Sports

MAJALIWA:TUPO TAYARI KWA FAINALI ZA AFCON 2019
Sports

WAZIRI Mkuu Kassim Majaliwa amesema Serikali ipo tayari kwa maandaalizi  ya fainali za michuano ya Afrika ya vijana wenye umri chini ya miaka 17 mwaka 2019.   Mashindano ya mpira wa miguu kwa Vijana wenye umri wa chini ya  miaka 17 AFCON yanayotarajiwa kufanyika mwakani nchini Tanzania. Ameyasema hayo leo (Alhamisi, Mei  10, 2018) wakati akijibu swali la Mbungewa Sumve Bw. Richard Ndassa katika kipindi cha maswali ya papo kwa papo kwa Waziri Mkuu, Bungeni Jijini Dodoma.   Katika swali lake Bw. Ndassa alitaka...

Like
527
0
Thursday, 10 May 2018
Simba Bingwa 2017/2018, Baada ya Yanga Kupokea Kipigo cha 2-0 kutoka kwa Prisons
Sports

  Simba SC imetwaa taji la VPL msimu wa 2017/18 baada ya aliyekuwa bingwa mtetezi Yanga SC kukubali kipigo cha magoli 2-0 kutoka kwa Tanzania Prisons. Simba imeshinda kombe hilo mara ya 19. Mara ya mwisho kushinda ilikuwa ni mwaka 2012. #Esports...

Like
1223
0
Thursday, 10 May 2018
Tetesi za soka Ulaya Alhamisi 10.05.2018
Sports

Mshambuliaji wa Paris St-Germain , 26, alifanya mazungumzo ya siri na Real Madrid mnamo mwezi Machi. Mchezaji huyo wa Brazil amedaiwa kutaka kuondoka mjiini Paris(AS, via Express). Mabingwa wapya wa ligi ya mabingwa Wolvehampton ambao wamepandishwa daraja katika ligi kuu ya Uingereza ni miongoni mwa wanaopigiwa upatu kumsaini mshambuliaji wa Everton Wayne Rooney, 32, mwisho wa msimu huu(Birmingham Mail) Lakini Rooney hatatoa uamuzi wa iwapo atasalia katika uwanja wa Goodison Park hadi pale hatma ya mkufunzi Sam Allardyce itakapoamuliwa(Star)....

Like
455
0
Thursday, 10 May 2018
TANZIA: Aliyekuwa Kocha wa Yanga TANZIA: Aliyekuwa Kocha wa Yanga Jack ‘Africa’ Chamangwana afariki dunia afariki dunia
Sports

Kocha wa zamani wa Yanga, Jack ‘Africa’ Chamangwana amefariki dunia jana jioni Mei 6, 2018 baada ya kuugua ghafla na kulazwa katika Hospitali ya Malkia Elizabeth jijini Blantyre. Kocha huyo aliyefariki akiwa na umri wa miaka 61 ameripotiwa kuwa alikuwa akisumbuliwa na shinikizo la damu. Chamangwana aliyeifundisha Yanga mwanzoni mwa miaka ya 2000, alikuwa pia nyota wa zamani wa timu ya taifa ya Malawi. Mtalaam huyo alikuwa akifanya kazi na klabu ya Be Forward Wonderers inayoshiriki ligi kuu ya Malawi...

1
544
0
Monday, 07 May 2018
Barcelona yatoshana nguvu na Madrid El Clasico
Global News

Mchezo wa pili wa El Clasico kati ya mahasimu Fc Barcelona na Real Madrid kwa msimu wa La Liga wa 2017/2018 uliopigwa katika dimba la Camp Nou ulimalizika kwa sare ya kufungana magoli 2-2. Mshambuliaji wa Barcelona Luis Suarez, ndio alianza kuipatia timu yake goli la kuongoza katika dakika ya kumi, ya mchezo, iliwachukua dakika nne kwa Madrid kusawazisha goli hilo kupitia kwa nyota wake Cristiano Ronaldo. katika dakika ya 52, mshambuliaji Lionel Messi, aliipatia klabu yake goli la pili...

