosa 29, al-Fawwaz mwenye miaka 52 sasa anaweza kuhukumiwa kifungo cha maisha. Raia huyo wa Saudi Arabia alikamatwa jijini London, Uingereza, mwaka 1998 na kukabidhiwa kwa Marekani mwaka...

Like
215
0
Friday, 27 February 2015
MAELFU YA WAKIMBIZI KUTOKA AFRIKA YA KATI WAKABILIWA NA BALAA LA NJAA DRC
Global News

Maelfu ya wakimbizi kutoka Jamhuri ya Afrika ya Kati waliokimbilia Jamhuri ya Kidmekorasia ya Congo sasa wanakumbwa na balaa la njaa. Shirika la Madaktari Wasio na Mipaka, MSF, limesema wakimbizi hao walioko kaskazini mashariki mwa Congo wanakabiliwa na utapiamlo kwani hawapati chakula na maji ya kutosha na wanategemea tu wahisani kuwapatia mahitaji ya msingi. Katika kipindi cha wiki moja iliyopita, MSF imeshuhudia watoto kumi wakilazwa hospitalini kutokana na utapiamlo....

Like
197
0
Friday, 27 February 2015
UKRAINE: KATIBU MKUU WA NATO AELEZA MATUMAINI JUU YA KUSITISHA MAPIGANO
Global News

KATIBU MKUU  wa  NATO Jens Stoltenberg  ameonya  kwamba jaribio  lolote  la  kupanua  mipaka  inayoshikiliwa  na  wapiganaji wanaotaka  kujitenga  nchini  Ukraine , halitakubalika  na kuiambia Urusi  kuondoa  vifaa  1,000  vya  kijeshi  kutoka  katika  ardhi  ya nchi  jirani  ya  Ukraine. Akizungumza  baada  ya  mkutano  na  waziri  mkuu  wa  Italia Matteo Renzi , katibu  mkuu  wa  NATO  ameeleza  matumaini ya tahadhari  juu  ya  matarajio  ya  makubaliano tete  ya  kusitisha mapigano  kati ...

Like
229
0
Friday, 27 February 2015
KOFI ANNAN AWASILI CUBA KUHAMASISHA MAZUNGUMZO YA AMANI
Global News

KATIBU MKUU wa zamani wa umoja wa mataifa Kofi Annan amewasili nchini Cuba kuhamasisha mazungumzo ya amani kati ya serikali ya Colombia na nchi zenye makundi ya waasi. Mazungumzo hayo yanayofanyika mjini Havana ni mwendelezo wa jitihada za kusaka Amani katika nchi kwa zaidi ya miaka miwili hadi sasa. Hata hivyo katika mazungumzo hayo ya Amani lengo ni kumaliza migogoro iliyodumu kwa zaidi ya miongo mitano....

Like
220
0
Friday, 27 February 2015
JOHN KERRY: URUSI BADO HAIJATIMIZA MASHARTI KUSITISHA MAPIGANO
Global News

WAZIRI wa  mambo  ya  kigeni  wa  Marekani John Kerry  amesema  Urusi bado  haijatimiza masharti  ya  makubaliano ya Minsk kuhusu usitishaji wa mapigano. Kerry  amewaambia  wabunge  mjini  Washington kwamba Urusi na  wapiganaji  wanaoiunga  mkono  Urusi hawaheshimu masharti ya  makubaliano. Wakati  huo  huo , rais  wa  Urusi Vladimir Putin ameonya  kwamba Urusi inaweza  kusitisha upelekaji  wa  gesi  nchini Ukraine. Kansela  wa Ujerumani  Angela  Merkel ameionya  Urusi  kwamba  vikwazo  vinaweza kutekelezwa....

Like
242
0
Thursday, 26 February 2015
EBOLA: WHO YATANGAZA KUPUNGUA KWA MAAMBUKIZI MAPYA AFRIKA MAGHARIBI
Global News

SHIRIKA la  afya  ulimwenguni  WHO limetangaza kwamba  maambukizi mapya  ya  ugonjwa  wa  Ebola katika  mataifa  ya  Afrika  magharibi yamepungua. Wiki  iliyopita, kulikuwa  na  zaidi ya  watu 100 walioambukizwa  ugonjwa  huo nchini  Sierra Leone, Guinea  na  Liberia. Wiki  hii , maambukizi  mapya  ya  Ebola  yamepungua  chini  ya  watu 100, kwa  mujibu  wa  shirika  hilo  la  afya  ulimwenguni. Hata  hivyo kituo  cha  taifa  kinachohusika  na  suala  la  ugonjwa  wa Ebola  nchini  Sierra Leone ...

Like
190
0
Thursday, 26 February 2015