Like
620
0
Monday, 07 May 2018
JOSE MOURINHO AKATAA LAWAMA KUHUSU MOHAMED SARAHA
Sports

Kocha wa Manchester United Jose Mourinho amesema kuwa anatakiwa apewe sifa kwa kumleta Chelsea mshambuliaji wa Misri mwenye umri wa 25 Mohamed Salah wakati alipokuwa mkufunzi wa Chelsea na sio kulaumiwa ya kumuuza mchezaji huyo katika klabu ya Roma 2016. Mohamed Sarah kwa sasa ni mchezaji hatari katika Ligi kuu ya Uingereza akiwa na Majogoo wa Jiji la Liverpool, ambapo juzi alishinda tuzo ya mchezaji bora wa msimu 2017/2018 wa Ligi kuu Uingereza akiwashinda Brunt pamoja na Harry...

Like
600
0
Friday, 27 April 2018
HAJI MANAR AKATAA SIMBA NA YANGA KUITWA MAHASIMU
Sports

Ofisa Habari wa Simba SC, Haji Manara, amewakataza Wanahabari kutumia neno MAHASIMU badala ya WATANI pindi wanapotangaza na kuziandika klabu hizo. Manara ameeleza kuwa Simba na Yanga si mahasimu bali ni watani wa jadi, tofauti na baadhi ya vyombo vya habari ambavyo vimekuwa vikiripoti tofauti. Manara ameyasema hayo leo alipotisha kikao na Waandishi wa Habari kwenye Makao Makuu ya Simba, yaliyopo Kariakoo. Ofisa huyo wa Habari, amesema neno hilo lina maana mbaya ambayo ni VITA hivyo halipaswi kutumika huku akieleza...

Like
1016
0
Friday, 27 April 2018
TETESI ZA SOKA
Sports

  Arsenal inaamini inaweza kumshawishi aliyekuwa mkufunzi wa Barcelona Luis Enrique kuchukua mahala pake Arsene Wenger kama meneja wake. Mkuu wa uhusiano katika klabu hiyo hiyo Rail Sanllehi alifanya kazi na Enrique katika klabu ya Barcelona.. (Mirror) Mkufunzi wa zamani wa Chelsea Carlo Ancelotti, ambaye ni mkufunzi mwengine anayepigiwa upatu kumrithi Wenger amepewa kazi ya kuifunza timu ya taifa ya...

Like
570
0
Wednesday, 25 April 2018
Ronaldo kumuwakilisha Messi Ligi ya mabingwa
Sports

  Ligi ya Mabingwa Barani Ulaya inaendelea tena usiku wa leo ambapo mabingwa wa Bundesliga, Bayern Munich watakuwa wanaikaribisha Real Madrid. Real Madrid tayari wameshatua mjini Bayern ambapo nguvu zao kubwa wameziweka kwenye mashindano hayo hivi sasa. Madrid haina nafasi tena katika taji la La Liga kutokana na ubora wa mpinzani wake, FC. Barcelona ambaye ameshajiwekea mazingira mazuri ya kutwaa Kombe hilo huku akitupwa nje ya UEFA Champions League na AS Roma. Nyota Cristiano Ronaldo anapewa nafasi ya kuendelea kucheka...

Like
461
0
Wednesday, 25 April 2018
MOHAMED SALAH MCHEZAJI BORA WA MSIMU 2018/17  LIGI YA UINGEREZA
Sports

Nyota wa Liverpool, Mmisri, Mohamed Salah ametangazwa kuwa mshindi wa tuzo ya Mwanasoka bora wa England kwa msimu wa 2017/18. Tuzo hiyo maarufu kama ‘PFA Player of the Year’ ameitwaa Salah kutokana na kuonesha kiwango kizuri msimu huu ambapo amefunga jumla ya mabao 31 kwenye ligi. Jumla ya michezo 46 Salah ameichezea Liverpool msimu huu katika mashindano yote huku akifunga idadi ya mabao 41 na akitengeneza nafasi za kufunga 13. Mchezaji mwingine aliyekuwa anawania tuzo hiyo ni Kevin De Bruyne...

Like
623
0
Monday, 23 April 2018